08.01.2015 Views

PACKARD WESTERN KENYA BASELINE SURVEY 2010

PACKARD WESTERN KENYA BASELINE SURVEY 2010

PACKARD WESTERN KENYA BASELINE SURVEY 2010

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Q826

In a couple, who do you think should have the greater say in

each of the following decisions: the husband, the wife, or both

equally:

Kati ya mume na mke ni nani unaefikiria anafaa kufanya

uamuzi mkuu kwa mambo yafuatayo: ni mume, mke, au ni wote

kwa usawa:

HUSBAND

WIFE

BOTH

EQUALLY

DK/DEPENDS

a) Making large household purchases

Kununua vitu vya nyumba vya gharama kubwa

1 2 3 8

b) Making small daily household purchases

Kununua vitu vidogo vidogo vya kila siku vya nyumbani

1 2 3 8

c. Deciding when to visit family, friends, or relatives

Kuamua ni wakati gani wa kutembelea ndugu, jamaa na

marafiki

d. Deciding when and where to seek medical care for

your own health

Kuamua ni wakati gani na ni wapi uende kutibiwa

1 2 3 8

1 2 3 8

Q827

Sometimes a man is annoyed or angered by things that his wife does. In your opinion, is a

man justified in hitting or beating his wife in the following situations

Wakati mwingine mwanamume hukasirishwa na mambo mengine ambayo mkewe hufanya.

Kwa maoni yako, mwanamume anakubaliwa kumpiga mkewe wakati mambo kama

hayayafuatayo yanapofanyika

YES NO DON’T

KNOW

a. If she goes out without telling him

Akienda nje kutembea bila kumwambia

1 2 8

b. If she neglects the house or the children

Akipuuza kuchunga nyumba ama watoto

1 2 8

c. If she argues with him

Anapobishana na mumewe

1 2 8

d. If she refuses to have sex with him

Akikataa kufanya ngono naye

1 2 8

e. If she cooks the food improperly

Akipika chakula vibaya

1 2 8

f. If he suspects her of being unfaithful

Akishuku kuwa mkewe si mwaminifu

1 2 8

g. If she refuses to have another child

Akikataa kumzalia mtoto mwengine

1 2 8

Page 56

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!