28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

(a) Je, Serikali haioni kuwa kuna haja ya kujenga kituo

maalum cha manunuzi ya mazao ya Wakulima wa Kasulu?

(b) Je, Serikali ina mikakati gani ya kuongeza pembejeo

za kilimo kama vile matrekta, mbolea na mbegu zitakazosaidia

kuwa na kilimo bora?

NAIBU WAZIRI KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, naomba kujibu swali la

Mheshimiwa Agripina Zaituni Buyogera, Mbunge wa Kasulu

Vijijini, lenye sehemu (a), (b) na (c), kama ifuatavyo:-

Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali inatekeleza Mpango wa

Ujenzi wa Masoko ya Kimataifa na Mazao ya Wakulima katika

maeneo mbalimbali nchini. Kuanzi mwaka 2002/2003 hadi

sasa, masoko 188 yamejengwa nchini kupitia Mradi wa Masoko

ya Kilimo (AMSDP) na Mradi wa Uwekezaji katika Sekta ya

Kilimo Wilayani (DASIP).

Hivi sasa ujenzi wa masoko hayo unaendelezwa kupitia

Mradi wa DASIP na Mradi mpya unaoitwa Marketing

Infrastructure Value Addition and Rural Finance. Katika Wilaya

ya Kasulu, Serikali imetenga shilingi milioni 575 za kujenga soko

katika Kijiji cha Mnanila. Taratibu za kusaini mikataba na

wataalam elekezi na wasimamizi wa ujenzi zinaendelea.

Mheshimiwa Naibu Spika, azma ya Kilimo Kwanza na

kufikia Mapinduzi ya Kijani itafikiwa iwapo wakulima

wataongeza matumizi ya pembejeo hususan mbolea, mbegu

bora, viatilifu na matumizi ya zana bora za kilimo yakiwemo

matrekta. Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa ruzuku ili

kuwasaidia wakulima kumudu gharama za pembejeo hizo.

Kupitia utaratibu huo, katika mwaka 2009/2010 jumla ya kaya

42,680, kaya 46,063 katika mwaka 2011/2012 zimenufaika na

ruzuku hiyo. Aidha, matumizi ya zana bora za kilimo nchini

38

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!