28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Mheshimiwa Naibu Spika, kwanza kabisa, ningependa

nichukue fursa hii kumpongeza sana Mheshimiwa Mbunge,

kwa ufuatiliaji wake mzuri wa ruzuku ya fidia ya vyanzo vya

mapato kwa Halmashauri zote hapa nchini ikiwemo na

Namtumbo. Vile vile kufuatilia uwiano wa mapato

yanayotokana na ada ya leseni kama alivyosema.

Mheshimiwa Naibu Spika, swali la kwanza kuhusu fidia;

ningependa niseme kwamba, kuhusu fidia, panapojitokeza

kwamba ipo haja ya kulipa fidia, Serikali huwa inabainisha

chanzo cha fidia hiyo kulipwa na namna ya kutatua tatizo hilo

kwa njia ya muda mfupi au muda mrefu na hasa kwa

kuzingatia uwezo wake wa kifedha, kwa maana ya bajeti. Sasa

kwa hili la Halmashauri kupewa fidia kwa kuziba mapengo

yaliyojitokeza, tunaangalia pengo hili au tatizo hili lilitokeaje.

Mheshimiwa Naibu Spika, utaona kwamba, Halmashauri

nyingi zimeshindwa kukusanya mapato kupitia hii ada ya leseni.

Sasa mtu aliyeshindwa au Halmashauri iliyoshindwa leo tena

ipewe fidia kwa kushindwa, inakuwa ni vigumu. Ukizingatia

uwezo wa bajeti kwa hivi sasa kwa kipindi hiki cha muda mfupi

uliobaki wa miezi miwili, mitatu na kama alivyosema

Mheshimiwa Waziri Mkuu, wakati akijibu swali hapa kwamba,

tuna upungufu wa bajeti finyu sasa hivi; kwa hiyo, itakuwa

vigumu sana kutoa fidia kwa Halmashauri hizi ili kuziba

mapengo hayo.

Mheshimiwa Naibu Spika, upande wa swali la pili la ruzuku

ni kwamba, Manispaa, Majiji au Miji Mikubwa, kwa sababu

wao wana fursa nzuri ya kukusanya ada ya leseni,

wapunguziwe ruzuku na ruzuku hiyo iende kwenye Halmashauri

hizi ndogondogo ambazo fursa ya kukusanya ada ya leseni ni

ndogo. Ninafikiri huu ni ushauri mzuri sana na ningependa

kumwambia Mheshimiwa Mbunge na Wabunge wengine

kwamba, hili tutazidi kushauriana au tutaomba ushauri wa

26

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!