04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

30

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

(d) kumshauri Rais wa Taifa, kuhusu uanachama wa mahakama

maalum iliyorejelewa katika kifungu 207 (5)(a) na (b);

(e) teua, pokea malalamiko kupinga,kuchunguza na kuwafuta au

vinginevyo kuwaadhibu, wasajili,mahakimu na maafisa wengine wa idara

ya mahakama, kwa njia ambayo imetolewa na na Sheria ya Bunge.

(f) Kuandaa na kutekeleza mipango ya kuendelea kwa elimu na

mafunzo ya majaji, mahakimu,maafisa wengine wa idara ya mahakama

na wafanyakazi wengine katika kazi hiyo; na

(g) kuishauri serikali ya taifa kuboresha utendakazi na utekelezaji wa

haki na pamoja na kutoa huduma za ushauri wa kisheria.

(2) katika utekelezaji wa majukumu yake, Tume itaongozwa na yafuatayo –

(a) ushindani na utaratibu wenye uwazi katika kuwaajiri maafisa wa

idara ya mahakama na wafanyakazi wengine katika idara hiyo.

(b) kukuza usawa wa kijinsia.

Hazina ya Mahakama

212. (1) Kuna hazina buniwa inayojulikana kama Hazina ya Mahakama ambayo

itaongozwa na Msajili Mkuu wa Mahakama.

(2) Hazina hiyo itahifadhi fedha –

(a) fedha zitakazotengwa na Bunge

(b) ruzuku zozote, zawadi, urithi na misaada;na

(3) Hazina hiyo itatumika kugharamia usimamizi wa Mahakama na majukumu

mengine kama itakavyokuwa muhimu katika utekelezaji wa majukumu ya

Mahakama.

(4) Sheria Sheria itakuwa na kipengele cha udhibiti wa Hazina hiyo.

SURA YA KUMI NA NNE

Sehemu ya 1- Malengo na kanuni za serikali ya ugatuzi

Malengo ya ugatuzi

213. Malengo ya serikali ya ugatuzi ni:

a) kuhakikisha kuwa kuna mamlaka ya kidemokrasi9a na uwajibikiaji wa

serikali huru.

b) kuhimiza umoja wa kitaifa kwa kutambua jamii mbalimbali.

c) kuwapa watu katika kila ngazi mamlaka ya kujitawala na kushiriki katika

utumizi wa mamlaka ya Serikali.

d) kutambua haki haki za jamii zote katika kusimamia masuala ya jamii hizona

kubuni mtandao na ushirika ili kusaidia katika usimamizi na kuharakisha

maendeleo.

e) kulinda na kuhamasisha maslahi na haki za jamii ndogondgo katika ngazi

zote nchini..

f) kustawisha miradi ya kijamii na kiuchumi na utoaji wa huduma kwa urahisi

na za karibu kote nchini Kenya.

g) kuhakikisha kuna ugawaji sawa wa rasilmali zote za kijamii na za kitaifa

kote nchini.

h) kufanikisha ugatuzi wa mamlaka za taasisi za Serikali, uendeshaji wake wa

shughuli ama huduma kutoka jijini Nairobi.

i) kuhimiza ushiriki wa watu katika kufikia maamuzi ya masuala yao na

j) kuhakikisha kuna kudhibitiana na kugawana mamlaka kwa njia iliyo sawa.

Kanuni za serikali ya ugatuzi

214. Serikali zilizogatuliwa kulingana na Katiba hii zinazingatia kanuni zifuatazo:

a) Serikali iliyogatuliwa itazingatia misingi ya kidemokrasia na ugawanaji wa

mamlaka.

b) Serikali iliyogatuliwa sharti iwe na njia za kuaminika za ukusanyaji kodi na

uhuru wa kutoa hudua kwa njia bora; na

c) siyo zaidi ya theluthi mbili ya wanachama wawakilishi wa taasisi za umma

katika serikali ya ugatuzi watakuwa wa jinsia moja.

Serikali za maeneo

215. (1) Kutakuwa na serikali ya eneo katika eneo, iliyo na bunge na kamati

yenyewe mamlaka makuu.

(2) Jukumu kuu la serikali ya eneo ni kuunganisha utekelezaji wa shughuli,

katika wilaya zinazounda eneo , Pia mipango ya miradi iliyo katika wilaya mbili

ua zaidi za eneo hilo.

(3) Sheria ya Bunge, kulingana na hii Katiba, itatoa mwongozo kuhusu

muundo wa utawala na usimamizi wa eneo la Nairobi kama eneo la jiji kuu na

mji mkuu wa Kenya.

(4) Licha ya eneo la ya Kifungu cha 228 na Mpangilio wa Nne, Sheria ya Bunge

itatoa mamlaka kuhusu utozaji ushuru kwa serikali ya Eneo la Nairobi.

Mabunge ya maeneo

216. (1) Uwezo wa kutunga sheria wa eneo ni wa bunge la eneo hilo.

(2) Bunge la eneo –

(a) lina wanachama watatu waliochaguliwa na bunge la nchi kutoka

katika kila wilaya eneo miongoni mwa wanachama wa bunge la nchi.

(b) linachaguliwa kwa muhula mmoja wa miaka mitano; na

(c) lina uwezo wa kuidhinisha sheria zozote zilizo muhimu ama za

kutyokea tu ghafla, uendeshaji na utekelezaji wowote uliokabidhiwa

kwao.

(3) Katika kuteua wawakilishi, bunge la nchi litaongozwa na makabila na

mambo mengine mengi kama jinsia na uwakilishaji mwingine uliomo wilayani.

(4) Bunge la eneo, huku likizingati ugawanaji wa mamlaka, lina uwezo wa

kusimamia kamati yenye mamlaka kuu na taasisi yoyote yenye mamlaka kuu

iliyoundwa kisheria na kupitishwa na bunge.

Kamati za mamlaka kuu

217. (1) Uwezo mkubwa wa mamlaka ya eneo utatumiwa na kamati kuu ya eneo

hilo.

(2) Kamati ina watu wafuatao:

(a) mkurugenzi wa eneo, au kama ni Nairobi, meya, aliyechaguliwa

kulingana na vifungu vya sheria 218 na 219 mtawalia.

(b) naibu mkurugenzi wa eneo, au kama ni Nairobi naibu wa meya, ambaye

amechaguliwa kulingana na vifungu vya sheria 218 na 219 mlawalia.

(c) wanachama wengine wasiozidi watano, ambao si wanachama wa

bunge la eneo, walioteuliwa na mkurugenzi wa eneo kwa idhini ya bunge la

neo hilo.

(3) mkurugenzi wa eneo na naibu wake watakuwa afisa mkuu na naibu wa

afisa mkuu wa eneo lao.

(4) Jijini Nairobi, , meya na naibu wake watakuwa maafisa wakuu mtawalia.

(5) Wanachama wa maafisa wakuu wa eneo watawajibika kwa pamoja na

kibinafsi kwa bunge la eneo ili kutekeleza majukumu na mamlaka yao ya

kuendesha shughuli za eneo lao.

Uchaguzi wa mkurugenzi wa eneo na nanibu wake

218. (1) Mkurugenzi wa eneo na naibu wake watachaguliwa na wajumbe ambao ni

pamoja na wanachama wa bunge la wilaya la eneo hilo.

(2) Mwanachama wa bunge la wilaya hawezi kuchaguliwa kama mkurugenzi

wa eneo ama naibu wa mkurugenzi wa eneo.

(3) Anayewania kiti katika kifungu (1) ambao anapata zaidi ya nusu ya kura

katika uchaguzi atatangazwa mshindi.

(4) Kama hakutakuwa na msnhindi, uchaguzi mwingine utafanywa na katika

uchaguzi huo watakaogombea viti watakuwa:

(a) mgombea, ama wagombea, waliopata kura nyingi; na

(b) mgombea, au wagombea waliochukua nafasi ya pili kwa wingi wa kura

(5) Mahali ambapo zaidi ya mgombea mmoja amepata kura nyingi sana ,

kifungu cha (4)(b) hakitafuatwa na wagombea wa pekee katika uchaguzi huo

mpya watakuwa wale wanaokubalika kulingana na kifungu cha (4)(a).

( 6) Mgombea anayepa kura nyingi, au nyingi zaidi, itakavyokuwa katika

uchaguzi huo mpya, atatangazwa kuwa mshindi.

(7) Kulingana na kifungu cha (8), gavana wa wilaya na nanibu wake, kila

mmoja atashikilia wadhifa wake kwa muhula mmoja wa miaka mitano na kila

mmoja anaweza kuchaguliwa tena kwa kipindi kingine ambacho kitakuwa cha

mwisho.

(8) Kulingana na kifungu cha (7), mtu ambaye amehudumu kwa miaka

miwili mfululizo kama gavana wa wilaya ama naibu gavana atachuliwa kuwa

alihudumu kwa kipindi kizima.

Uchaguzi wa meya na naibu wa meya jijini Nairobi

219. (1) Meya na naibu wa meya watachaguliwa na zaidi ya nusu ya kura za wapiga

kura ambao watatimiza masharti ya kuwa wakazi wa eneo hili kulingana na

Sheria za Bunge.

(2) Uchaguzi wa meya na naibu wake utazingatia upigaji kura wa haki wa

kimataifa.

(3) Kwa mujibu wa kifungu cha (1), Sheria za Bunge, zitaelekeza taratibu za

kuzingatiwa katika uchaguzi wa meya na naibu wake.

Shughuli za kamati kuu za maafisa wa maeneo

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!