28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Na. 34

Uendelezaji wa Kilimo cha Umwagiliaji

MHE. RAJAB MBAROUK MOHAMED aliuliza:-

Mwaka 1968 Serikali ilianzisha Kitengo cha Umwagiliaji ili

kuendeleza hekta 10,000 za mashamba; na mwaka 1986 na

1995 Serikali ilipatiwa msaada kutoka UNDP/FAO wa

kuendeleza Kilimo cha Umwagiliaji kwa skimu 147 kwa kipindi

cha miaka 20 hadi kufikia mwaka 2014:-

(a) Je, hadi sasa ni skimu ngapi zimeendelezwa na ni

katika maeneo gani?

(b) Je, ni changamoto gani zilizojitokeza na ni mafanikio

gani endelevu yaliyopatikana?

NAIBU WAZIRI WA KILIMO NA USHIRIKA alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Kilimo

na Ushirika, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Rajab

Mbarouk Mohammed, Mbunge wa Ole, lenye sehemu (a) na

(b), kama ifuatavyo:-

(a) Mheshimiwa Naibu Spika, kati ya mwaka 1988 na

1999, Serikali ilitekeleza Mradi wa Umwagiliaji kwa msaada wa

Mashirika ya UNDP na FAO. Malengo makuu ya Mradi huo,

yalikuwa kujenga uwezo wa Kitengo cha Umwagiliaji, kupanga

na kutekeleza Miradi ya Umwagiliaji katika nchi nzima na

kukarabati baadhi ya skimu zilizokuwa zimechakaa katika

Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka 1994, Mradi huo

uliisaidia Serikali kuandaa Mpango wa Kitaifa wa Kuendeleza

Umwagiliaji (National Irrigation Development Plan – NIDP),

ambao uliweka lengo la kuendeleza skimu 147 ifikapo mwaka

34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!