04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

21

Maamuzi ya Seneti

146. (1) Endapo kwa maoni ya Spika wa Seneti, mswada fulani unahusu maeneo au

wilaya utakuwa na idhini ya Spika wa Seneti kwamba ni swala linaloathiri

maeneo au wilaya.

(2) Endapo Seneti inapaswa kupiga kura kuhusiana na swala lolote, Spika

ataamua iwapo swala hilo linaathiri au haliathiri maeneo au wilaya.

(3) Seneti inapopiga kura kuhusu swala linaloathiri maeneo au wilaya kila

seneta atakuwa na kura moja.

(4) Katika Seneti, isipokuwa pale ambapo Katiba hii inasema kinyume-

(a) kila eneo litakuwa na kura moja kwa niaba ya kiongozi wa eneo hilo

au, na endapo hakuna kiongozi wa ujumbe huo litaongozwa na mtu

mwingine yeyote kwa niaba ya ujumbe huo; na

(b) maswala yote yataamuliwa na thuluthi-mbili ya wingi wa idadi ya ujumbe

huo.

(5) Sheria ya kitaifa itakayotungwa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa kwa

kupitisha Miswada inayoathiri mweneo au wilaya, itatoa mazingira sawa

ambapo ujumbe wa Seneti utashauriana kwa ajili ya ibara ya (4)(a).

(6) Mwanachama yeyote wa Baraza la mawaziri au Naibu Waziri anaweza

kuhudhuria na kuzungumza katika Seneti, lakini hatashiriki uchaguzi wa

swala lolote la Seneti.

Kudhibitiwa kwa utaratibu

147.(1) Kila Bunge-

(a) litadhibiti taratibu zake lenyewe;

(b) linaweza kuanzisha kamati; na

(c) litatunga Kanuni za Bunge ili kudhibiti vikao vyake ikiwemo vikao vya

kamati zake.

(2) Bunge linaweza kuanzisha kamati za pamoja zinazojumuisha wabunge

kutoka mabunge yote mawili na kwa pamoja kudhibiti utaratibu wa kamati hizo.

(3) Marejeleo yoyote katika Katiba hii kwa mwanakamati yeyote wa Bunge, yana

chukuliwa kama marejeleo ya mwanakamati ya pamoja isipokuwa endapo

muktadha unapendekeza tofauti.

(4) Vikao vya kila mojawapo wa mabunge hayo havitazuiwa kuendelea kwa

sababu ya-

(a) pengo katika uanachama; au

(b) kuwepo au kushiriki kwa mtu yeyote asiyepaswa kuwepo au kushiriki

katika vikao vya bunge hilo.

Uwezo wa kutaka ushahidi

148. Katika kutekeleza majukumu yake-

(a) bunge lolote na yoyote katika kamati zake, inaweza kumwita mtu

yeyote anayesimamia ofisi ya umma au mtu binafssi kutoa ushahidi

mbele yake;

(b) kamati ya mojawapo wa bunge inaweza kumteua mbunge yeyote au

kumwajiri mtu yeyote wa kusaidia katika kutekeleza majukumu yake; na

(c) bunge lolote linaweza na mojawapo wa kamati zake litakuwa na

mamlaka ya Mahakama Kuu katika-

(i) kuhakikisha mahudhurio ya mashahidi na kuwaapisha, au

pengine;

(ii) kuwashurutisha kutoa ushahidi wa vibali; na

(iii) kutoa ombi la kuwahoji mashahidi walio katika mataifa ya nje.

Kufikiwa na umma

149. (1) Bunge-

(a) litafanya shughuli zake kwa njia ya uwazi, na kufanya vikao vyake na

vile vya kamati zake mbele ya umma; na

(b) litarahisisha kushiriki kwa umma katika jukumu la Bunge la kutunga

sheria na shughuli zake nyingine kamati zake.

(2) Bunge halitatenga umma au chombo chochote cha habari dhidi ya

kuhudhuria vikao isipokuwa katika hali mahsusi ambazo Spika ataamua

kwamba kuna sababu za kutosha kufanya hivyo.

Uwezo, haki na kinga

150.(1) Kutakuwa na uhuru wa kujieleza na kujadiliana Bungeni.

(2) Bunge kwa ajili ya kushughulikia majukumu yake kwa mpangilio na ukamilifu

linatoa uwezo , haki na kinga kwake, kamati zake na wabunge wake.

Sehemu ya 5 – Ziada

Usajili wa Sheria buniwa

151.(1) Kwa kupitia njia ya sheria Bunge litaanzisha-

(a) Rejista ya Sheria buniwa kwa umma itakayoandikwa katika Kiswahili

na Kiingereza kwa njia ya kuona na Breli chini ya Ulinzi wa Spika wa

Bunge; na

(b) taratibu nyingine za ziada kuhusu kuchapisha na kusambaza sheria

zilizotungwa.

(2) Nakala ya kila sheria buniwa itahifadhiwa katika Rejista ya Sheria buniwa.

(3) Nakala ya kila sheria buniwa iliyohifadhiwa katika Hifadhi iliyokubaliwa kuwa

sawa na msajili ni ushahidi wa vipengele vya sheria hiyo buniwa.

(4) Endapo kutakuwa na mgongano kati ya matoleo ya lugha tofauti ya sheria

buniwa, toleo litakalokuwa limetiwa saini na Rais wa Taifa litatumika.

(5) Serikali ya kitaifa itahakikisha kwamba sheria zote buniwa-

(a) zinakuwepo katika maktaba zote za umma; na

(b) zinakuwepo katika Breli na vyombo vingine vinavyofaa vipofu na

walio na ulemavu mwingine.

Makao ya Bunge

152. (1) Kuambatana na ibara (2), makao ya Bunge yatakuwa Nairobi.

(2) Vikao vya Bunge lolote vitafanyiwa katika sehemu nyingine, na vitaanza

wakati utakaoamuliwa na Bunge.

(3) Kila kutakapochaguliwa Bunge mpya, Rais wa Taifa kwa kupitia notisi ya

Gazeti maalumu la serikali, atateua mahali na tarehe, sio siku saba baada

ya kukamilika kwa kipindi cha Bunge lililopita katika kikao cha kwanaza cha

Bunge.

Kipindi cha Bunge

153. (1) Kipindi cha kila bunge ni miaka mitano kutoka tarehe ya kikao cha kwanza

baada ya uchaguzi isipokuwa katika Bunge kuu linavunjwa mapema kwa

mujibu wa Kifungu 180(8).

(2)Wakati wowote Kenya ikiwa katika vita, Bunge linaweza kuamua kwa njia ya

kura ya idadi isiyopungua thuluthi-mbili ya wabunge kuongeza kipindi cha

Bunge kwa muda usiozidi miezi sita.

(3) Kipindi cha bunge hakitaongezwa chini ya ibara ya (2)-

(a) kwa jumla ya zaidi ya miezi kumi na miwili; au

(b) kabla ya kukamilika kwa kipindi chake baada ya uchaguzi mkuu

unaofanyika kulingana na Kifungu 129(1).

Tume ya Huduma za Bunge

154.(1) Kuna Tume buniwa ya Huduma ya Bunge itakayojumuisha-

(a) mwenyekiti na makamu wake waliochaguliwa na Tume kutoka kwa

wana chama walioteuliwa kwa mujubu wa aya (b);

(b) wanachama saba walioteuliwa na Bunge kutoka miongoni mwa

wabunge ambapo-

(i) wanne watateuliwa kwa usawa kutoka Mabunge yote mawili na

chama au washrika katika muungano unaojenga serikali ya kitaifa

na ambao wawili kati yao watakuwa wanawake; na

(ii) watatu watakuwa wamteuliwa na vyama visivyo sehemu ya

serikali ya taifa, angalau mmoja wao atateuliwa kutoka kila Bunge

na angalau mmoja wao atakuwa mwanamke; na

(c) mwanamume na mwanamke walioteuliwa na Bunge kutoka

watu ambao si wabunge lakini wana uzoefu mkubwa kwa maswala

yanayohusu umma.

(2) Tume itateua makatibu wake.

(3) Mwanachama wa Tume atatoka ofisini-

(a) iwapo mtu huyo ni Mbunge-

(i) baada ya kukamilika kwa kipindi cha Bunge ambacho mtu huyo

alikuwa mbuge;

(ii) mtu huyo anakoma kuwa Mbunge; au

(iii) ikitokea hali kwamba mtu asingalikuwa Mbunge asingaliruhusiwa

kuchaguliwa katika wadhifa kama huo; au

(b) iwapo mtu huyo ni mteule, baada ya kufutiliwa mbali kwa uteuzi

wake na Bunge.

(4) Kando na ibara ya (3), baada ya kuvunjwa kwa Bunge, mwanachama wa

Tume aliyeteuliwa kwa mujibu wa ibara (1)(b) ataendelea kuwa ofisini hadi

mwanachama mwingine atakapoteuliwa na Bunge kushika nafasi yake.

(5) Tume ina jukumu la-

(a) kutoa huduma na vifaa ili kuhakikisha utendaji kazi wa Bunge;

(b) kujenga ofisi katika huduma ya Bunge na kuchagua na kusimamia

wafanyakazi;

(c) kutayarisha makadirio ya kila mwaka ya matumizi ya pesa katika

huduma za Bunge na kudhibiti bejeti yake;

(d) kuanzisha ama kibinafsi au katika mashirika husika, mipango ya

kukuza maadili ya demokrasia ya bunge; na

(e) kutekeleza majukumu mengine-

(i) muhimu kwa manufaa ya wabunge na wafanyakazi wa Bunge; au

(ii) yatakayopendekezwa na au kwa mujibu wa sheria.

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!