28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Wizara hii iliingia makubaliano na kampuni moja ya Kihindi ya

Jayan katika kuendeleza mifumo ya umwagiliaji. Je,

Mheshimiwa Waziri utalihakikishiaje Bunge hili pamoja na

wananchi ya kwamba makubaliano hayo siyo bomu

linaloweza kuliingizia Taifa katika mrorongo wa mikataba feki ili

Taifa lisije kuingia katika hasara nyingine?

NAIBU SPIKA: Ahsante sana. Mheshimiwa Naibu Waziri wa

Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Chiza karibu.

NAIBU WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA:

Mheshimiwa Naibu Spika, kwanza, inaonekana kama

Mheshimiwa Mbarouk kuna baadhi ya mambo hajayaelewa

vizuri; ningependa nimkaribishe ofisini kwangu ili nimpe elimu

ayaelewe kwa sababu mpangilio wenyewe wa kuuliza haendi

kama yalivyo. Ninapenda niseme kwa kifupi tu kwamba,

Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ambayo ndiyo

ambayo tunaitekeleza hivi sasa imeweka Mifuko hiyo; kwanza,

kuanzia ngazi ya Wilaya tunayo mipango ya kuendeleza kilimo

katika ngazi ya Wilaya (District Agricultural Development Plans),

ambako ndiko huko tunakoanzia kupanga mipango ya kilimo

cha umwagiliaji na ina kiwango cha fedha ambapo

Halmashauri zote hujipangia mipango hiyo na kuomba fedha

hizo.

Baada ya hapo tunakwenda katika ngazi ya District

Irrigation Development Fund kama fedha hiyo ipo kati ya

kiwango cha bilioni 500 mpaka milioni 800, zinapozidi hapo

tunaweka Mfuko unaoitwa National Irrigation Development

Fund kama fedha hizo zinazidi shilingi milioni 800.

Mheshimiwa Naibu Spika, fedha hizi zinajadiliwa katika

Halmashauri zote kulingana na mipango ambayo Halmashauri

imejiwekea. Kwa hiyo, ningemwomba Mheshimiwa Mbarouk

ashiriki katika Vikao hivyo vya Halmashauri, wanapopanga

mipango hii ya maendeleo ya kilimo ili aweze kuelewa

mipango inavyopangwa. Kwa kifupi ni kwamba, Halmashauri

36

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!