28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Mheshimiwa Waziri Mkuu swali moja hasa ukizingatia nimeamka

saa tisa alfajiri nilishangaa ilivyoanza vinginevyo nilitaka

kusikitika lakini nashukuru nimepata nafasi. Mheshimiwa Waziri

Mkuu, wastaafu wa Shirika la TAZARA wamekuwa wakidai

mafao yao kuanzia mwaka 2007 na wamekuwa wakipewa

ahadi mbalimbali za Serikali wakati wa Bajeti pamoja na

viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali kwamba

watalipwa malipo yao muda si mrefu. Mheshimiwa Waziri

Mkuu, wastaafu hawa ni Watanzania, wametumikia nchi yao

kwa uadilifu na uaminifu mkubwa, ningependa kujua kauli ya

Serikali ni nini kuhusiana na malipo ya wastaafu hawa wa

TAZARA? Ahsante. (Makofi)

WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kwamba

tumekuwa na tatizo hilo la malipo ya mafao ya wastaafu wa

TAZARA, lakini yako matatizo mengine mengi vile vile kwenye

Shirika hili la TAZARA ambayo tunaendelea kuyashughulikia,

lakini hususani hili la mafao kwanza tulitaka tuwashukuru sana

wafanyakazi hawa kwa sababu katika mkutano wao wa

mwisho na Serikali baada ya majidiliano nao walikubali sasa

kwamba basi Serikali ijaribu kuona namna itakavyolipa zile

bilioni 22 na wamekubali kwamba zilipwe kwa awamu. Kwa

hiyo tumekubaliana kwamba tutatoa fedha hizo kwa awamu

tatu, bilioni 7 awamu ya kwanza, bilioni 7 awamu ya pili na

bilioni 7 awamu inayofuata. Kwa hiyo, Mheshimiwa Kairuki

jambo hilo tunalikamilisha sasa hivi na tutalipa hizo fedha kwa

awamu kama tulivyokubaliana na tunaomba tu wavute subira

kidogo ili tuweze kulimaliza.

Lakini wakati huo huo Serikali imeona ni vizuri tutazame

tatizo la TAZARA kwa upana wake. Kwa hiyo, tumeomba

Mawaziri wanaohusika upande wa Zambia na Tanzania

wakutane ili tuweze kwa kweli kuona namna bora zaidi ya

kuimarisha chombo hiki kwa lengo la kuongeza ufanisi na

kupunguza matatizo ambayo yanawakabili. (Makofi)

10

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!