28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

kwenye Mpango wa Taifa wa Maendeleo ya Miaka Mitano

ambao umeshazinduliwa na Mheshimiwa Rais. Programu hiyo,

itatekeleza pamoja na mambo mengine, uendelezaji wa uvuvi

na ukuzaji wa viumbe kwenye maji, matumizi endelevu na

uhifadhi wa rasilimali za uvuvi na mazingira. Vile vile, Programu

hii itahusisha ukuzaji wa teknolojia ya uvuvi, pamoja na

uimarishaji wa huduma za ugani, utafiti, mafunzo na

upatikanaji wa takwimu sahihi za uvuvi. Aidha, Programu

itaboresha miundombinu ya uvuvi pamoja na kuhamasisha

uwekezaji kwenye Sekta ya Uvuvi.

(b) Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali imekuwa

ikiwawezesha wavuvi wadogo kwa kuwapatia mikopo kupitia

Miradi na Programu mbalimbali zinazotekelezwa chini ya Sekta

ya Uvuvi. Kupitia Mradi wa MACEMP, jumla ya shilingi

1,303,950,355 zilitolewa kama ruzuku kwa ajili ya kuwawezesha

wavuvi, ambapo jumla ya Miradi midogo 125 ya uzalishaji

ilitekelezwa tangu Mradi huo ulipoanza kutekelezwa mwaka

2006 hadi sasa.

Mheshimiwa Naibu Spika, vile vile kupitia Kitengo cha

Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu, Serikali imetekeleza

Mpango wa kubadilishana zana haribifu na zana bora za uvuvi

endelevu katika maeneo tengefu ambazo zimetolewa kama

ruzuku. Chini ya utaratibu huo, jumla ya wanajamii 275 kutoka

Hifadhi ya Bahari ya Kisiwa cha Mafia wamepatiwa majarife

102 na wanajamii 436 kutoka Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya

Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma, wamepatiwa majarife 716.

Mheshimiwa Naibu Spika, katika jitihada nyingine, Serikali

imeendelea kuhamasisha jamii kujiunga kwenye vikundi vya

kuweka na kukopa ili waweze kujijengea uwezo katika

kutekeleza Miradi ya Kiuchumi kwa ajili ya kuboresha maisha

yao.

28

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!