28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

12 APRILI, 2012

Lakini kwa maana ya usimamizi na ufanisi wa fedha hizo,

tumeona kwamba tufungue akaunti maalum pale Benki Kuu

na fedha hizi zitatolewa kwa utaratibu maalum kwenda

kwenye maeneo yanayohusika na tumeomba hatimaye

kwamba ni vizuri Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali

apewe na yeye nafasi mwisho wa zoezi hili kufanya ukaguzi wa

kina kuhakikisha kwamba zimetumika inavyotakiwa.

Kwa hiyo, naomba tu nitoe rai hasa kwa Watanzania

kwamba fedha hizi zitakapokuwa sasa zimeanza kutoka

kwenda huko kwa ajili ya ununuzi wa vitabu basi tuhakikishe

tunapata vitabu, vitabu vyenye sifa na ubora unaotakiwa ili

watoto wetu waweze kuvitumia kwa njia nzuri zaidi.

Lakini tuliona vile vile kwamba pengine tutumie kiasi cha

fedha kidogo kwa ajili ya Halmashauri kama tisa hivi ambazo

zina upungufu mkubwa sana wa madawati. Kwa hiyo,

tutatumia kiasi kidogo cha fedha kwa ajili ya kuimarisha

upatikanaji wa madawati kwenye Halmashauri kama tisa hivi,

lakini kwa sehemu kubwa kiasi kingine chote kinachobaki

kitakwenda kwenye vitabu.

Kwa hiyo, namshukuru sana Mheshimiwa Mchemba kwa

jambo hili, tulikuwa tumefikiria baadaye tuje tutoe kauli

Bungeni lakini nadhani hii itasaidia kidogo.

NAIBU SPIKA: Ahsante sana na mimi hapa kwa hatua hii

nimshukuru sana Mheshimiwa Angellah Kairuki, Mheshimiwa

Zungu, Mheshimiwa Cheyo na mimi mwenyewe ambaye kwa

niaba ya Bunge, Serikali na wananchi wa Tanzania tulienda

kule Uingereza tukajitahidi fedha hii imekuja. Tupigieni makofi

basi angalau. (Kicheko/Makofi)

Ahsante sana. Swali linalofuata linatoka kwa Mheshimiwa

Pauline Philipo Gekul.

16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!