19.01.2015 Views

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Elimu ya ngono salama

Ukijamiiana na watu zaidi ya mmoja unaweza kujikinga wewe mwenywe

na wenzi wako kwa kufanya ngono salama kila tendo la ngono.

Ngono salama ni mapenzi ambayo hazita ruhusu shahawa, majimaji ukeni

au damu ya mtu aliyeathirika kuingia kwenye mwili wa mtu mwingine.

Ukijamiiana na watu zaidi ya mmoja njia kuu ya kijikinga ni

kutumia kondom kila tendo la ngono.

Kama mume na mke wake wanaamua kujamiiana na watu wengine wa

nje, bado wanaweza kujikinga kwa kutumia kondom. Kama wanatumia

kondom kila tendo la ngono nje ya ndoa, mume na mke wanaweza

kujamiiana pamoja bila kutumia kondom, na bado mnaweza kujikinga

VVU na mnaweza kuzaa watoto wasiyo na maambukizi ya VVU.

17 KISWAHILI

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!