Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

51

kimataifa kuhusiana na uhuru wa idara ya mahakama.

(6)Katika kushughulikia kila jaji, Tume ya Muda ya Huduma za Mahakama

itazingatia malalamiko yoyote ambayo hayajashughulikiwa kuhusiana na

jaji yeyote katika siku ya kuanza kutekeleza Katiba hii kabla ya mambo

yafuatayo—

(a) Tume ya Kupambana na Ufisadi;

(b) Tume kuhusu Malalamiko ya Mawakili ama Kamati ya Nidhamu ya

Mawakili

(c) Tume ya kudumu kuhusu Malalamiko ya Umma;

(d) Tume ya Huduma za Mahakama; na

(e) Ofisi ya Mwanasheria Mkuu.

(7) Tume ya Muda ya Huduma za Mahakama itashughulikia kesi zifuatazo

kulingana na uzito wake—

(a) Majaji wa mahakama ya rufani kulingana na cheo ;

(b) Majaji kumi wa Mahakama Kuu kila mara, kulingana na cheo.

(8) Kila mara, baada ya mwanzoni kumsikiliza kila jaji Tume ya Muda ya

Huduma za Mahakama itakuwa na maoni kuwa kuna sababu za kuamini

kuwa jaji huyo ni anaweza kuwa asiyefaa kuhudumu kama jaji, Tume ya muda

ya Huduma za Mahakama itamhitaji jaji anayehusika kwenda kwa likizo akiwa

analipwa mshahara wake kama kawaida huku akisubiri kukamilishwa kwa

uchuguzi kuhusiana na kesi yake

(9) Wakati ambapo malalamiko ama jambo fulani kumhusu jaji

limeshughulikiwa na kumamilishwa na kufikiwa uamuzi kuwa mtu

anayehusika hafai kuwa jaji, Tume ya Muda ya Huduma za Mahakama

itaweza kumjulisha jaji huyo kwa kumwandikia na kumweleza hivyo na kutoka

siku ya barua hiyo, jaji huyo atachukuliwa kuwa ameachishwa kazi.

(10) Katika wakati wowote wa kuchunguza majaji, ikiwa Tume ya Muda ya

Huduma za Mahakama itamfikiria jaji kufaa kuendelea na kazi, itatangaza

hivyo na jaji huyo ataendelea na majukumu ya ofisi kama kwamba

ameteuliwa katika Katiba hii.

(11) Nafasi zitakazoachwa kutokana na shughuli hii na zile zinazotokana na

utekelezaji wa vipengele vya Sura ya Kumi na Tatu zitajazwa baada ya Tume

mpya ya Huduma za Mahakama imeteuliwa kama inavyofafanuliwa katika

Katiba hii.

(12) Isipokuwa muhula wake uongezwe kwa kauli ya Bunge, Tume ya Muda

ya Huduma za Mahakama itavujwa baada ya mwaka mmoja kuanzia siku

ilipoanza kazi.

(13) Kuunda na kuteuliwa kwa majaji kwa mahakama yenye Mamlaka Kuu na

Mahakama ya Kikatiba kutashughulikiwa katika mwaka mmoja kuanzia siku

ya kuanza kutumika kwa Katiba hii.

Vikao vya mahakama na masuala ambayo hayajakamilishwa

16. Isipokuwa kama imeelezwa katika Katiba hii, vikao vyote vya mahakama

ambavyo havijakamilishwa mahakamani vitaendelea kusikizwa na kuamuliwa na

mahakama hiyo hiyo ama mahakama nyingine kama hiyo iliyobuniwa na Katiba

hii ama kama ilivyoelekezwa na Jaji Mkuu ama Msajili wa Mahakama Kuu.

Kuwachunguza maafisa wa Mahakama

17. (1) Tume ya Huduma za Mahakama itatekeleza uchunguzi wa kwa maafisa

wote wa mahakama.

(2) Katika kuwachunguza maafisa wote wa mahakama kulingana na sehemu

ndogo (1) sehemu 15 itatekelezwa pamoja na mabadiliko yanayofaa.

Tume za Kikatiba

18. (1) Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi na Tume kuhusu Utekelezaji

wa Katiba itaundwa kati ya siku tisini kuanzia siku ya kuanza kutekelezwa kwa

Katiba hii.

(2) Katika miezi tisa ya kuteuliwa kwa Tume ya Maadili na Uadilifu na Tume

kuhusu Utekelezaji wa Katiba, Tume zifuatazo zitateuliwa kulingana na

umuhimu wake—

(a) tume ya Huduma za Mahakama;

(b) tume ya Ugawaji wa Mapato ;

(c) tume ya Huduma za Polisi;

(d) tume ya Utumishi wa Umma;

(e) tume ya Haki za Kibinadamu na Jinsia;

(f) tume ya Mishahara;

(g) tume ya Kitaifa kuhusu Ardhi;

(h) Tume ya Kuwaajiri Walimu.

mahakama yenye Mamlaka Kuu ama Mahakama ya Kikatiba

Tume ya Haki za Kibinadamu na Jinsia

20. (1) Makamishna wa Tume ya Haki za Kibinadamu na Jinsia wakiteuliwa

chini ya sheria ya Tume ya Haki za Kibinadamu na Jinsia, inaanza siku ya kuanza

kutekelezwa kwa Katiba hiii na makamishna wa Tume ya Kitaifa kuhusu Jinsia

na Maendeleo watakuwa makamishna wa Tume ya Haki za Kibinadamu na Jinsia

kwa wakati muda wao wa kuhudumu hautakuwa umeisha lakini kila kamishana

atahifadhi masharti ya kazi kuanzia siku ya kuanzia kutekelezwa kwa Katiba hii.

(2) Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa kuhusu Haki za Kibinadamu na Jinsia

atakuwa mwenyekiti wa Tume ya Haki za Kibinadamu na Jinsia kwa muda

wake wa kuhudumu uliosalia.

Tume Huru ya Muda ya Uchaguzi na Mipaka

21. Tume Huru ya Muda ya Uchaguzi na Mipaka ikibuniwa katika Katiba iliyoko

kabla ya kuanza kutekelezwa kwa Katiba hii itaendelea kwa kipindi cha miezi

ishirini na minne tangu siku ya kuteuliwa kwa makamishna wao katika Katiba

iliyoko kuanzia siku ya kutekelezwa kwa Katiba hii, isipokuwa kipindi hicho

kiongezwe na Bunge, na Tume Huru ya Muda ya Uchaguzi na Mipaka itateuliwa

kwa Katiba hii kabla ya kuisha kwa kpindi hicho

Tume ya Uadilifu na Kupambana dhidi ya Ufisadi

22. Mkurugenzi wa Tume ya Kupambana na Ufisadi yuko ofisini kulingana na

sheria ya Tume ya Kupambana na Ufisadi na Makosa ya Kiuchumi kuanzia siku

ya kuanza kutumika kwa Katiba hii ataendelea na wajibu wake kwa kipindi chake

ambacho kimebaki.

Ukiukaji wa haki za kibinadamu wa siku za nyuma

23. Bunge linaweza, katika miezi sita ya kutekelezwa kwa Katiba hii kwa sheria

itawezesha Tume ya Haki za Kibinadamu na Jinsia ama taasisi yoyote nyingine

iliyobuniwa na Bunge—

(a) Kuchunguza aina zote za ukiukaji wa haki za kibinadamu

kulikofanywa na yeyote ama kundi kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba

hii.

(b) Kuchunguza chanzo cha migogoro kati ya raia pamoja na mauaji

ya halaiki, mapigano ya kikabila na mauaji ya kisiasa na kuwatambua

waliohusika; na

(c) Toa mapendekezo kuhusu –

(i) Kushtakiwa kwa wale wanaohusika;

(ii) Kuwalipa fidia waathiriwa;

(iii) Maridhiano; na

(iv) kulipa fidia.

Umiliki wa Ardhi

24. (1) Siku ya kuanza kutumika Katiba hii, yeyote anayetaka ardhi yenye

mkataba wa kupangisha ulio zaidi ya miaka tisini na tisa, ikiwa itatolewa na

yeyote yule likiwa limemilikiwa na mtu asiye raia utarudishwa na kuwa wenye

miaka tisini na tisa, isipokuwa ibatilishwe vinginevyo.

(2) Hadi jamii zitakapotambuliwa na hati zao kuandikishwa, mashamba ya

kijamii yatahifadhiwa na Tume ya Kitaifa kuhusu Ardhi kwa niaba ya jamii

mbali mbali.

(3) Katika hali ambapo wakati wa kuanza kutumika Katiba hii, mtu yeyote

ambaye si raia wa Kenya alimliki ardhi isiyo na masharti nchini Kenya, haki

hiyo yake itarejeshwa kwa Jamhuri ya Kenya ili kuhifadhi kwa niaba ya raia wa

Kenya na taifa litampa mtu huyo haki baadala ya kiwango cha chini na kulipa

kodi kwa mkataba wa kupangisha usiozidi miaka tisini na tisa.

Mafunzo ya Umma

25.Kuanzia siku ya utekelezaji wa Katiba hii, Serikali kupitia kwa taasisi husika,

itatekeleza mafunzo kwa umma kuhusu Katiba hii kwa raia wa Kenya katika

lugha za taifa na lugha za kiasili.

Fedha

26. Hakuna chochote katiba mpya.

Tume ya Huduma za Mahakama

19. Kuundwa kwa Tume ya Huduma za Mahakama kutafanywa katika siku

sitini tangu siku ya utekelezaji wa Katiba hii na Tume itachukuliwa kuwa

iliyoundwa sawa kulingana na Katiba hii ingawa kunaweza kuwa na nafasi katika

uanachama wake kwa sababu huenda uteuzi usiwe umefanywa na majaji wa

Katiba mpya, Kenya Moja