Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
2

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

UTANGULIZI

SURA YA KWANZA

UTAWALA WA WATU NA MAMLAKA YA KATIBA

1. Utawala wa watu

2. Mamlaka ya Katiba

3. Kulinda Katiba

JAMHURI

4. Ikirari ya Jamhuri

5. Eneo

6. Ugatuzi

7. Mji Mkuu wa Kenya

8. Upatianaji Huduma

9. Lugha na Njia za Mawasiliano

10. Nchi na Dini

11. Nembo za Kitaifa

12. Siku za Kitaifa

SURA YA PILI

SURA YA TATU

THAMANI ZA KITAIFA, KANUNI NA MALENGO

13. Thamani za Kitaifa, Kanuni na Malengo

SURA YA NNE

URAIA

14. Kauli za Kijumla

15. Kudumisha kwa Uraia Uliopo

16. Kufuata Uraia

17. Urai kwa Kuzaliwa

18. Uraia na Ndoa

19. Uraia kwa Kujiandikisha

20. Watoto wanaopatikana Kenya na watoto wa kupanga

21. Uraia Mara Mbili

22. Kupokonywa Uraia

23. Makao

24. Majukumu ya Raia

25. Sheria na uraia

SURA YA TANO

UTAMADUNI

26. Kutambua Utamaduni

27. Jukumu la Serikali kuhusiana na utamaduni

SURA YA SITA

SHERIA YA HAKI

Sehemu ya 1- Vipengele vya jumla kuhusiana na Sheria ya Haki

28. Haki na uhuru wa kimsingi

29. Utekelezaji wa Sheria ya Haki

30. Utekelezaji wa haki na uhuru wa kimsingi

31. Utekelezaji wa Sheria ya Haki

32. Mamlaka ya mahakama kudumisha na kutekeleza Sheria ya Haki

33. Mipaka ya haki na uhuru wa kimsingi

34. Haki na uhuru unaoweza kuwekewa mipaka

Sehemu ya 2- Haki na uhuru wa kimsingi

35. Haki ya kuishi

36. Usawa

37. Uhuru dhidi ya kubaguliwa

38. Jinsia

39. Wazee katika jamii

40. Vijana

41. Watoto

42. Familia

43. Walemavu

44. Makundi Tengwa

45. Hadhi ya kibinadamu

46. Uhuru na usalama wa mtu

47. Utumwa na kazi ya kulazimishwa

48. Usiri

49. Uhuru wa dhamiri, dini, imani na maoni

50. Uhuru wa kujieleza

51. Uhuru wa vyombo vya habari

52. Uwezo wa kuafikia habari

53. Uhuru wa kutangamana

54. Mikutano, maandamano, migomo na malalamishi

55. Haki za kisiasa

56. Uhuru wa kutembea na kuishi

57. Wakimbizi na wanaotafuta hifadhi

58. Uhuru wa biashara, kazi na taaluma

59. Ulinzi wa haki ya kumiliki mali

60. Mahusiano ya kikazi

61. Usalama wa kijamii

62. Afya

63. Elimu

64. Makao

65. Chakula

66. Maji

67. Mazingira

68. Lugha na Utamaduni

69. Haki za Watumiaji

70. Hatua ya Haki za Kiutawala

71. Uwezo wa kupata haki

72. Haki za Mahabusu

73. Haki katika kusikizwa kwa kesi

74. Haki za walio vizuizini

75. Hali ya hatari

76. Tume ya Haki na Maswala ya Kijinsia

ARDHI NA MALI

77. Kanuni za sera ya ardhi

78. Utoaji na uainishaji wa ardhi

79. Ardhi ya umma

80. Ardhi ya jumuia

81. Ardhi ya kibinafsi

82. Umilikaji Ardhi na wasio raia

83. Udhibiti wa matumizi ya ardhi

84. Tume ya Kitaifa kuhusu Ardhi

85. Sheria kuhusu Ardhi

86. Ustawishaji wa makao

SURA YA SABA

SURA YA NANE

MAZINGIRA NA MALI ASILI

87. Kanuni na wajibu kuhusiana na mazingira

88. Utunzaji wa mazingira

89. Hifadhi ya mazingira

90. Utekelezaji wa haki kuhusu mazingira

91. Ustawishaji na maendeleo ya mali asili

92. Makubaliano kuhusiana na mali asili

93. Sheria kuhusu Mazingira

SURA YA TISA

UONGOZI NA MAADILI

94. Majukumu ya uongozi

95. Kiapo cha uamnifu

96. Mienendo ya maofisa wa Serikali

97. Fedha za maofisa wa Serikali

98. Uzuiaji wa shughuli

99. Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi

100. Wajibu wa kuhakikisha uzingatifu

101. Sheria kuhusu uongozi

Katiba mpya, Kenya Moja