04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

26

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

Maamuzi, majukumu na kuwajibika kwa Baraza la Mawaziri

187. (1) Barasa la Mwaziri litakutana agalau mara moja kwa mwezi.

(2) Idadi inayotakikana kwa Baraza la mawaziri itakuwa nusu ya Baraza lote la

Mawaziri.

(3) Uamuzi wa Barasa la Mawaziri utakuwa katika maandishi na

utawasilishwa haraka kwa Rais wa Taifa.

(4) Uamuzi wa Baraza la Mawaziri hautakuwa halali na hautatekelezwa

isipokuwa uwe umetiwa saini na Waziri Mkuu.

(5) Baraza la Mawaziri linawajibika kwa pamoja na Mawaziri kuwajibikia Bunge

kibinafsi-

(a) Kutumia mamlaka yao na utendaji wa majukumu yao; na

(b) Utekelezaji na usimamizi wa sheria zinazowahusu.

(6) Waziri atahudhuria Bunge, kamati za Bunge, anaapohitajika kufanya

hivyo,na atajibu maswali yote kuhusu suala lililogawiwa Waziri.

(7) Waziriwa katika Baraza la Mawaziri atato kwa Bunge ripoti kamili na za

mara kwa mara kuhusu maswala yaliyo chini ya uthibiti wao.

Raisi wa Taifa kufahamishwa kwa ukamilifu kuhusu mienendo ya Serikali

188. Waziri Mkuu atakuwa akimfahamisha mara kwa mara na kwa ukamilifu Rais

wa Taifa kuhusu jumla ya mienendo ya Serikali na atampasha Rais waTaifa

habari zozote ambazo Rais wa Taifa ataomba kutokana na masuala

yanayohusu serikali.

Kugawa majukumu

189. (1) Kwa kiasi cha kutoambatana na Sheria za Bunge , Waziri Mkuu atagawa

majukumu ya kutekeleza na kusimsamia Sheria yoyote ya Bunge kwaa)

Naibu Waziri Mkuu;au

b) Waziri katika Baraza la Mwaziri;

c) Naibu wa Waziri.

(2) kwa kiasi ambacho si cha kutoambatana na Shera za Bunge,Waziri Mkuu

anaweza kuhamisha jukumu la kutekeleza na kusimamia Sheria yoyote ya Bunge

kutoka kwa mmoja wa Mawaziri katika Baraza la Mawaziri hadi kwa mwingine.

(3) Waziri Mkuu anaweza kugawia Naibu wa Waziri Mkuu, Waziri au Naibu Waziri

mamlaka au jukumu la Waziri mwingine katika Baraza la Mawaziri, au Naibu

mwingine wa Waziri ambaye hana wajibu au hawezi kutumia kwa muda mfupi

mamlaka hayo kutenda jukumu hilo, lakini Waziri Mkuu hatatawagawia Rais na

Naibu Rais wa Taifa mamlaka na majukumu.

(4) Uamuzi wa Waziri Mkuu chini ya Ibara(2) na (3) utachapishwa kwenye Gazeti

rasmi la serikali.

(5) Waziri Mkuu anaweza kumwalika mti yeyote kwa mkutanao wa Baraza la

Mawaziri iwapo kwa maoni yake suala fulani limetokea au lina uwezekano wa kutokea

katika mkutanao huo ambalo linahitaji kuhudhuria au kushiriki kwa mtu huyo.

(6) Mtu yeyote ambaye amealikwa katika ibara (5) atafungwa na taratibu na

sheria za Baraza la mawaziri lakini hawaruhusuwi kupiga kura kwa suala lolote

katika katika mkutano huo.

Katibu wa Baraza la Mawaziri

190 (1). Kuna ofisi teule ya Katibu wa Baraza la Mawaziri

(2) Ofisi ya Katibu wa Baraza la Mawaziri itakuwa ofisi katika utumishi wa umma.

(3) katibu wa Baraza la Mawaziri-

(a) atateuliwa na Rais wa Taifa kwa ushauri wa Waziri

Mkuu; na

(b) ataachizwa kazi na Rais wa Taifa kwa ushauri wa Waziri Mkuu.

(4) Katibu katika Baraza la Mawaziri-

(a) Kiongozi wa ofisi ya Baraza la Mwaziri;

(b) Kuwajibika kulingana na maelekezo ya Baraza la Mawaziri, kwa

kupanga shughuli za Baraza la Mawaziri na kuweka kumbukumbu ya

mikutano ya Baraza la Mawaziri;

(c) Kupeleka uamuzi wa Baraza la Mawaziri kwa watu au mamlaka

yanayofaa; na

(d) Awe na majukumu kama ikavyoagizwa na Baraza la Mwaziri.

(5) Katibu wa Baraza la Mawaziri anaweza kujiuzulu kwa kutoa notisi kwa

maandishi kwa Rais wa Taifa kupitia kwa Waziri Mkuu, na notisi itaanza

kutekelezwa ikipokelewa na Rais wa Taifa.

(6) serikali mpya ikishika mamlaka, yule aliye mamlakani kama Katibu wa Baraza la

Mawaziri hatakuwa na mamlaka tena lakini anaweza kuteuliwa kwa mra nyingine.

Uteuzi na kuachizwa kazi kwa Makatibu Vinara

191. (1) Kuna ofisi ya buniwa ya Katibu Kinara ambayo ni ofisi katika utumishi wa

umma.

(2) Kila Wizara itakuwa chini ya usimamizi wa Katibu Kinara.

Uteuzi na kuachishwa kazi kwa Makatibu Vinara

192. Katibu Kinara-

(a) atapendekezwa na tume ya Utumishi kwa umma na kuteuliwa na

Rais waTaifa;

(b) ataachishwa kazi na Rais waTaifa kwa ushauri wa Waziri Mkuu;

(c) Anaweza kustaafu kwa kutoa notisi kwa Rais wa Taifa kupitia kwa Waziri

Mkuu.

SEHEMU YA 4- OFISI NYINGINE

Mwanasheria Mkuu

193. (1) Kuna ufisi buniwa ya Mwanasheria Mkuu

(2) Mwanasheria Mkuu atateuliwa na Rais wa Taifa na kuidhinishwa na

Bunge.

(3) Sifa za kuteuliwa kama kama Mwanasheria Mkuu ni sawa na za uteuzi kwa

ofisi ya Jaji Mkuu.

(4) Mwanasheria Mkuu atakuwa mshauri mkuu wa kisheria kwa Serikali ya

taifa na atawajibika kwa –

(a) kuandika, kupitia na kuidhinisha pendekezo (vinginevyo) la kama

makubaliano, mikataba na maazimio na hati kwa jina lolote, ambayo

serikali ni mshiriki au pale serikali inapendelea kama inavyoelezewa katika

Sheria.

(b) kuwakilisha serikali ya taifa mahakamani au au kasi nyingine za kisheria

zile ambazo serikali inahusika, isipokuwa kesi za uhalifu; na

(c) kuandika sheria ,ikihusisha, sheri ndogo za serikali ya kitaifa.

(5) Mwanasheria Mkuu atakuwa na mamlaka, kwa ruhusa ya mahakama , kuwa

kama rafiki wa mahakama katika kesi za umma zile ambazo serikali si mhusika.

(6) Mwanasheria Mkuu atakuza, kuhifadhi na kufuata sheria, na kulinda maslahi

ya Jamhuri.

(7) Mamlaka ya Mwanasheria Mkuu yanaweza kutekelezwa na yeye mwenyewe au

na wasaidizi katika ofisi yake akitekeleza kulingana na maagizo maalum ya jumla.

(8) Mwanashera Mkuu hatakuwa chini ya maelekezo au uthibiti wa wa mtu yeyote

au mamlaka yoyote katika kutekeleza majukumu ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu.

(9) Mwanasheria Mkuu atahudumu kwa kipindi cha miaka sita na hatoweza

kuteuliwa tena.

Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma

194. (1) Kuna ofisi buniwa ya Mkurugenzi wa mashtaka ya umma

(2) Mkurugenzi wa mashtaka ya umma atateuliwa na Rais wa Taifa na

kuidhinishwa na Bunge.

(3) Sifa za uteuzi wa Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma zitakuwa sawa zile za

uteuzi wa Jaji wa Mahakama Kuu.

(4) Mkurugenzi wa mashtaka ya umma atakuwa na mamlaka ya kumwagiza

Mkaguzi Mkuu wa Huduma ya Polisi ya Kenya kuchunguza habari yoyote au

madai ya vitendo vya uhalifu.

(5) Mkurugenzi wa mashtaka ya umma atatekeleza mamlaka ya Taifa ya

kuongoza mashtaka na anaweza-

(a) Kuanzisha na kuendeleza mashtaka ya kesi za uhalifu dhidi ya mtu

yeyote katika mahakama yoyote (isipokuwa mahakama za jeshi) kutokana

na kosa linalotuhumiwa kuwa limefanywa;

(b) Kuchukua na kuendeleza kesi zozote ya uhalifu zilizoanzishwa katika

mahakama yoyote ( isipokuwa katika mahakama za jeshi) zilizoanzishwa

na kuendelezwa na mtu mwingine au mamlaka; na

(c) Kwa kutegemea Ibara (8), kukomesha katika hatua yoyote, kabla ya

hukumu kutolewa, kesi yoyote ya uhalifu iliyoanzishwa na Mkurugenzi

wa Mashtaka ya umma au kuchukuliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka ya

umma kulingana na aya (b)

(6) Pale ambapo kukokomeshwa kwa kesi kunakorejelewa katika ibara (5)(

c) kunapotekelezwa baada ya mshitakiwa kukamilisha kutoa utetezi wake ,

mshitakiwa ataaachiliwa huru.

(7) Bunge linaweza kwa sheria za Bunge kumkabidhi uwezo wa kushitaki mamlaka

nyingine isipokuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma.

(8) Mkurugenzi wa mashtaka ya umma hawezi kukomesha kesi bila idhini ya Mahakama.

(9) Mamalaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka yanaweza kutekelezwa na Mkurugenzi

bmwenyewe au maofisa wasaidizi wakitekeleza kulingana maagizo maalum au ya jumla.

(10) Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma hatahitaji adhini ya mtu au mamalaka

yoyote kuanzisha kesi za uhalifu, na kutekeleza mamalaka au majukumu yake

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!