28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

12 APRILI, 2012

Kutakuwa na basi ambalo litaondoka hapa kwenye saa

nne. Kwa hiyo, Waheshimiwa Wabunge ambao watapenda

kufanya hivyo tuingie katika usafiri huo.

KIAPO CHA UTII

Wabunge wafuatao waliapa Kiapo cha Utii na kukaa

katika nafasi zao ndani ya Ukumbi wa Bunge.

Mheshimiwa Cecilia Daniel Paresso

Mheshimiwa Joshua Samwel Nassari

(Hapa Wabunge walishangilia na kupiga vigelegele

baada ya Kiapo)

NAIBU SPIKA: Order. Katibu hatua inayofuata.

HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI

Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:-

WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU SERA URATIBU NA

BUNGE: Taarifa ya Mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa

Hesabu za Serikali juu ya Hesabu zilizokaguliwa za Serikali za

Mitaa kwa Mwaka ulioishia Tarehe 30 Juni, 2011. (The Annual

General Report of the Controller and Auditor General on the

Audit of the Financial Statements of the Local Government

Authorities for the year ended 30th June, 2011)

NAIBU WAZIRI WA FEDHA (MHE. GREGORY GEORGE TEU):

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa ruhusa yako na kupitia kwako

kabla ya kuwasilisha Hati Mezani naomba nitoe taarifa fupi

ndani ya Bunge lako Tukufu kwamba katika mkutano wa

Umoja wa Mataifa (The United National General Assembly),

uliofanyika Novemba, 2011.

2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!