You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Elimu ya kupima VVU

Faida ya kupima VVU ni nyingi, kwa mfano:

1. Kufahamu kuwa hujaathirika VVU inakusaidia kubadili tabia na

kuishi bila kuaambukizwa.

2. Huwapa nafasi waathirika VVU kuchukuwa madawa (ARVs)

kwenye hospitali ambazo zitaweza kusaidia kuongeza muda wa

kuishi.

3. Kufahamu kama umeshaathirika au hujaathirika VVU huondoa

wasiwasi.

4. Huwapa watu waliopanga kuowana matumaini makubwa.

5. Huwapa watu waliopanga kuzaa watoto matumaini makubwa.

6. Huwapa wanawake walioathirika VVU nafasi ya kuwakinga

watoto wasiambukizwe VVU.

51 KISWAHILI