19.01.2015 Views

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Maambukizi ya VVU kupitia kwenye damu

Kumbuka: Njia kuu ya kuambukizwa VVU ni kujamiiana bila

kutumia kondom.

Lakini VVU pia inaweza kuambukizwa kutoka damu ya mtu aliathirika

kuingia kwenye damu ya mtu mwengine. VVU inaweza kupitia njia

zifuatazo:

• Kushirikiana sindano

• Kushirikiana nyembe

• Kushirikiana visu vya kukata mwili (pamoja na visu au wembe ya

kutahiri)

• Kushirikiana mswaki, kwa sababu inaweza kuwa na damu.

• Kushirikiana vitu vyovyote vya kupenya mwilini vinavyoweza

kuwa na damu ya mtu mwengine.

• Kufanya shughuli yoyote enye damu nyingi ya mtu mwengine,

kwa mfano kuzalisha au ajali, bila kutumia glavu / mpira mkononi

kwa sababu damu inaweza kuingia kwenye jeraha kwenye ngozi

ya mwili.

• Pia VVU inaweza kuambukizwa kwa kuongezewa damu

hosipitalini. Siku hizi hii siyo shida kwani damu kupimwa kabla

ya kutumika na damu ya mwathirika haitumiki hospitalini.

Ngozi ya mwili ni ngumu sana na VVU haiwezi kupitia. VVU inaweza

kupitia kwenye jeraha tu. Uwe mwangalifu na damu ya mtu mwengine,,

lakini kumbuka kwamba njia kuu ya kuambukizwa VVU ni kujamiiana

bila kutumia kondom.

41 KISWAHILI

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!