28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

(a) Mheshimiwa Naibu Spika, kwa mujibu wa Mkataba

wa Ujenzi wa Barabara ya Isuna – Singida (km 63), ambayo ni

sehemu ya Barabara ya Manyoni – Isuna – Singida, muda wa

uangalizi baada ya barabara kukamilika ni miaka mitatu. Ujenzi

ulikamilika mwaka 2008 na muda wa uangalizi wa miaka

mitatu uliisha mwezi Juni mwaka 2011. Aidha, sehemu ya

Manyoni – Isuna (km 54) imejengwa na Kampuni ya China Geo

Engineering kutoka China na barabara bado haijafunguliwa.

(b) Mheshimiwa Naibu Spika, wakati wa kipindi hiki cha

uangalizi, Mkandarasi anaruhusiwa kufanya kazi za mikataba

mingine ya kazi za ujenzi wa barabara kulingana na uwezo

wake.

MHE. CHRISTOWAJA G. MTINDA: Mheshimiwa Naibu Spika,

napenda kuuliza maswali mawili ya nyongeza kama ifuatavyo:-

(i) Kwa kuwa katika swali la msingi Waziri amejibu

kwamba Mkandarasi alishamaliza muda wake wa uangalizi na

kwa kuwa mkataba ulishakwisha alitakiwa awe

ameshaondoka; lakini hivi ninavyozungumza hapa Mkandarasi

huyu ameanzisha biashara nyingine ya kuchimba kokoto na

kuuza kwa makampuni mengine ya ujenzi wa barabara. Je, ni

lini Serikali iliipatia Kampuni ya SIETCO mkataba mpya au leseni

ya kufanya biashara ya kuchimba kokoto na kuuza kwa

makampuni mengine?

(ii) Kama Serikali iliipatia Kampuni hii ya SIETCO ya

kuchimba na kuuza kokoto bila kushirikisha wananchi; je,

kampuni hii inalipa kodi stahiki kwa Serikali ya Kijiji cha Utaho na

Halmashauri ya Wilaya ya Singida kama ambavyo Sheria ya

Madini inataka?

NAIBU SPIKA: Majibu Mheshimiwa Naibu Waziri wa Ujenzi.

Swali la mwisho litatoka kwa Mheshimiwa Diana Chilolo.

46

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!