Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mstari wa Kumi (2:10).

2. Mdo. 21:20-28.

1. Woga

A. Ukweli hakuna cha kuongopa, Mat. 10:28.

2. Watatupwa

A. Shetani anaenda kuwatumia hawa Wayahudi waliofikili ni watakatifu kuwa mawakala wake.

1. Kama alivyokuwa Sauli/Pauli, Mdo 22:3-4.

3. Gereza

A. Tukio kubwa kwa Warkristo, Mdo. 5:21; 12:3-4; 16:23.

4. Majaribu

A. 1 Pet. 1:6-7.

1. Majaribu, kuwapima kama wako kwa Mungu.

5. Siku Kumi

A. Sio kipindi cha muda kamili.

B. Kumbuka mlolongo wa kitarakimu kuna weza kuwapo maelezo ya aina mbili hapa.

1. Siku kumi zaweza kuonyesha kwa ufupi kipindi cha utawala mgumu, Dan. 1:12-16;

Mwa. 31:7; 24:55.

2. Siku kumi zaweza kuwa ukamilifu wa mateso, Num. 14:22-23; Neh. 4:12; Dan.

1:20.

6. Uaminifu hata kufa.

A. Kuwa mwanifu hata wakati wa mauti sio mpaka kufa, Mt. 24:13.

7. Taji

A. Stephano: Taji ya ushindi (1 Pet. 5:4; Yak. 1:12).

1. Alama ya ushindi kama inavyotumika hapa.

B. Tofauti kuliko DIADEMA ambayo ni alama ya ufalme wenye kuheshimika sana (Uf. 12:3;

13:1; 19:12).

C. Taji ya haki ni alama ya ushindi dhidi ya kifo, 2 Tim. 4:8.

Mstari wa Kumi na Moja (2:11)

1. Ashindaye - kushinda

A. Hapa tena ni ulazima wa kuendelea na adha zao mpaka mwisho.

B. Kwa nini hakutakuwa na maumivu?

1. Kama Wakristo watakufa kama Krsito alafu wataishi tena na kutawala pamoja naye.

2. Kifo cha pili

A. Gehenna, maangamizo ya milele kwa waliodhaifu, Ufu. 20:14.

Kanisa la Smirna kweli lilikuwa linapata mateso mikononi mwa Wayahudi walioamini kuwa walikuwa

wanafanya mapenzi ya Mungu kumbe walikuwa mawakala wa Shetani. Lakini kupitia mateso yote

waliyokuwa nayo yaliwafanya wawe na nguvu katika imani zao kwa kuwa hatuoni wakilikataa Kanisa la

Smirna. Ila ujumbe wa matumaini kuwa endapo wakiendelea katika matendo mema, kwa kuwa tutavuna

wakati wa mavuno (Gal. 6:9) watavuna taji yao wenyewe.

Ujumbe Kwa Kanisa La Pergamo

Kiti Cha Shetani

Ufu. 2:12-17.

Mstari wa Kumi na Mbili (2:12)

1. Pergamo

Mataji

1. Ya Uzima - Ufu. 2:10.

2. Ya Wenye haki - 2 Tim. 4:8.

3. Ya Utukufu - 1 Pet. 5:4.

4. Isiyoharibika - 1 Kor. 9:24-25.

5. Ya Weza kuchukuliwa - Ufu. 3:11.

16