28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Waziri Mkuu, je ni kweli Serikali imefilisika? Au imekuwa na

vipaumbele vingi na mipango mingi ambayo haitekelezeki?

WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Naibu Spika, naomba

nimshukuru sana Mheshimiwa Rajab Mohamed kwa swali lake,

lakini nataka nimhakikishie tu Serikali haijafilisika maana hata

wewe usingekuwepo Bungeni hapa. (Kicheko)

Bado tupo, bado tupo ila ni kweli kwamba Bajeti yetu ni

kali kidogo, kubanana ni kukubwa sana na tulilazimika hapo

katikati kuchukua hatua zaidi za kubana matumizi hasa

kwenye maeneo yale ambayo sio ya lazima sana kwa

kupunguza kiasi fulani cha Bajeti yetu. Sasa lile ofcourse

limesababisha kidogo kubanwa kukubwa kwenye maeneo

haya.

Lakini ni jambo ambalo limeelezwa vizuri kwa vyombo

vyote vinavyohusika na tumewaomba sana wajitahidi ndani ya

Bajeti ambayo sasa tunaenda nayo basi wahakikishe fedha zile

zinazopelekwa zisaidie kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za

Serikali. Hatutakwama, lakini tutafika mwisho wa mwaka tukiwa

tumefunga mikanda kwa nguvu sana. Lakini lengo ilikuwa ni

lazima tubaki katika utaratibu unaotuwezesha kuwa na Bajeti

ambayo imezingatia uhalisia badala ya kujidanganya kwamba

mna Bajeti kubwa ambayo kumbe ndani yake yaliyomo si ya

uhalisia ndiyo hasa tunachojaribu kufanya sasa hivi.

MHE. MWIGULU L. M. MADELU: Mheshimiwa Waziri Mkuu,

tumeshuhudia matatizo katika sekta ya elimu ikiwepo watoto

kukaa chini na walimu wapya kukosa malipo na kuishi katika

maisha magumu. Serikali ilikuwa inafuatilia fedha ambazo ziko

kwa jina la chenji ya rada na taarifa tulizokuwa nazo ilikuwa

zitumike katika kuboresha sekta ya elimu na taarifa nilizozipata

kutoka Uingereza ni kwamba ile chenji imerudi. Sasa swali

langu kama ni kweli ni kiasi gani kimerudi na Mheshimiwa Waziri

Mkuu ni lini hizo fedha zitapelekwa kwenda kunusuru sekta ya

14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!