Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

47

MKUU ILI KUTEKELEZA KAZI YA KATIBU WA BARAZA LA MAWAZIRI /

KATIBU MKUU

Mimi, ……………………, nikiwa ninahitajika kuchukua wajibu wa katibu wa Baraza la

Mawaziri/ Katibu Mkuu ninaapa ya kwamba/ninakubali kwamba, isipokuwa nikiwa

nimepewa na idhini ya Waziri Mkuu, kwa njia ya moja kwa moja ama isiyo ya moja

kwa moja, sitafichua majadiliano, kumbukumbu ama nyaraka za baraza la mawaziri

ambazo nimezihifadhi, isipokuwa itakavyohitajika katika utendakazi wangu kama

Katibu wa Baraza la Mawaziri/Katibu Mkuu. (Kama ni kiapo: Ee Mungu nisaidie)

VIAPO KWA JAJI MKUU/RAIS WA MAHAKAMA YENYE MAMLAKA KUU,

MAJAJI WA MAHAKAMA YENYE MAMLAKA KUU, MAJAJI WA MAHAKAMA

YA RUFANI, MAJAJI WA MAHAKAMA YA KIKATIBA, NA MAJAJI WA

MAHAKAMA KUU.

Mimi, ……………………, (Jaji Mkuu /Rais wa Mahakama yenye mamlaka Kuu, jaji wa

Mahakama yenye Mamlaka Kuu, Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama

ya Kikatiba, jaji wa Mahakama Kuu) ninaapa (naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu)/

nakubali kwa dhati kutumikia Wakenya na Jamhuri ya Kenya na kutekeleza haki

bila mapendeleo kulingana na Katiba iliyowekwa, na sheria na desturi za Jamhuri,

bila woga wowote, mapendeleo, ubaguzi, chuki, ama mapendeleo yoyote ya

kisiasa kidini, ama ushawishi wowote. Katika kutekeleza majukumu ya kisheria

ambayo nimepewa, wakati wote, kwa uwezo wangu wote, nitatetea, nitahifadhi

na kusimamia, na kuhifadhi Katiba kwa minajili ya kulinda hadhi na heshima ya

mahakama na mfumo wa mahakama wa Kenya na kukuza haki, uhuru, uwezo wa

kisheria na uadilifu ndani yake. (E Mungu nisaidie)

KIAPO/KUKIRI KUWA MBUNGE (SENETI/BUNGE)

Mimi,……………………, nikiwa nimechaguliwa mwachama wa Seneti/Bunge ninaapa

(Kwa jina la Mwenyezi Mungu) (ninadhibitisha ) kwamba nitakuwa mwaminifu na

mtiifu kwa raia na Jamhuri ya Kenya; kwamba nitatii heshimu, kutetea, kulinda na

kuhifadhi Katiba ya jamhuri ya Kenya; na kwamba nitatekeleza majukumu yangu ya

Mbunge kwa uaminifu na makini (Ee Mungu nisaidie).

KIAPO CHA SPIKA/NAIBU SPIKA WA SENETI/BUNGE

Mimi ,……………….. , nikiwa nimechaguliwa kama Spika/ Naibu Spika wa Seneti/

Bunge ninaapa kwamba(Kwa jina la Mwenyezi Mungu) (nakubali kwa dhati)

kwamba nitakuwa mwaminifu kwa raia na Jamhuri ya Kenya; kwamba nitatekeleza

majukumu yangu kama Spika/Naibu Spika kwa uaminifu na makini wa Seneti/

Bunge; kwamba nitatii nitaheshimu, nitatea, nitahifadhi nitalinda na kuitetea Katiba

ya Jamhuri ya Kenya; na kwamba nitafanya haki kwa watu wote kulingana na Katiba

ya Kenya na sheria na desturi za Bunge bila mapendeleo ama chuki(Ee Mungu

nisaidie)

MPANGILIO WA NNE

(Kifungu 228(1))

MGAO WA MAJUKUMU KATI YA SERIKALI YA KITAIFA NA SERIKALI

ZILIZOGATULIWA

Sehemu ya 1 – Serikali ya Kitaifa

1. Mashauri ya kigeni, sera ya kigeni, na Biashara ya Kimataifa

2. Kwa ushauriano na maeneo na wilaya matumizi ya maji ya kimataifa na raslimali

za maji.

3. Uhamiaji na uraia.

4. Uhusiano kati ya dini na taifa.

5. Sera ya lugha na ukuzaji wa lugha rasmi na lugha za kiasili.

6. Ulinzi wa kitaifa na matumizi ya huduma za usalama za kitaifa..

7. Usalama wa Kitaifa , pamoja na—

(a) Kuweka viwango vya kuandikisha askari wapya, kutoa mafunzo kwa

polisi na matumizi ya huduma za polisi;

(b) Sheria ya Kiuhalifu; na

(c) Huduma za Marekebisho.

8. Mahakama.

9. Sera ya kitaifa ya uchumi na mipango.

10. Sera ya fedha sarafu, benki (pamoja na benki kuu) kuanzishwa na usimamizi wa

shughuli za benki, bima na mashirika ya kifedha.

11. Takwimu za kitaifa na data kuhusu idadi ya watu, uchumi na jamii kwa jumla.

12. Haki miliki kuhusu ujuzi wa kiakili

13. Viwango vya Leba.

14. Ulinzi wa watumiaji, pamoja na viwango vya usalama wa kijamii mipango ya

pensheni za kitaalamu.

15. Sera ya elimu, viwango, Mitaala, mitihani, na kutoa kwa hati za vyuo vikuu.

16. Vyuo vikuu, taasisi za elimu ya juu na taasisi nyingine za utafiti na elimu ya

juu na shule za msingi, elimu maalum kipekee, shule za upili, na taasisi za elimu

maalum.

17. Ukuzaji wa michezo na elimu juu ya michezo.

18. Uchukuzi na mawasiliano, pamoja na, hasa—

(a) Usafiri wa barabara;

(b) Ujenzi na utumikaji wa barabara kuu za kitaifa

(c) Viwango vya ujenzi na uhifadhi wa barabara nyingine na maeneo na

Wilaya;

(d) Reli;

(e) Mabomba;

(f) Usafiri wa baharini;

(g) vyombo vya anga vinavyotumiwa na raia;

(h) Usafiri wa angani;

(i) Huduma za posta;

(j) Mawasiliano ya simu, redio na televisheni, na;

(k) matangazo ya redio na televisheni.

19. Ujenzi wa kitaifa.

20. Sera ya nyumba.

21. Kanuni za kijumla za mipango ya ardhi na ushirikishaji wa mipango ya maeneo

na wilaya.

22. Uhifadhi wa mazingira na mali asili kwa mpango wa kuanzisha mfumo wa

maendeleo ya kudumu, pamoja na, hasa—

(a) Uvuvi, usasi na ukusanyaji matunda;

(b) Ulinzi wa wanyama na wanyama pori;

(c) Uhifadhi wa maji, kuhifadhi maji yanayobaki ya kutosha, taaluma

kuhusu maji na usalama wa maji kwenye mabawa; na

(d) Sera ya kawi .

23. Nyenzo kuu za kitaifa za kiafya.

24. Usimamizi wa majanga.

25. Minara ya ukumbusho ya zamani na ya kihistoria yenye umuhimu wa kitaifa.

26. Chaguzi za kitaifa.

28. Sera ya Afya.

29. Sera ya Kilimo.

30. sera ya utatibu wa mifugo.

31. Sera ya kawi pamoja na nguvu za umeme na mtandao wa gesi na usimamiaji wa

kawi.

32. Uwezeshaji na msaada wa kifundi kwa wilaya.

33. Uwekezaji wa umma.

34. Sera ya utalii na bahati nasibu.

Sehemu ya 2—Serikali za Kimaeneo

Isipokuwa ambapo Katiba hii na sheria inapoeleza vinginevyo mamlaka na

majukumu ya serikali za kimaeneo katika maeneo yao yote, kwa kushauriana na

wilaya katika eneo hilo, yatakuwa—

(a) Kushirikisha na kusimamia Wilaya katika juhudi zao za kutekeleza

sera za kimaeneo na kitaifa na viwango;

(b) Uundaji wa sera za kimaeneo;

(c) Uundaji wa viwango vya kimaeneo;

(d) Mipango ya kimaeneo;

(e) Usimamizi na tathmini ya utekelezaji;

(f) Ushirikishi wa, usimamizi na utoaji wa huduma za kimaeneo;

(g) Kushirikisha shughuli na kutunza miundo msingi na huduma za

kimaeneo;

(h)Kuwezesha na kusawazisha shughuli katika eneo; na

(i) Uwezeshaji na na msaada wa kifundi kwa wilaya.

Sehemu ya 3—Serikali za Wilaya

Mamlaka na majukumu ya wilaya ni—

1. Kilimo, pamoja na—

(a) Kilimo cha mimea na wanyama;

(b) Viwanja vya kuuzia wanyama;

(c) Vichinjio vya wilaya;

(d) Udhibiti wa magonjwa ya mimea na wanyama; na

(e) Uvuvi.

2. Huduma za afya za wilaya, pamoja na, hasa—

Katiba mpya, Kenya Moja