28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

12 APRILI, 2012

yaliyoanzishwa kwa mujibu wa ibara ya 75 ya katiba ya

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

(b)Mheshimiwa Naibu Spika, kuhusu Wabunge

wanaotoka Tanzania Zanzibar kutokuwa Wajumbe wa Baraza

la Madiwani kama ilivyo kwa Wabunge wa Tanzania Bara.

Jambo hili linatokana na Sheria zinazosimamia uanzishaji,

muundo na majukumu ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa

upande wa Mabaraza la Madiwani Tanzania Zanzibar.

Mheshimiwa Naibu Spika, naomba ifahamike kuwa Sheria

ya Serikali za Mitaa Namba 8 ya mwaka 1982 Mamlaka za miji

na Sheria za Serikali za Mitaa Na. 7 ya mwaka 1982 Mamlaka

za Wilaya siyo Sheria za Muungano. Hivyo namshauri

Mheshimiwa Mbunge kuwasilisha suala hili kwenye Baraza la

Wawakilishi ili kama italazimu kufanya hivyo Sheria za Tanzania

Zanzibar zirekebishwe kuwajumuisha Wabunge katika

Mabaraza ya Miji ya Tanzania Zanzibar.

MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Ahsante sana

Mheshimiwa Naibu Spika. Nashukuru kwa majibu mazuri ya

Waziri yenye matumaini. Kwa kuwa pesa za mfuko wa jimbo

kwa upande wa Zanzibar zimekuwa zina mzuko mwingi, hata

hawa wabunge wa majimbo hawazipati kwa wakati muafaka.

Je, Serikali ikishirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

mtahakikishaje hizi fedha za Mfuko wa J imbo zinawafikia

walengwa na kwa wakati muafaka? (Makofi)

Swali la pili. Kwa kuwa wanawake wengi wamekuwa ni

chachu ya maendeleo katika jamii na katika mikoa. Je, Serikali

mtahakikishaje wanawake hawa wanashirikishwa katika mfuko

wa jimbo? (Makofi)

NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA

NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI): Mheshimiwa Naibu Spika,

kipindi kilichopita kwenye Bunge hili lililopita Mwanasheria Mkuu

22

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!