28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

12 APRILI, 2012

Mkazo katika Programu hiyo ni kushughulikia suala zima la

miundombinu kwa maana ya bandari ya uvuvi, lakini pia mialo

ya kuweza kuwarahisishia wavuvi kuwa na mahali pa kuja

kufanya landing wanapovua wawe na mahali pa kufikia.

Mheshimiwa Naibu Spika, pili, Programu inakazania pia

kujenga uwezo wa wavuvi wadogowadogo. Kwa hiyo,

Programu imeendeleza mawazo ambayo yalianza katika

kipindi cha nyuma mfano katika Wilaya ya Mkinga, jumla ya

zaidi ya shilingi milioni 600 zilitolewa kuwajengea uwezo wavuvi

wadogowadogo ili waweze kuvua na waweze pia kufanya fish

farming na kutumia kama mitaji kuboresha maisha yao.

Niseme tu, Programu hii imekamilika na tunatarajia

kwamba, itapatiwa fedha na mkazo utakuwepo katika Sekta

ya Uvuvi.

(ii) Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kwamba, ukuaji

umekuwa mdogo kama tulivyosikia, kinachovuliwa kutoka Ziwa

Viktoria, wananufaika wengine, lakini pia Deep Sea Fishing

Authority, wananufaika wengine zaidi yetu. Mpango wa sasa

unajaribu kuziba mianya inayowanufaisha wengine na

kuhakikisha kwamba, sisi tutanufaika zaidi.

Nitamwomba Mheshimiwa Mbunge na nikuombe wewe

Mheshimiwa Naibu Spika, Programu itakapokuja kuombewa

pesa tuipatie fedha za kutosha kwa sababu tutanufaika zaidi

kutegemeana na kiasi cha pesa tutakachokuwa tunaweka

kwenye utekelezaji wa Programu hiyo.

NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kwa sababu ya

muda, nitaomba sana maswali ya leo wauliza maswali wawe

wale wenye maswali ya msingi tu basi. Tunaendelea na

Mheshimiwa Mchungaji Luckson Ndaga Mwanjale, Mbunge

wa Mbeya Vijijini.

30

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!