04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

36

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

(c) kuwawekea vikwazo walio na kandarasi ambazo hazijafanywa

kulingana na makubalianao ya kandarasi, taratibu zinazothibitiwa

kitaaluma, au kwa sheria ; na

(d) kuwawekea vikwazo wale ambao wamekosa kutekeleza wajibu wao

wa kulipa ushuru au wemapatikana na hatia ya ufisadi au ukiukaji

mkubwa wa kanuni na sheria za uajiri.

Akaunti na ukaguzi wa hesabu za fedha katika mashirika ya umma

262. (1) Katibu mkuu aliye na mamlaka katika wizara na na ofisa ya kuhifadhi

akaunti za pesa katika idara au shirika la umma, wana wajibu kwa Bunge

kuhusiana na fedha katika Wizara au idara au shirika la umma.

(2) Akaunti zozote za sarikali na taifa zitakaguliwa na Mkurugenzi mkuu wa

hesabu za serikali;

(3) Akaunti za ofisi ya Mthibiti Bajeti na za Mkaguzi Mkuu wa hesabu

za serikali zitakaguliwa na ripoti kutolewa na mhasibu aliyehitimu na

aliyechaguiwa na Bunge

(4) Iwapo, akiwa katika ofisi ya umma, ikiwa ni pamoja na ofisi za kisiasa,mtu

anaelekeza na kuidhinisha matumizi ya fedha kinyume na sheria kanuni

au maagizo,mtu huyo anahusika na kupotea hasara yoyote kutokana na

matumizi na anawajibika kulipia hasara hiyo ikiwa ataendelea kuwa ofinisi au

la.

(5) Sheria ya Bunge itatoa kanuni za kuhifadhi rekodi za ukaguzi wa akaunti

za maendeleo ya Serikali ambazo zimeidhinishwa na kueleza hatua nyingine

za kuhifadhi ufanisi, uwazi na usimamizi wa fedha za serikali.

Udhibiti wa hazina

263 (1) Sheria ya bunge itabainisha taasisi ya serikali ya taifa ambayo itajulikana

kama hazina na kubuni taratibu za kuhakikisha uwazi na udhibiti wa matumizi

katika kila kiwango cha serikali.

(2) kwa kukubaliana na waziri wa fedha, inaweza kusimamisha uhamishaji wa

fedha kwa taasisi ya taifa ama shirika lingine la umma kwa kufanya kosa baya,

ama kurudia kosa hilo mara kadhaa, katika taratibu zilizowekwa kulingana na

ibara cha (1)

(3) Uamuzi wa kusimamisha uhamishaji wa fedha uliochukuliwa kulingana na

ibara ya (2) huenda usisimamishe kuhamishwa kwa zaidi ya asilimia hamsini

ya fedha zilizotengewa maendeleo yoyote ya serikali.

(4) Uamuzi wa kusimamisha kuhamishwa kwa fedha uliochukuliwa kulingana

na ibara ya (2)

a) hakutasimamisha uhamishaji wa fedha kwa zaidi ya siku sitini; na

b) kunaweza kuanza kutekelezwa mara moja, lakini kutasitishwa pole

pole, isipokuwa katika siku thelathini baada ya siku ya uamuzi Bunge

liidhinishe kwa uamuzi uliopitishwa ba bunge zote mbili.

(5) Bunge linaweza kuanisha tena uamuzi kusimamisha uhamishaji wa fedha

kwa muda wa siku zaidi ya siku sitini kwa wakati mmoja.

(6) Kabla ya bunge kuidhinisha kuanisha tena uamuzi wa kusimamisha

uhamishaji wa fedhaa)

Mdhibiti wa bajeti atawasilisha ripoti kwa bunge; na

b) serikali gatuliwa inayoathiriwa, taasisi ya serikali au shirika la umma

litafahamishwa kuhusu kosa na kupewa nafasi ya kujitetea dhidi

ya madai hayo, na kueleza msimamo wake kwa kamati ya bunge

inayohusika.

Mdhibiti Bajeti

264. (1) Kutakuwa na mdhibiti bajeti ambaye atateuliwa na Rais wa taifa kwa

idhini ya bunge.

(2) Kuteuliwa kama mdhibiti bajeti mtu atakuwa –

a) mhasibu aliyetaalamika kwa miaka isiyopungua kumi na aliye na

tajriba katika usimamizi wa fedha za umma; na

b) mtu mwaminifu na mwadilifu

3) Mdhibiti bajeti atakuwa mamlakani kwa kipindi cha miaka mitano na

anaweza kuteuliwa tena, iwapo atafaulu, kwa kipindi kingine kimoja cha

mwisho.

4) Mdhibiti bajeti atasimamia utekelezaji wa bajeti kama ilivyoidhinishwa na

viwango vya serikali kwaa)

Kuhakikisha kwamba pesa zinatumika kulingana mgao ama ikiwa pesa

zimetolewa kwa hazina dharura kwa mujibu wa sheria ya bunge kama

inavyoelezwa katika kifungu 252;

b) Kutoa mahesabu yenyewe, badala ya bajeti iliyotayarishwa; na

c) Kufanya kazi kwa karibu na hazina, Idara na Wizara.

5) Katika kipindi cha miezi miwili, baada ya kumalizika kwa kila mwaka wa

kifedha, mdhibiti bajeti atawasilisha kwa Bunge ripoti kuhusu shughuli za ofisi

ya Mdhibiti Bajeti katika mwaka huo wa kifedha.

6) katika kipindi cha miezi mitatu, baada ya kuwasilisha ripoti kulinaga na

ibara ya (5) Bunge litajadili na kuitathmini ripoti na kuchukua hatua inayofaa.

7) Katika kutekeleza majukumu ya ofisi, Mdhibiti Bajeti hataelekezwa au

kudhibitiwa na mtu au mamlaka yoyote.

8) Mshahara na marupurupu ya Mdhibiti Bajeti yatatolewa kwa Hazina ya

Pamoja.

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

265. (1) Kutakuwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ambaye atateuliwa na

Rais wa Taifa na kuidhinishwa na Bunge.

(2) Ili kuteuliwa kama Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mtu atakuwaa)

mhasibu aliyetaalamika kwa miaka isiyopungua kumi na aliye na

tajriba katika usimamizi wa fedha za umma; ukaguzi na usimamizi wa

fedha za umma; na

b) mtu mwaminifu na mwadilifu

(3) Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali mamlakani kwa kipindi cha miaka

mitano na anaweza kuteuliwa tena, iwapo atafaulu, kwa kipindi kingine

kimoja cha mwisho.

(4) Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikalia)

Atakagua akaunti za serikali ya taifa na serikali iliyogatuliwa na

mashirika ya serikali.

b) Kudhibitisha kwamba mgao wa pesa zote uliotolewa na Bunge au

zilizotolewa na kiwago chochote cha serikali na kutolewa zimetumiwa

kwa lengo lililokusudiwa, na kwamba matumizi yatalingana na mamlaka

inayosimamia na kuwa utumiaji pesa ulikuwa wa njia inayofaa na sawa;

na

c) Katika kipindi cha miezi sita baada ya kumalizika kwa mwaka wa

kifedha kukagua na kuripoti kwa mujibu wa mwaka huo wa fedha

kuhusu-

(i) akaunti za umma za kitaifa na za viwango serikali zilizogatuliwa

ii) akaunti zote za hazina na mamlaka za serikali za kitaifa na viwango

mbali mbali vya serikali iliyogatuliwa.

iii) Akaunti za mahakama

iv) akaunti za kila tume iliyobuniwa na Katiba hii na kamishna wa

vyama vya kisiasa.

v) akaunti za bunge na Seneti

vi) akaunti za vyama vya kisiasa vinavyopata msaada kutoka kwa

fedha za umma.

vii) Kaunti za mashirika mengine yanayopata msaada kutoka fedha

za umma; na

viii) deni la umma

(5) katika kipindi cha miezi mitatu baada ya kuwasilishwa kwa ripoti

kwa mujibu wa ibara (4) (c) Bunge litajadili, na kutathmini ripoti hizi

na kuchukua hatua zinazofaa.

(6) Sheria ya Bunge itatoa mwongozo kuhusu uwekaji wa rekodi na

kukagua akaunti za serikali iliyogatuliwa na kueleza hatua nyingine

kufikia usimamizi wa fedha ulio wazi na unaofaa.

(7) katika kutekeleza majukumu ya ofisi, mkaguzi Mkuu wa Hesabu za

Serikali, hataelekezwa au kudhibitiwa na mtu au mamlaka yoyote.

(8) Mshahara na marupurupu ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

utatoka kwa Hazina ya Pamoja.

Sehemu ya 7- Taasisi

Mamlaka ya Kitaifa ya Ushuru

266. (1)Kunaundwa Mamlaka ya Kitaifa ya Ushuru.

(2) Mamlaka yatajumuisha atu wafuatao walioteuliwa na rais wa taifaa)

mwenyekiti

b) Mteuliwa mmoja kutoka kila baraza la eneo.

c) watu wawili wanaowakilisha serikali za mitaa waliochaguliwa kwa

mujibu wa sheria ya Bunge.

d) Watu wawili walioteuliwa na Bunge.

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!