28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

12 APRILI, 2012

Mheshimiwa Naibu Spika, eneo la kiwanda na majengo

lina ukubwa wa Hekta 102, linatambulika kama Shamba Na.

760, lenye hati Na. LO/188772/3 ya miaka 33 kuanzia tarehe 1

Septemba, 1999 na hilo eneo lipo kwenye eneo la Mbalizi.

Eneo la pili katika Mradi huu ni la malisho na lina ukubwa wa

hekta 1999 linalotambulika kama Shamba Na. 761 na lipo eneo

la Nsalala. Shamba hili limetengwa kwa ajili ya malisho kwa

mifugo itakayotumika kiwandani; hivyo, haitakuwa busara

kuligawa kwa wananchi kwa sababu punde kiwanda

kitakapoanza kazi, mifugo haitapata eneo la kuchungiwa ama

kunenepeshwa.

Mheshimiwa Naibu Spika, katika Mpango wa Maendeleo

wa Miaka Mitano 2011/2012 – 2015/2016, Serikali imedhamiria

kufufua Kiwanda cha Nyama cha Mbalizi na kujenga viwanda

vingine vipya kwa kushirikiana na sekta binafsi.

MHE. MCH. LUCKSON N. MWANJALE: Mheshimiwa Naibu

Spika, nashukuru kwa majibu mazuri ambayo Naibu Waziri

ameyajibu lakini nina maswali mawili ya nyongeza.

(i) Kwa kuwa katika jibu la msingi Serikali yenyewe

inakiri kwamba, shamba hilo limewekwa katika soko zaidi ya

mara mbili lakini hakuna mwekezaji yeyote aliyepatikana

kununua shamba au kiwanda hicho. Je, Serikali sasa inatamka

nini na ina mpango gani kwa sababu katika Mpango wa

Miaka Mitano Serikali haikuonesha kama itakifufua kiwanda

hicho; sasa inawatangazia nini Wananchi wa Mbeya Vijijini na

Tanzania kwa ujumla; Kiwanda hicho kitaanza kufanya kazi au

kitawekwa katika mpango lini?

(ii) Kwa kuwa shamba la zaidi ya ekari 2000 lipo pale na

limekaa halilimwi. Je, ni kwa nini, Serikali isiwapatie Wananchi

wa Mbalizi kwa mkataba waweze kulima kwa mkataba na

kisha kiwanda kikifunguliwa waweze kulichukua kwa urahisi

wasipewe wananchi hawa walime?

32

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!