28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Na. 31

Ruzuku ya Fidia ya Vyanzo vya Mapato

MHE. VITA R. KAWAWA aliuliza:-

Ruzuku ya fidia ya vyanzo vya mapato iliondolewa bila

maelezo. Je, Serikali haioni kuwa Halmasdhauri zitashindwa

kutekeleza malengo yaliyopangwa kutokana na vyanzo hivyo?

NAIBU WAZIRI WA FEDHA (MHE. GREGORY G. TEU) alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Fedha,

napenda kujibu swali la Mheshimiwa Vita Rashid Kawawa,

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, kama ifuatavyo:-

Mheshimiwa Naibu Spika, ruzuku ya fidia ya vyanzo vya

mapato katika Halmashauri ilipunguzwa kwa jumla ya shilingi

49.1 bilioni kutoka shilingi 59.9 bilioni mwaka 2010/2011 hadi

shilingi 10.8 bilioni mwaka 2011/2012. Punguzo hilo lilitokana na

mpango wa Serikali kupitia mchakato wa Bajeti ya mwaka wa

2011/2012 wa kurejesha utaratibu wa kulipa ada ya leseni za

biashara kila mwaka katika ngazi za vijiji, kata, wilaya, miji,

manispaa na majiji.

Mapendekezo haya yalitarajiwa kuongeza mapato ya

Halmashauri kwa jumla ya shilingi 120.0 bilioni. Kiasi hiki ni

kikubwa ukilinganisha na ruzuku iliyokuwa inatolewa na Serikali

Kuu ya shilingi 59.9 bilioni.

Mheshimiwa Naibu Spika, hata hivyo, baada ya

kutathimini athari za kupunguzwa kiwango hicho cha ruzuku na

kwa kuwa Halmashauri zimeshindwa kufikia malengo yao,

Serikali italeta pendekezo kwenye Bajeti ya kurejesha tena

ruzuku ya fidia ya mapato ya Halmashauri katika mwaka wa

fedha 2012/2013.

24

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!