19.01.2015 Views

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Jinsi ya kutumia kondom ya kike

6. Kondom ya kike haibani ukeni. Lazima kuchukuwa taadhari ili

mtikisiko wa uume usikosee na kwenda pembeni mwa mdomo wa

kondom. Ni budi kuhakikisha kuwa kondom ipo sawasawa mara kwa

mara wakati wa kujamiiana.

7. Baada ya kujamiiana chomoa kondom haraka

kabla ya mke kuinuka na unapochomoa

hakikisha kuwa unasokota kondom ili

shahawa isije ikamwagika ndani ya uke.

8. Usitumie kondom ya kiume na kondom ya kike wakati moja. Tumia

kondom moja tu, kondom ya kiume au kondom ya kike. Mkitumia

kondom mbili pamoja zinaweza kupasuka.

35 KISWAHILI

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!