28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Mheshimiwa Mama Malecela kwamba tupange utaratibu sasa

ambao utatuwezesha, si kuuza minofu, lakini tuone kama

tunaweza kutumia utaratibu ambao utatuwezesha. Minofu ile

iweze kusindikwa ifungwe na kuuzwa moja kwa moja kwenda

kwa mlaji baada ya kuzingatia taratibu zile za ubora

unaotakiwa, mimi naamini linawezekana.

Kwa hiyo, nataka nimhakikishie Mheshimiwa Mama

yangu Anne Kilango Malecela pale kwamba jambo hili

nimelipokea na juzi nimewaandikia Wakuu wa Mikoa wote wa

Kanda ya Ziwa kwamba watafute katika kikao chao cha

pamoja cha uwekezaji wanadi hili wazo la namna ya

kuongeza thamani ya zao hili la samaki kwa kuona uwezekano

wa kuwa na mwekezaji katika Kanda ile ambaye atafanya kazi

si ya kuuza minofu lakini kazi ya kuitengeneza hiyo minofu kwa

kiwango kinachotakiwa ili kiweze kuuzwa nje bila kupitia kwa

mtu mwingine ambaye anafaidika zaidi kuliko sisi wenyewe.

(Makofi)

Kwa hiyo, nawashukuru sana wale maprofesa wa

Marekani ambao ndiyo wamefanya uchunguzi huo, utafiti huo

na baadaye wametuletea mawazo haya. Lakini nikushukuru

vile vile Dada Anne Kilango Malecela kwa sababu na wewe

ulilifuatilia kwa nguvu sana jambo hili na ndiyo maana nikatoa

majibu na maelekezo haraka sana kuhakikisha kwamba jambo

hili sasa tunalipa nafasi kubwa katika Taifa letu. (Makofi)

NAIBU SPIKA: Ahsante sana Mheshimiwa Waziri Mkuu.

Kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu kimeisha. Tunakushukuru

sana Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa majibu yako fasaha, kama

kawaida yako. Ahsante sana. (Makofi)

Katika kipindi hiki cha maswali kwa Mheshimiwa Waziri

Mkuu, tumepata maswali kutoka kwa kiongozi wa Upinzani

Bungeni na Wabunge wengine sita. Kwa hiyo, kwa ujumla

tumeweza kupata Wabunge saba. Naomba niwashukuru wale

wote mliopata nafasi ya kuuliza maswali. Kwa wale wengine

20

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!