Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Tartarusi, Sehemu ya Maombolezo (Lk. 16:23; 2 Pet. 2:4). Ufufuo Jehenamu

Mstali wa Kumi na Tisa (1:19)

1. Uyaandike Mambo Hayo

A. Kwa nini? Faida ya watakatifu waliopo.

1. Premillenialists wanadai sura ya 4-22 yahusisha wakati ujao.

a. Kama ni hivyo, nini tofauti kati ya maneno haya “upesi” (1:1; 22:6) na “u

karibu” (1:3; 22:10)?

Mstali wa Ishirini (1:20)

1. Siri

A. Siri iliyofichika sasa imefunuliwa.

1. Haihusu kitu fulani kinachokamilisha patupu kama ilivyozumgumzwa kabla.

2. 1 Pet. 1:10; Lk. 10:21.

2. Nyota Saba (Malaika)

A. Maelezo ya malaika “kwa” siyo “na kwa”, Ufu. 2:1, 8.

B. Kanisa liliwakilisha kama malaika hapa.

1. Kama ni hivyo Kanisa linawakilishwa kwa namna mbili (malaika na vinara vya taa).

2. Ni kawaida kitu mimoja kuelezeka katika namna nyingi, Yesu ni mlango, njia, taa

n.k.

C. Picha mbili tupatazo

1. Kinara cha taa chatoa mwanga (nuru), uelewe zaidi ni katika Ufu. 2:5.

2. Malaika kiasilia kisichoonekana cha Kanisa.

a. Malaika: kiasili au kioneshi cha ndani wakati kinara cha taa ni kioneshi cha

nje cha Kanisa.

D. Yesu aliwaandikia wale ambao walikuwa na uwezo wa kubadili mambo mabaya katika

Kanisa, Kanisa peke yake.

1. Ukitaka kusahihisha kitu, nani unamwandikia? Ni kwa yule tu ambaye yuko tayari

kutekebiskika hali yake. Utu wetu wa ndani ni lazima kubadilika kabla ya

mabadiliko kuonekana nje.

2. Upanga wenye makali kuwili unasimamia hukumu ijayo.

Yesu katika sura ya kwanza ajionyesha yeye mwenyewe kama ni hai, katika uthibitifu wote, kama nabii,

kuhani na mfalme. Kwa kuonyesha hilo yupo katika hali ya uthibitifu halisi akitawala maisha yetu yote.

Anaweza kuanza kutoa hukumu kwa makanisa saba. Amehakikishwa kwamba asitahili kwa kazi hiyo.

Sura Ya Pili

Sura ya 2:1-3:22 - Hukumu Kwa Makanisa Saba.

Sehemu hii inashugulika na ujumbe maalumu kutoka kwa Kristo kwa miji saba maalumu katika jimbo la

Kirumi kule Asia. Hii ilikuwa ni miji muhimu ya biashara iliyounganishwa na barabara mashuhuri.

Kumbuka Yohana alipeleka taarifa kwa makusanyiko haya kama yalivyoorodheshwa kwenye ramani.

Wengi waamini kuwa hii ilikuwa ni barua ya mzunguko. Ikiandikwa na kupelekwa kwanza kule Efeso hadi

smina, Pergamo ikifuata barabara hadi Laodikia. Ilipelekwa kwa njia ya barabara.

Mstali wa Kwanza (2:1)

Ujumbe Kwa Makanisa Kule Efeso

Ufu. 2:1-7.

1. Malaika

A. Kiasilia kilichofichika cha makanisa (angalia mstali 7 “Kwa makanisa”.)

12