Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Sura Ya Nne

3:21 - Ataketi pamoja naye kwenye enzi.

3:21 - Kuketi pamoja na Baba yake.

Utukufu wa Baba

Maono kama yale kwenye sura ya 4 yameruhusiwa mwanzoni mwa kazi ya Ezekiel (Eze. 1) na Isaya (Isa. 6)

Wote wawili wanaruhusiwa kubeba utukufu wa Mungu. Sasa hata katika kitabu cha mwisho katika Biblia,

Yohana anapata maono yale yale. katika hayo yote maono matatu wote wameona kiti cha enzi kikiabudiwa

- Isaya aliona kwenye kiti cha enzi. Maserafi mwenye mabawa sita akilia “Mtakatifu,” Mtakatifu,

Mtakatifu, ni Mungu wa Miungu. Ezekiel aliona kiumbe hai kwenye kiti cha enzi mwenye macho mengi

yenye mbawa nne na mikono miwili. Sasa Yohana anaona viumbe wanne wenye macho mengi na mabawa

sita wakilia, Mtakatifu, mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu mwenyezi.

Mstari wa 1 (4:1)

1. Mlango ukafunguka

A. Siyo mlango halisi, kumbuka alikuwa kwenye maono (1:10).

B. Sasa anaanza kuona kukiwa kumefunguliwa ili aweza kujua (Eze. 1:1; Math. 3:16; Mat. 5:56,

10:11).

2. Sauti ya kwanza

A. Hili ni ono la kwanza 1:10, 12.

3. Tarumbeta

A. Angalia: Jinsi ilivyokuwa labda inaonyesha sauti ilivyokuwa kubwa na inasikika 1:10.

4. Ikionyesha mambo ambayo hayana budi kuwako.

A. Angalia 1:1, 19.

B. Siyo baada ya kipindi cha kanisa kama wasemavyo wa - premillennialist.

1. Kutoka wakati huo na kuendelea.

C. Inaonyeshesha ulazima wa moyo.

Mstari wa 2

1. Katika Roho

A. Kuja ulimwenguni kwenye sehemu ya utakatifu wa Mungu (Eze. 3:12; 8:3 angalia pia

maelezo ya sura 1:10).

2. Kiti cha enzi.

A. Imetumika mara 38 katika Ufunuo.

B. Enzi inamaanisha ni nini?

1. Mamlaka ya kifalme ya Mungu, Eze. 1:26-28.

2. Ujumbe ni kwamba usiwe na wasiwasi na utawala wa Mungu.

3. Mmoja akaaye kwenye kiti cha enzi.

A. Neno, “mmoja” sio neno la asili hata hivyo linamaanisha.

1. Mungu ndiye atakayekuwa mmoja kwenye kiti cha enzi, Eze. 1:28; Uf. 4:8.

Jiwe la Thamani linalotajwa kwenye kiti cha enzi - Msitari wa 3

1. Yaspi

A. Jiwe lenye rangi nyingi (Uf. 21:11, safi).

1. Inaonyesha haki na utakatifu wa Mungu.

2. Jiwe lenyewe lilikuwa na rangi tofauti tofauti rangi nzuri kuliko ni papuri papuri

Vincent 476.

3. Nyingi kama 14, I.S.B.E. Vo.. 4. 2860

4. Yaspi inasemwa kuwa almasi Halley’s Bible Handbook, 709.

2. Sadonika: AKIKI

A. Inawakilisha hukumu na haki.

B. Kuna aina mbili tofauti, moja njano, nyingine rangi nyekundu angaru.

C. Rangi ya machungua Vincent 476.

28