Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
A. Haijulikani

2. Kibaba

A. Kipimo cha unga wa nafaka (kisichozidi robo) kilitumika kama kukadiria mlo wa mtu kwa

siku.

3. Nusu rupia

A. Shilingi - dinari - sarafu yenye thamani ya pence (sarafu ya kiingereza) 81 au kadiri ya Sh.

16.75.

4. Shayiri

A. Ngano au shaijiri - walikuwa na uchaguzi lakini chochote kilichochaguliwa hakiku tosheleza

familia.

5. Mafuta na Divai

A. Hivi hauikuathiriwa kabisa.

B. Hivi vilisimamia faraja katika maisha, zaidi ya baa la njaa tuna matatizo ya kiuchumi, -

Ufunuo 13:17.

MSTARI WA 7

1. Muhuri ya Nne (4)

A. Litangulizi wa mahuri ya nne.

MSTARI WA 8

1. Farasi wa Kijivu

A. Kijivu - rangi ya mtu aliyepigwa na hofu ya kifo.

2. Mauti

A. Mauti, inasimamia utawala dhalimu, ni lugha ya umbo inayopatikana mara nyingi katika

maandiko. Rumi - 5:14; 6:9, 1 Kor. 15:55.

B. Ni vigezo vya mauti - kwa vita, njaa, magonjwa, hayawani wa nchi - sio watu watauwa (watu

wa Mungu).

C. Matatizo yanayosababishwa na shetani akijambu kushinda vita yake.

3. Kuzimu

A. Kuzimu - Ufuno 20:13.

B. Mauti - hutisha ambapo kuzimu huvuma.

4. Walipewa Nguvu

A. Mamlaka - Haikuchukuliwa.

B. Mauti ingeenea sana, wengi wangekufa na kwenda kuzimu.

5. Robo ya nchi

A. Idadi kubwa ya watu.

6. Dunia

A. Wanafunzi wengi wanaafika kuwa hii ina maana ni dola ya Warumi.

7. Kuua kwa upanga.

A. Hapa ni upanga wa vita (Rhomphia) hapatanani na mstari wa nne (4).

8. Njaa

A. Njaa hii si sawa na ile ya mstari wa 6 iliyonyesha uhaba au upungufu.

9. Mauti

A. Maradhi mabaya ya kuambukiza.

10. Hayawani

A. Labda ni watawala wakatili wenye kumwaga damu.

MSTARI WA 9

1. Madhabahu

A. Anjalia Ufunuo 8:3.

B. Wakati wa ibada hekalumi sadaka za wanyama zilitolewe hapo - Lawi 4:7.

1. Na hawa waliuawa kwa sababu ya kuwa waaminifu kwa Neno la Mungu, walione

kama chini ya madhabahu kwami damu zao zilimiminwa chini ya madhabahu.

2. Nafsi (roho)

A. Nafsi ni uhai - Lawi 17:11, Mwa. 2:7.

38