You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Huwezi kuambukizwa VVU kwa ...

Huwezi kuambukizwa VVU kwa:

• Kubusu

• Kugusana

• Kukumbatiana

• Kushikana mikono

• Kutumia vijiko au vikombe

• Kwa ukohoaji au chafya ya mtu mwingine

• Kutumia choo kimoja

• Kuumwa na wadudu au wanyama

• Kula na kunywa pamoja na wenye VVU

• Kufanya vitu vyovyote ambavyo haviruhusu shahawa, majimaji

ukeni, damu au maziwa ya mama mwathirika kuingia kwenye

damu ya mtu mwengine asiye na VVU

Huwezi kupata VVU kwa kunywa pamoja. Lakini, unywaji wa pombe

inaweza kukushawishi katika njia za maambukizi, kama vile: kujamiiana

na watu wengi, kujamiiana bila kondom, au kukosea kutumia kondom

kwa uhakika kabla ya kujamiiana.

11 KISWAHILI