08.06.2013 Views

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mstari Wa 17 (3:17)

1. Kwa kuwa

A. Hapa tunayo sababu ya Bwana wetu kukasirika na hili Kusanyiko.

1. . .. Unasema, mimi ni tajiri na kuongezeka kwa bidhaa, na huitaji kitu chochote.

a) Je, ni sambamba na Kut. 12:16-21? (Mfano wa Tajiri mpumbavu) 1 Yon.

2:15-17.

B. Waliweka macho yao kwa vitu vya mwilini kuliko vitu vya kiroho, tegemea

mambo ya Kiroho Rum. 8:4.

2. Nawe hujuhi

A. Kweli walikuwa hawajuhi nafasi yao kwa Mungu.

3. Mnyonge

A. Mtu mnyonge.

B. Hawa ambao hawajabarikiwa.

4. Mwenye mashaka

A. Kuwa na wasiwasi.

B. Kwa nini kuweka macho kwenye vitu vibaya?

5. Masikini

A. Japo ni matajiri lakini siyo kweli.

B. Walikuwa matajiri wa vitu vya kimwili lakini masikini wa Kiroho (Mt. 6:19-20)

6. Kipofu

A. Siyo kipofu wa macho

B. Kimwili wanaona kwa macho yao lakini Kiroho ni vipofu.

1. Mboni za macho yao haziwasaidii.

7. Uchi

A. Walikuwa matajiri katika hii dunia, lakini walikuwa na matatizo kiroho na mbele ya macho

ya Mungu.

1. Mavaziyao hayawezi kumficha Mungu kuona ukweli.

Msitari wa 18 (3:18)

1. Nunua

A. Je, Yesu atafanya biashara na laudikia?

1. Angalia Mt. 13:44-46 (mfano wa hazina iliyofichwa).

B. Vitu vya ki-Mungu vinatolewa bure rum. 6:23, hata hivyo vina gharama yake.

1. Kujisafisha mwenyewe na dhambi (Lk. 9:23).

2. Dhahabu

A. Siyo dhahabu halisi, Landikia walikuwa tayari matajiri.

B. Lakini huu ni mtazamo katika kumpokea Kristo, Ukristo wa kweli Wakol. 2:3.

1. Ni wazi kuwa dhahabu itapotea ina matatizo (1 Pet. 1:7, 18).

3. Tajiri

A. Kiroho

4. Mavazi meupe

A. Weupe ni alama ya nini? Usafi, Math. 22:11-13 - Nguo za harusi.

B. Baadaye, nguo nyeupe zinasemwa kuwa ni matendo ya wenye haki ya watakatifu (19:8).

1. Matamanio yake ni kuwa itavalishwa katika haki.

5. Dawa ya macho

A. Inaonyesha kwa uangalifu wa neno la Mungu linavyofundisha kwenye maisha yao ili waweza

kuona katika hali ya kiroho.

1. Math. 13:13-17 (Isa. 6:9-10).

Mstari 19 (3:19)

1. Upendo

A. Hapa anatoa sababu ya kuwakemea.

B. Kukemea na kuwarudi.

1. Kuongezeka (1 Tim. 5:20, Tit. 1:13; 2:15, Eb. 12:4-13).

2. Tubu.

A. Kurudishwa kwa kukemea (1 Cor. 5:1-5; 2 tim. 3:16-17).

26

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!