Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
MWANA WA ADAMU SIMBA WA KABILA LA YUDA

Siku za kale (Alikiya kwake) Aketiye katika kiti cha enzi - Ufu. 5:12-13.

Dan. 7:13-14.

ALIYEPEWA: ALIYEPEWA:

Utawala - Utukufu - Ufalme Nguvu - Utajiri - Hekima - Uweza

Heshima - Utukufu - Baraka.

UFALME - ULIOFANYWE NA: UFALME NA MAKUHANI ULIOFANYWA NA:

Watu Kabila

Mataifa Lugha

Lugha Mtu

Taifa

Huu “Hauna Mwisho” Huu ni “Milele na milele”

MSTARI WA 13

1. Kiumbe

A. Kitu kilichoumbwa, vitu vyote vilivyoumbwa vinajumuishwa kuabudu, Zab. 148:7-13.

2. Nalivisikia

A. Ina maana, “Nilisikia msemo.”

3. Kiti cha Enzi

A. Mungu aliketi juu ya kiti cha enzi, kwahivyo vitu hivi vilinenwa juu ya Mungu na Yesu.

MSTARI WA 14

1. Amina

A. Na iwe hivyo

2. Wenye uhai wanne na wazee ishirini na nne.

A. Baadhi ya maandiko yameondoa hili.

3. Wazee walianguka chini na kusujudu.

A. Wanaonyesha kukubali kile kilichokuwa kinatukia.

4. Yeye aishiye milele na milele.

A. Baadhi ya maandiko yameondoa hili.

B. Picha ni: Mungu katika kiti cha enzi, Kristo yu hai na yote ni mema kwa ulimwengu.

1. Yohana hukusoma kitabu.

2. Kitabu kiliancikwa kwa mifano na kadiri laya muhuri ulipovunjwa maono na siyo

maneno yangetokea.

SURA YA SITA

MSTARI WA 1.

1. Muhuri

A. Ilitumika kutunza kitu kilichofungwa.

2. Sauti ya Ngurumo

A. Labda kiwango cha sauti: au kielelezo cha hukumu na vitu vya kiasi.

1. Zaidi sana ni kama hapo kuanza.

3. Njoo na tazama

A. Labda aliaambiwa Yohana kumweka tayari kwa tukio linalokiya - Angalia: “na nikaona” Mst.

2.

B. Maandiko mengine hayana “na tazama” hivyo kutoa nafasi ya wazo la kwamba farasi na

aliyempamda ndio walioambiwa waje.

MSTARI WA 2

1. Farasi Mweupe

A. “Mweupe au nyeupe, au cheupe” limetumika mara 16 katika Ufunuo na mara zote

likimaanisha: usafi, utakatifu, au ushindi.

36