19.01.2015 Views

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

Book 1a Swa Maa Ed 1a 2013 - Empuaan

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Jinsi ya kutumia kondom

1. Tumia vidole tu, kufungua pakiti ya kondom

kwa uangalifu ili usiharibu kondom iliyo ndani

ya pakiti. Usitumie kucha, meno au vifaa

vyovyote vyenye ncha kali kufungua pakiti.

Michirizi iliyo pembezoni mwa pakiti

yatakusaidia kufungua pakiti kwa urahisi

zaidi.

2. Wakati umeshaondoa kondom kwenye pakiti,

utaona kwamba kondom ina kitu chake cha

kulainisha. Kitu hiki ilitengenezwa kwa maji,

siyo mafuta (kwa sababu mafuta inapasua

kondom). Ina kazi mbili: inalainisha kondom

ikiwa ndani ya pakiti, pia inafanya kondom

kuteleza wakati wa kujamiiana.

3. Pia utaona kwamba kondom imekunjwa.

Hakikisha kwamba mkunjo wa kondom

inakuwa nje ya kondom ili iwe rahisi wakati

wa kuvalisha kwenye uume. Pia utaona

kwamba kondom inayo chuchu. Chuchu ni

sehemu ya shahawa.

4. Hakikisha umefinya chuchu vizuri wakati

unavalisha uume ili hewa isibaki ndani ya

kondom. Hewa ikibaki ndani, kondom

inaweza kupasuka wakati wa kumwaga

shahawa.

23 KISWAHILI

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!