19.01.2015 Views

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kuhusu kitabu hiki

Kitabu hiki kinahusu VVU, ukimwi na magonjwa ya ngono mengine.

Kitabu hiki kimeandikwa kwa manufaa ya jamii ya kiMaasai kwa makazi

yao yote iwe Tanzania na Kenya vilevile na manufaa kwa watu wengine

wanoishi Tanzania na Kenya.

Kitabu hiki imeandikwa na shirika lisilo la serikali (NGO) Empuaan.

Empuaan ina lengo hili tu: kuheshimu wenyeji, matakwa na desturi yao,

kuzuia magonjwa ya ngono ikiwemo VVU/ukimwi, na kulinda afya na

maisha mema.

Afya njema ni muhimu kwa kila mtu. Kwa sababu hii ni muhimu kila

moja ndani ya jamii kufahamu juu ya VVU na ukimwi. Soma kitabu hiki

wewe mwenyewe, halafu soma kwa sauti ili asie elewa kusoma aweze

kusikia. Jadilini kuhusu ujumbe wa kitabu hiki na marafiki, familia yako,

rika yako na jamii kwa ujumla. Kwa pamoja tutashinda VVU/ukimwi na

magonjwa ya ngono zingine.

Chapa ya kwanza A 2013

1 KISWAHILI!

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!