04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

49

Fair administrative action 70(3) Miaka mitatu

SURA YA SABA:ARDHI NA MALI

Ardhi ya jamii 80(5) Miaka miwili

Wasio raia kununua ardhi 82(4) Miezi sita

Sheria kuhusu ardhi 85 Miaka miwili

SURA YA NANE:MAZINGIRA NA MALI ASILI

Utumiaji na maendeleo ya Mali asili 91(2) Miaka miwili

Sheria kuhusu uhifadhi wa mazingira 93 Miaka miwili

SURA YA TISA:UONGOZI NA UADILIFU

Kiapo cha ofisi 95 Mwaka mmoja

Tume ya Maadili na Kupambana dhidi ya Ufisadi 99(3) Mwaka mmoja

Sheria kuhusu uongozi 101 Mwaka mmoja

SURA YA KUMI : KUWAKILISHA WA WATU

Sheria kuhusu Uchaguzi 103(1) Mwaka mmoja

Kudhibiti vyama vya Kisiasa 117 Mwaka mmoja

Utekelezaji wa Hazina 119(4) Mwaka mmoja

SURA YA KUMI NA MOJA:BUNGE

Uanachama wa Seneti 125(2) Mwaka mmoja

Uanachama wa Bunge 126(2) Miaka miwili

Mamlaka, marupurupu, kinga 150(2) Mwaka mmoja

Usajili wa sheria buniwa 151(1) Mwaka mmoja

SURA YA KUMI NA MBILI:Serikali

Utaratibu wa Uchaguzi wa Urais 164(3)(b) Mwaka mmoja

Mamlaka ya Rais ya msamehe 172(3) Mwaka mmoja

Mtetezi wa masalahi ya Umma 195(5) Miaka miwili

SURA YA KUMI NA TATU: MFUMO WA KISHERIA

Mahakama ya Mamlaka Kuu 201(4)(b)(ii) Mwaka mmoja

Mahakama ya Rufani 202(2)(b) Miaka miwili

Mahakama Kuu 204(1)(b) Miaka miwili

Mahakama za kiwango cha Chini 208(1)(d) Miaka miwili

Mahakama za Kadhi 209(1) Miaka miwili

Majukumu ya Tume ya Huduma za Mahakama 211(1)(e) Miaka miwili

SURA YA KUMI NA NNE: SERIKALI

ZILIZOGATULIWA

Uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Nairobi 219 Miaka mitatu

Maeneo ya miji 226(1) Miaka mitatu

Ushirikiano kati ya serikali katika viwango mbalimbali 231 Miaka mitatu

Usawa wa na tofauti za Kijinsia 240(2) Mwaka mmoja

Kipengele kitakachoundwa na sheria ya Bunge

(Kutekeleza Sura)

SURA YA KUMI NA TANO: FEDHA ZA UMMA

243 Miaka miwili

Utungaji sheria 248(1) Mwaka mmoja

Hazina ya Pamoja 249(1) Mwaka mmoja

Hazina ya Mapato kwa serikali zilizogatuliwa 251(2)(b) Mwaka mmoja

Hazina ya dharura 252(1) Mwaka mmoja

Kukopa kwa serikali zilizogatuliwa 254 Mwaka mmoja

Deni la Umma 255(2) Mwaka mmoja

Bajeti ya kila mwaka ya serikali zilizogatuliwa 260 Mwaka mmoja

Ununuzi wa Bidhaa na huduma za umma 261(2) Mwaka mmoja

Akaunti na ukaguzi wa taasisi za umma 262(5) Mwaka mmoja

Udhibiti wa Hazina Kuu 263(1) Mwaka mmoja

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali 265(6) Mwaka mmoja

Mamlaka ya Ushuru ya Kitaifa 266(3) Mwaka mmoja

Tume ya Ugawanyaji wa Mapato 267(8) Mwaka mmoja

Baraza la Kijamii na Kiuchumi 271(4) Mwaka mmoja

SURA YA KUMI NA SITA: UTUMISHI WA UMMA

Mamlaka na Majukumu 274(5) Miaka miwili

Wafanyikazi wa serikali zilizogatuliwa 275 Miaka miwili

Tume ya Kuwaajiri Walimu 277(4)

Uundwaji wa Huduma ya Urekebishaji ya Kenya 278(5) Miaka miwili

SURA YA KUMI NA SABA:USALAMA WA KITAIFA

Vikosi vya usalama wa kitaifa 281(6) Mwaka mmoja

Uundwaji wa huduma ya Polisi ya Kenya 289(3) Mwaka mmoja

Tume ya Huduma ya Polisi 293(6)

Huduma nyingine za polisi 294(1)

SURA YA KUMI NA NANE: TUME NA OFISI HURU

Vikao katika Tume na ofisi Huru 301(1) Mwaka mmoja

Utungaji sheria 305 Mwaka mmoja

MPANGILIO WA SABA

(Kifungu 312)

VIPENGELE VYA MUDA NA MATOKEO YAKE

Haki, majukumu na wajibu wa Taifa

1. Haki zote na majukumu, yanayotokea, kwa serikali ama Jamhuri ambayo

yamo kabla tu ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, yataendelea kama haki na

majukumu ya Serikali ama Jamhuri chini ya Katiba hii.

Sheria zilizopo

2. Sheria zote zinazotumika kabla tu ya kuanza kutumika kwa katiba

zitaendelea kutumika na zitatumika na mabadiliko hayo, miigo na vikwazo kama

inavyowezekana ili kuziweka sambamba na Katiba hii.

Kanuni za utekelezaji wa Haki na uhuru wa kimsingi

3. Kanunia za utekelezaji wa haki na uhuru wa kimsingi chini ya sehemu ya

84(6) ya Katiba inayotumika kabla tu ya kuanza kutumika kwa mabadiliko mpaka

wakati jaji mkuu anaunda kanunia zilizofikiriwa na kifungu 31.

Bunge

4. Bunge lililopo kabla tu ya kuanza kutumika kwa Katiba litaendelea kama

Bunge kwa minajili ya Katiba hii kwa muda ambao linafaa kuendelea.

Seneti

5. (1) Uchaguzi wa kwanza wa Seneti utafanyika ndani ya siku 14 baada ya

uchaguzi mkuu wa kwanza utakaofanywa Katiba hii ikitumika.

(2) Hadi Seneti itakapochaguliwa chini ya Katiba hii, majukumu ya Seneti

yatatekelezwa ba Bunge.

(3) Hadi Seneti itakapochaguliwa kulingana na Katiba hii, popote ama jukumu

litahitajika kutekelezwa ama kutekelezwa na Bunge na Seneti, kwa pamoja na

zikishirikiana, ama moja baada ya nyingine, jukumu ama wajibu utatekelezwa

na Bunge.

(4) Jukumu lolote ama wajibu wa Seneti, lita, kama litatetekelezwa ama

kufanywa na Bunge kabla ya tarehe inavyotajwa katika sehemu ya kifungu (1)

itachukuliwa kama iliyotekelezwa na Seneti kabla ya tarehe hiyo.

General elections and by-elections

6. Uchauguzi mkuu na chaguzi ndogo zitakazofanywa baada ya kuanza

kutumika kwa Katiba zitafanywa kulingana na Katiba hii.

Mabaraza ya Miji

7. (1) Mabaraza yote ya miji ambayo yameundwa kulingana Sheria ya Mabaraza

ya Miji (sehemu ya 265) yaliyopo kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba

zitaendelea kuwepo hadi utekelezaji wa muundo mpya kulingana na Sura ya

Kuni na Nne kama inavyoelezwa na Sheria ya Bunge

(2) Bunge litaunda sheria inayofafanuliwa na sehemu ya kifungu ya (1) katika

kipindi cha miaka miwili ya kuanza kutumika kwa Katiba.

(3) Madiwani wote wa mabaraza ya mji wanaoelezwa katika sehemu ya

kifungu (1) wataendelea kuwa madiwani baada ya kuanza kutumika kwa

Katiba hadi uchaguzi utakapotangazwa kulingana na sheria inayorejelewa

katika sehemu ya kifungu (1)

(4) Siku ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, mipaka ya wilaya ilivyoelezwa

katika Mpangilio wa Kwanza jina ambalo linapatana na jina la wilaya tarehe

15, Machi, 2004 ndiyo mipaka ya wilaya hiyo.

Vyama vya kisiasa

8. (1) Chama cha kisiasa kinachoendeleza shughuli zake kabla tu ya siku ya

kutumika kwa Katiba hii, katika kipindi cha miezi kumi na miwili baada ya

kutekelezwa kwa sheria inayoidhinisha kusajiliwa kwa vyama vya kisiasa,

zinagatia mahitaji ya kusajiliwa kama chama cha kisiasa.

(2) Iwapo baada ya kumalizikwa kwa kipindi cha mienzi sita, chama

hakijazingatia mahitaji ya sehemu ya kifungu (1), chama hicho cha kisiasa

kitavunjika kisheria na yeyote aliyechaguliwa kwa wadhifa wowote kwa

kutumia chama hicho ataendelea kuwa na wadhifa huo, lakini atachukuliwa

kuwa mwanachama huru.

Serikali

9. (1) Watu walio na mamlaka ya Rais na Waziri Mkuu, kabla tu ya kuanza

kutumika kwa Katiba hii, wataendelea na majukumu yao kama Rais na Waziri

Mkuu mtawalia, kulingana na Katiba iliyoko kabla ya kuanza kutumikwa kwa

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!