04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

40

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

(d) Kamanda wa Jeshi;

(e) Kamanda wa Air Force;

(f) Kamanda wa Navy; na

(g) Katibu Mkuu katika Wizara inayohusika na ulinzi.

4)Baraza la Ulinzi litamteua Katibu wake.

(5) Baraza la Ulinzi litahusika na sera nzima, kudhibiti, na kusimamia Vikosi

vya Ulinzi vya Kenya pamoja na majukumu mengine kulingana na jinsi Bunge

litakavyopitisha.

Uongozi

285. (1) Rais wa Taifa, baada ya kushauriana na Baraza la Ulinzi, atateua Mkuu wa

Majeshi, Kamanda wa Majeshi, Kamanda wa Air Force na Kamanda wa Navy.

(2) Uongozi wa Majeshi ya Ulinzi wa Kenya utaakisi tofauti za kimaeneo na za

watu wa jamii mbalimbali nchini.

(3) Kuzingatia mamlaka ya uongozi wa Rais wa Taifa kama Kamanda Mkuu,

Vikosi vya Ulinzi na makamanda wa huduma watatoa amri kwa vikosi vya

Ulinzi wa Kenya na kutekeleza majukumu mengine kisheria kulingana na

sheria ya Bunge .

Sehemu 3 – Huduma za Taifa za Upelelezi

Kubuniwa kwa Huduma za Taifa za Upelelezi

286. (1) Kuna taasisi buniwa ya Huduma za Taifa za Upelelezi .

(2) taasisi ya Huduma za Taifa za Upelelezi itahusika na shughuli za

kiupelelezi kuhusu usalama ili kuimarisha usalama wa taifa, na kulinda Katiba

hii, maslahi ya Taifa na ya watu wa Kenya, na itatekeleza majukumu mengine

kulingana na Sheria ya Bunge.

(3) Huduma ya upelelezi, tofauti na Huduma za Taifa za Upelelezi, ambayo ni

tawi la Majeshi wa Ulinzi la Kenya au Huduma ya Polisi ya Kenya haitabuniwa

isipokuwa kwa njia ya sheria.

Mkurugenzi –Mkuu wa Huduma

287. (1) Kuna ofisi buniwa ya Baraza la Kitaifa la Upelelezi linalohusisha –

(a) Waziri anayewajibika na masuala yanayohusiana na upepelezi wa

kitaifa, ambaye atakuwa mwenyekiti;

(b) Waziri anayehusika na mashauri ya kigeni;

(c) Waziri anayehusika na masuala ya fedha; na

(d) Mwanasheria Mkuu

(2) Mkurugenzi-Mkuu wa Huduma za Taifa za Upelelezi atakuwa katibu wa

Baraza la Kitaifa la Upelelezi.

(3) Majukumu ya Baraza la Taifa la Upelelezi yatakuwa ni-

(a) kushauri Huduma Taifa za Upelelezi katika masuala yote

yanayohusiana na -

(i) usalama wa kitaifa na sera kuhusu usalama;

(ii) usimamizi wa Huduma; na

(iii) matumizi ya fedha na Huduma; na

(b) kutekeleza majukumu mengine kama yanavyotolewa na Baraza

kulingana na sheria.

Baraza la Kitaifa la Ujasusi .

288. (1) Kumeundwa Baraza la Kitaifa la Ujasusi linalojumuisha —

(a) Waziri anayehusika na masuala yanayohusiana na upelelezi wa taifa,

ambaye atakuwa mwenyekiti;

(b)Waziri anayehusika na masuala ya nchi za Kigeni

(c) Waziri wa Fedha; na

(d) Mwanasheria Mkuu.

(2) Mkurugenzi Mkuu wa Huduma ya Upelelezi atakuwa katibu wa Baraza la

Kitaifa la Upalalazi.

(3) Majukumu ya Baraza la Kitaifa la Upelelezi—

(a) shauri Huduma ya Kitaifa ya Upelelezi kuhusu mambo yote

yanayohusiana na—

(i) Usalama wa kitaifa na sera za upelezi ;

(ii) Usimamizi wa Huduma ; na

(iii) Matumizi ya pesa katika Huduma; na

(b) Tekeleza majukumu mengine kama yatakavyotolewa kwa Baraza na

sheria.

Sehemu 4 – Huduma ya Polisi ya Kenya

Kuundwa kwa Huduma ya Polisi ya Kenya

289. (1) Kuna Huduma ya Polisi ya Kenya iliyobuniwa -

(2) Huduma ya Polisi ya Kenya ni huduma ya kitaifa ya polisi, na ugavi wa

majukumu yake utafanywa kwa njia itakayozingatia muundo wa serikali ya

Kenya iliyogatuliwa.

(3)Bunge litatunga sheria kupitisha Kifungu hiki.

Malengo na Majukumu

290. (1) Huduma ya Polisi ya Kenya ita-

(a) jitahidi kufikia viwango vya juu vya kitaaluma na nidhamu miongoni

mwa wafanyakazi wake; na

(b) zuia ufisadi na kukuza uwazi;

(c) zingatia kanuni zilizotajwa katika Kifungu 280 ( 2);

(d) zingatia viwango vya haki za binadamu;

(e) fundisha wafanyakazi wake kufikia viwango vya juu zaidi ya uwezo

na maadili na kuheshimu haki za binadamu na uhuru na heshima za

kimsingi;

(f) zingatia kanuni za uwazi na uwajibikaji; na

(g) kimu na kukuza mahusiano na jamii pana.

(2) Huduma ya Polisi ya Kenya itafanya kazi kwa karibu na jamii kuhakikisha –

(a) kudumishwa kwa sheria na mpango;

(b) mazingira salama na yenye amani;

(c) kulindwa kwa haki za binadamu na uhuru wa kimsingi;

(d) usalama kwa watu;

(e) imezuia na kugundua uhalifu;

(f) kuwatunza waathiriwa wa uhalifu na ghasia;

(g) imelinda maisha na mali;

(h) imechunguza uhalifu na makosa; na

(i) imetekeleza sheria ambazo imepewa jukumu la kufanya hiyo;

Uteuzi na ufutaji kazi wa Inspekta-Mkuu

291. (1) Kuna ofisi buniwa ya Inspekta Mkuu wa Huduma ya Polisi ya Kenya.

(2) Kwa ushauri wa Baraza la Mawaziri, na idhini ya Bunge, Rais wa Taifa

atamteua Inspekta-Mkuu wa Huduma ya Polisi ya Kenya.

(3) Inspekta- Mkuu atahudumu wadhifa huo kwa kipindi kimoja cha miaka sita

na hatateuliwa tena kwa kipindi cha pili.

(4) Inspekta-Mkuu anaweza kuondolewa mamlakani na Rais wa Taifa pekee

kwa –

(a) kushindwa kutekeleza majukumu yake ambayo yanaweza

kusababishwa na

ulemavu wa akili au mwili;

(b) utovu wa nidhamu ama akiwa mamlakani au vinginevyo;

(c ) kutojiweza kazini;

(d) sababu nyingine nzuri;

(e) kufilisika;au

(f) kukiuka kanuzi za Sura ya Tisa.

(5) Inspekta-Mkuu hataondolewa kwenye wadhifa huo isipokuwa kupitia kwa

pendekezo la jopo litakaloteuliwa na Rais wa Taifa litakalohusisha –

a) jaji wa Mahakama Kuu,ambaye atakuwa mwenyekiti;

b) mwenyekiti wa Tume ya Huduma ya Polisi;na

c) mtu mwingine mmoja mwenye maadili ambaye amewahi kuhudumia

umma kwa ufanisi .

(6) Licha ya ibara (5), Rais wa Kitaifa, kwa ushauri wa Baraza la Mawaziri,

anaweza kumsimamisha kazi

Inspekta-Mkuu ambaye anaangaziwa katika utaratibu wa ibara (5).

(7)Rais wa Kitaifa, kwa kuzingatia ushauri wa Baraza la Mawaziri anaweza

kumteua kaimu Inspekta-Mkuu pale ambapo Inspekta-Mkuu anaachishwa

kazi chini ya ibara (6)

Majukumu na uhuru wa Inspekta -Mkuu

292. (1) Inspekta-Mkuu atatumia mamlaka ya Huduma ya Polisi ya Kenya na

kutekeleza majukumu mengine ambayo Bunge linaweza kupendekeza

kisheria.

(2) Inspekta- Mkuu atatekeleza majukumu ya kazi yake katika ofisi hiyo kwa

njia huru, kulingana na Katiba na sheria na bila woga, upendeleo wala chuki.

(3) Waziri anayehusika na usalama wa taifa anaweza kutoa mwelekeo kisheria

kwa Inspekta-Mkuu kuhusu suala lolote la sera kuhusu Huduma ya Polisi ya

Kenya; lakini hakuna mtu yeyote anayeweza kutoa maagizo kwa Inspekta-

Mkuu kuhusiana na –

(a) uchunguzi wa kosa fulani kosa au makosa fulani mahususi;

(b) kutekeleza sheria dhidi ya mtu au watu fulani mahususi; au

(c) kuajiri, kutoa kazi, kupandisha cheo, kusimamisha au kufuta kazi kwa

mfanyakazi yeyote wa Huduma ya Polisi ya Kenya.

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!