Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
3. Mwenye kufunga, hapana afunguaye

A. Yesu alidai haki bila kujali wahusika wa Kanisa Yohana 14:6; Math. 16:18-19.

Msitari wa 8 (3:8)

1. Mlango uliofunguliwa.

A. Kazi ya Mungu katika nafasi wazi ya kuhubiri injili (Mdo. 14:27, 2 Cor. 2:12, Col. 4:13).

2. Hakuna mtu wa kuufunga.

A. Hakuna mtu aliyenamamlaka ya kufunga kile ambacho Mungu amefungua.

3. Nguvu kidogo.

A. Ni dhaifu kwa idadi, umaarufu, lakini bado wamakuwa na imani.

Mstari wa 9 (3:9)

1. Walio katika sinagogi la Shetani

A. Jinsi inanyoonekana kwa macho ya wayahudi.

2. Wayahudi

A. Wanaangalia roho (Rum. 2:28, 29; 9:6, 7)

B. Filadelfia labda walikuwa mataifa kwa hiyo wanapingana na wale waliokuna wanafikili

walikuwa Wayahudi.

3. Kusujudu

A. Yaani kuonyesha kuwa Yesu analipenda Kanisa la Filadelfia.

B. Lakini sio kusujudiana wao kwa wao (Mdo. 10:25-26).

Mstari wa 10 (3:10)

1. Kwa kuwa..........mitakulinda utoke katika saa ya majaribu.

2. Majaribu

A. Sio kulinda kutoka ila kulinda katika ndani ya (Math. 6:13, Yak. 1:12).

B. Angalia msitari wa 11 kama alikuwa anawalinda.

3. Ulimwengu wote

A. Ni kama ulimwengu wote wa wakati ule.

4. Kuwajaribu

A. Maana kamili hapa haijatajwa.

Mstari (3:11)

1. Upesi

A. Miaka 2,000

2. Shika sana

A. Kushika kwa kufunga (Mdo. 16:24)

3. Asije mtu akatwaa taji yako

A. Kuwa mwangalifu ili mwingine asikunyanganye zawadi yako - (Kol. 1:18).

B. Taji linatwaliwa kwa nguvu.

1. Hawakuwa katika nafasi ya taji hilo kama taifa kazi ilihitaji kukamilika (1 Kor. 9:24,

Ebr. 12:1).

2. Taja (la Stefano) ushindi - Fil. 4:1, 1 Thes. 2:19, 2 Tim. 4:8, Yak.

1:12, 1 Petr. 5:4.

Yesu Anakuja

Mstari 12 (3:12)

2:25 - Atakuja

3:3 - Atakuja kama mwivi

3:11 - Aja upesi

1. Nguzo katika Hekalu

A. Kwa msemo

1. Kukomaa, ugumu, imara na isiyoyumba.

24