28.02.2013 Views

bunge la tanzania

bunge la tanzania

bunge la tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

12 APRILI, 2012

Kwa hiyo, ikabidi kuanza upya tena. Kwa hiyo

tukachelewa kutoa zile vocha na matokeo yake tukawa

tumechelewa hata kwenye taratibu nyingine. Lakini

tumelizungumza sana kwa upande wetu. Kwa sababu hilo ni

moja ya tatizo lakini yako matatizo mengi sana kwenye mfumo

wa vocha ambayo vile vile tumeyagundua.

Kwa hiyo, tulimwomba Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za

Serikali atusaidie na yeye kufanya ukaguzi maalum wa vocha

kwa sababu hoja ya kuchelewa tunaiona lakini tunataka vile

vile kujiridhisha kama kweli wakulima hawa wanapata faida

hasa kutokana na utaratibu huu? Au wajanja pale katikati

ndiyo wanafaidika zaidi kuliko mkulima. Kwa sababu hili ndiyo

limejitokeza katika baadhi ya maeneo.

Kwa hiyo, tumemwomba CAG na ameshaianza hiyo kazi

nina hakika mwisho wake tutapata ushauri nzuri zaidi namna

ya kuimarisha ikiwepo na hilo ulilolitaja. Nataka nikuhakikishie

safari hii hatutachelewa hata kidogo na Mheshimiwa

Jumanne Maghembe, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,

ameshaambiwa na tumesema tunataka jambo hili msimu

unaanza tuhakikishe na vocha zenyewe zipo tayari kwa ajili ya

zoezi hilo. Kwa hiyo, naamini tutalikabili vizuri katika kipindi hiki

cha mwaka huu.

NAIBU SPIKA: Swali la mwisho kwa leo Mheshimiwa Anne

Kilango Malecela.

MHE. ANNE K. MALECELA: Ahsante sana Mheshimiwa

Naibu Spika. Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa kuwa ninavyo

vielelezo ambavyo vinaonyesha Chuo Kikuu kimoja cha Mjini

New York, Marekani ambacho kilifanya utafiti kuhusu minofu

ya samaki wa Ziwa Victoria na ikaonyesha kwamba samaki

wanaouzwa nchi za nje kutoka kwenye nchi ambazo

zinazunguka Ziwa Victoria zina thamani ya milioni 344,500,000

(milioni mia tatu arobaini na nne na laki tano) hizo zikiwa ni

dola za Kimarekani kwa mwaka.

18

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!