28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Kundi la pili ni wageni wetu kutoka DFID, Shirika la

Misaada la Uingereza, ambao ni Dkt. Marshal Elliot, Kiongozi wa

Msafara, akifuatiwa na Mr. Mark Montgomery - Governance

Adviser, Ndugu Richard Moberly - Senior Economic Adviser na

Ms Getrude Mapunda ambaye ni Social Development Adviser.

Karibuni sana na walipita ofisini kwangu jana tukaongea nao

pamoja na mambo mengine, wanapendekeza kutusaidia

kuanzisha kitu kinachoitwa Parliamentary Score Card, ambayo

ita-truck mwenende na ushiriki na perfomance ya Mbunge

katika miaka ambayo anakuwepo Bungeni ili mwisho wa

miaka mitano wananchi waweze kujua. Kwa hiyo,

tunaendelea kuongea tuone kama jambo hili linawezekana au

vipi, lakini tutapenda vilevile kupata ushauri wenu. Ahsanteni

sana and you are welcome. (Makofi)

Naomba kuwatambulisha Wabunge wa Afrika Mashariki,

nianze na Wabunge watatu; Mheshimiwa Abdullah Mwinyi,

Mheshimiwa Sebtuu Mohamed Nassor na Mheshimiwa Said

Gharib Bilal. Hawa ni Wabunge wa kutoka upande wa

Zanzibar, vilevile nimtambulishe Mheshimwa Janet Deo Mmari.

(Makofi)

Ahsante sana Mheshimiwa Janet. Katika ile group nzima

ya Wabunge wa Afrika Mashariki waliomaliza muda wao, kwa

upande wa Tanzania Bara, yeye peke yake ndiye aliyebakia.

Sasa katika masuala ya kumbukumbu za kitaasisi yaani

Institutional memory, mimi sina cha kusema. (Makofi)

Tunaendelea na wageni wa Waheshimiwa Wabunge.

Wapo wageni 90 wa Mbunge Mteule wa Arumeru Mashariki,

Mheshimiwa Joshua Nassari wakiongozwa na mzazi wake

Bwana na Bibi Mchungaji Samwel Nassari. Karibuni sana kutoka

Arumeru, kijana wenu amefika hapa. Mzee Samwel nyoosha

mkono, ahsante sana na karibu sana baba yetu. (Makofi)

50

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!