08.06.2013 Views

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

1. Saba inaonyesha ukamilifu, hivyo inajumuisha wote wenye mwili.

2. Mapango

A. Mapango

3. Tazama hakuna aliyeumia; bado mbele yetu kuna tangazo la hukumu ijayo.

A. Tuna adha inayotokana na mapinduzi ya serikali ambayo inaonyesha wanakaribia mwisho wa

ulimwengu.

B. Hasira ya Bwana ilikuwa juu ya wale wanao tesa watakatifu.

MSTARI WA 16

1. Wakaiambia Milima.

A. Hosea 10:8, Lk. 23:30

2. Kiti Cha Enzi

A. Nani aliyekaa juu yake? Angalia Ufu. 4:2,8

3. Hasira

A. 2 Thesalonike 1:7-9.

MSTARI WA 17

1. Siku kuu ya hasira yake

A. Yoeli 1:15; 2:12, Mdo. 2:20, Yuda 6.

2. Nani atakayeweza kusimama?

A. Majibu katika sura ya saba.

SURA YA SABA

Sura ya saba ni mwendelezo wa muhuri ya 6 iliyofunguliwa katika 6:12, Hivyo katika 6:17 sura inamaliza

kwa swali “Ni nani atakaye simama?” Kwa hiyo katika sura ya 7 jibu limetolewa. Kumbuka sura ya 7 ni

mwendelezo wa muhuri ya 6 na inaendelea mpaka mwisho wa sura hii.

MSTARI WA 1

Yamkini sura hii iliandikwa kwa mfano wa Eze. 9.

1-8

144,000 Juu ya Dunia (Nchi).

1. Baada ya hayo

A. Baada ya kufunguliwa muhuri ya 6

2. Malaika

A. Viumbe walioumbwa

3. Pembe nne

A. Namba nne ni namba ya kidunia inayosimamia ukamilifu.

1. Kwa hiyo yafuatayo yataathiri dunia nzima.

4. Pepo nne

A. Upepo mharibifu

1. Husababisha matunda mabichi kuanguka, 6:13.

2. Hii ndiyo sababu “malaika” wanashikilia pepo, Yer. 49:34-36 - Kuharibiwa kwa

Elamu. Yer. 51:1,2 - Kuharibiwa Babeli kwa upepo. Dan. 7:2, 10 - Tangazo

la hukumu.

B. Pepo zilishikiliwa kwa muda ili kutimiliza kazi fulani - Mstari wa 3

1. Hivyo baadaye zitaachiliwa.

MSTARI WA 2

1. Malaika mwingine

A. Ni mjumbe kwa malaika wale wanne.

2. Anapanda Kutoka Mashariki.

A. Kutoka mawio ya jua.

40

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!