08.01.2015 Views

PACKARD WESTERN KENYA BASELINE SURVEY 2010

PACKARD WESTERN KENYA BASELINE SURVEY 2010

PACKARD WESTERN KENYA BASELINE SURVEY 2010

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Now I am going to read some statements to you about relationships and children. For

each statement, please tell me your opinion as to whether you strongly agree, agree,

disagree, or strongly disagree with it.

Sasa nitakusomea maneno kuhusu uhusiano wa mume na mke na uhusiano na

watoto. Kwa kila maneno tafadhali nieleze maoni yako iwapo unakubaliana kabisa,

unakubaliana kiasi, hukubaliani kiasi ama hukubaliani nayo kabisa.

Strongly

Agree

Nakubaliana

kabisa

Agree

Nakubaliana

Disagree

Sikubaliani

Strongly

disagree

Sikubaliani

kabisa

Q828

Q829

Q830

Q831

Q832

Q833

Q834

Q835

Q836

Q837

Q838

The husband should be the one to decide whether the couple should use a

family planning method.

Mume ndiye anafaa kuamua ikiwa yeye na mke wake watatumia njia ya

kupanga uzazi.

Couples who practice family planning have a better quality of life than those

who do not.

Mume na mke wanao tumia njia za kupanga uzazi wana maisha bora kuliko

wale ambao hawatumii.

Husbands and wives should discuss family planning.

Wanaume na wake zao wanafaa kujadiliana kuhusu upangaji wa uzazi.

Men should not allow their wives to use family planning.

Wanaume hawafai kuwaruhusu wake zao kutumia njia za kupanga uzazi.

A woman who uses family planning without her husband’s knowledge should

be punished.

Mwanamke ambaye anatumia njia za kupanga uzazi bila mume wake kujua

anafaa kuadhibiwa.

A woman who has no children is not complete/fulfilled.

Mwanamke asiyekuwa na watoto si mkamilifu.

A man who has no children is not complete/fulfilled.

Mwanamume asiyekuwa na watoto si mkamilifu.

It is good to have many children because one is not sure who among them

will survive to care for the parents at old age.

Ni vyema kupata watoto wengi kwa sababu mtu hana uhakika ni yupi

atakaye ishi ili kuwatunza wazazi wakizeeka.

The number of children a couple will have is for God only to decide.

Ni mungu tu anayeamua idadi ya watoto ambayo mume na mke watapata.

A woman should continue bearing children until she has at least one son.

Mwanamke anafaa kuendelea kuzaa watoto hadi angalau apate mtoto

mmoja wa kiume.

A woman should continue bearing children until she has at least one

daughter.

Mwanamke anafaa kuendelea kuzaa watoto hadi angalau apate mtoto

mmoja wa kike

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

4 3 2 1

Page 57

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!