04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

24

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

litatetea kamati maalum litakalohusisha watu kumi na mmoja kati yao

kulichunguza suala hili.

(4) Tume hii maalum itachunguza suala hilo kwa muda wa siku kumi na

kuripoti kwa Seneti ikiwa imepata tuhuma halisi dhidi ya Rais wa Taifa

zinzoweza kuthibitishwa.

(5) Rais wa Taifa ana haki ya kwenda au kuwakilishwa mbele ya tume hii

maalum wakati wa uchunguzi wao.

(6) Iwapo kamati maalum itaripoti kuwa yale yaliyomo katika tuhuma dhidi ya

Rais wa Taifa hayajathibitishwa hakuna mashtaka zaidi yatayochukuliwa chini

ya Kifungu hiki kutokana na tuhuma hizi.

(7) Iwapo kamati maalum itaripoti kwamba yaliyomo kwenye tuhuma yoyote

dhidi ya Rais wa Taifa yamethibitihshwa, Seneti, baada ya kumpa Rais wa

Taifa nafasi ya kusikilizwa, itapigia kura mashtaka ya kutokuwa na imani,

na Rais wa Taifa ataacha kuwa Rais iwapo theluthi mbili ya Wabunge watapiga

kura kuunga mkono mashtaka ya kutokuwa na imani.

Nafasi katika ofisi ya Rais wa Taifa

171. (1) Ofisi ya Rais wa Taifa itakuwa wazi iwapo mwenya ofisi hiyo-

(a) anaaga dunia;

(b) Anaacha kazi kwa kumwandikia barua S pikawa Bunge; au

(c) Anaondolewa kwa ofisi kulingana na Katiba hii

(2) Pale ambapo ofisi ya Rais wa Taifa, Naibu Rais wa Taifa atachukua ofisa

kama Rais wa Taifa-

(a) Pale ambapo nafasi katika ofisi ya Rais wa Taifa imetokea ikiwa

kumesalia miaka miwili na nusu kabla ya tarehe ya uchaguzi ujao

wa Urais kulingana na Kifungu 162, Naibu Rais wa Kitaifa atachukua

uongozi kama Raia wa Taifa kwa wakati unaosalia wa kipindi cha Rais

waTaifa.

(b) Pale ambapo nafasi itatokea kukiwa kumesalia zaidi ya miaka

miwili na nusu kabla ya tareha ya uchaguzi ujao kulingana Kifungu 162,

uchaguzi mpya wa fisi ya Rais wa Taifa utafanyika siku sitini baada ofisi

ya Rais wa Taifa kuwa wazi.

(3) Pale ambapo nafasi katika ofisi ya Rais wa Taifa napia katika ofisi ya Naibu

Rais wa Taifa itatokea au pale ambapo Naibu Rais waTaifa hawezi kushikilia,

Spika wa bunge atashikilia kama Rais wa Taifa, na iwapo kwa sababu yoyote

Spika wa Bunge hataweza kushikilia,spika wa seneti atashikilia kama Rais wa

Taifa.

(4) Pale ambapo nafasi itatokea kwa hali zinazokusudiwa na ibara (3),

uchaguzi Rais wa Taifa utafanyika siku sitini baada ya Spika wa Bunge

kuchukua ofisi ya Rais wa Taifa.

(5) Mtu yule ambaye anachukua hatamu za uongozi wa Rais wa Taifa chini ya

kifungu hiki, isipokuwa aondolewe kutoka kwa mamlaka na Katiba hii,

ataendelea na wadhifa huo mpaka uchaguzi mpya ufanyike na Rais wa Taifa

aliyechaguliwa upya kuchukua uongozi.

Mamlaka ya huruma wa Rais

172. (1) kutakuwa na mamlaka ya msamaha ambao utatekelezwa kwa ombi la

Rais wa Taifa kwa mtu yeyeyote kulingana na ushuru wa Kamati ya Ushauri

inayorejelewa katika kifungu (2).

(2) Kutakakuapo na Kamati ya Ushauri kuhusu mamalaka ya msama wa Rais,

itawahusisha-

(a) Mkuu wa Sheria;

(b) Waziri anaye husika na huduma za urekebishaji; na

(c) Angalau watu wengine watano,na wasiwe watu walio kwenye

utumishi wa umma au afisi za serikali,na kama inavyoidhinishwa na

sheria za Bunge.

(3) (a) Sheria ya Bunge itatoa muda wa kushika cheo kwa wanakamati wa

Kamati ya Ushauri;

b) Taratibu za Kamati ya Ushauri

(c) Kigezo ambacho kitatumiwa na Kamati ya Ushauri katika kueleza

ushauri

wake.

(4) Kwa kutekeleza mamlaka aliyopewa katika ibara (1), Rais wa Taifa

anaweza-

(a) Kumsamehe mtu ambaye amepatikana na hatia, ama huru au kwa

masharti;

(b) Kuhairisha ama, kwa muda fulani mahususi au kwa muda

usiojulikana, utekelezaji wa adhabu.

(c) Kubadili adhabu ndogo kwa adhabu inayostihili.

(d) Kusamehe semu ya adhabu au adhabu yote.

(5) Kamati ya ushauri itatilia maanani maoni ya wathiriwa wa hatia kutokana

nayo, ambapo watapendekeza ya kutekelezwa kwa mamlaka ya msamaha

na Rais wa Taifa.

Ofisi ya Naibu Rais wa Taifa

173. (1) Kutakuwa na Naibu Rais wa Taifa wa Jamhuri.

(2) Kila mgombeaji uchaguzi wa Urais atateua mtu ambaye amehitimu kwa

uchaguzi Rais wa Taifa kama mgombeaji wa uchaguziwa Naibu Rais wa Taifa.

(3) tume huru ya uchaguzi na na Mipaka ya maeneo Bunge haitafanya

uchaguzi

wa kando wa Naibu Rais wa Taifa lakini

itatangaza yula ambaye ameteuliwa

na aliyechaguliwa

Rais wa Taifa kuwa ndiye amechaguliwa kuwa Naibu Rais

wa Taifa.

(4) Kuapishwa kwa Naibu Rais wa Taifa kutafanyika mbele ya Hakimu Mkuu

au iwapo Hakimu Mkuu hayupo, mbele ya Nibu wa Hakumu Mkuu N wananchi.

(5) Naibu Rais wa Taifa mteule Atachukua mamlaka kwa kula na kutia sainia)

Kiapo cha uaminifu; na

b) Kiapo cha kutekeleza majukumu ya ofisi kama ilivyoidhinishwa katika

Mpangilio wa Tatu.

(6) Mashart ya Ofisi ya Naibi Rais wa Taifa yatanza kutumuka kutoka siku ile

Rais wa Taifa atachukua mamlaka na kukomaa)

Wakati Rais Mpya wa Taifa aliyechaguliwa atachukua mamlaka;

b) Wakati Naibu Rais wa Taifa atachukua mamlaka ya Rais;

c) Aikijuzulu , kuaga dunia au kuachizwa kazi.

(7) Naibu Rais wa Taifa ananweza, kwa wakati wowote, kujiuzulu kwa

kumwandikiia notisi Rais wa Taifa na kujiuzulu huku kutaanza kutekelezwa saa

na tarehe iliobaishwa katika notisi hiyo, iwapo tare haijabainishwa, adhuhuri ya

siku ya kupokelewa kwa notisi hiyo.

(8) Naibu Naibu Rais wa taifa hahudumu kwa zaidi ya vipindi viwili.

(9) Kwa kusudi la ibara (8), mtu Yule ambaye ameendelea kuhudumu kama

Naibu Rais waTaifa angalau kwa muda wa miaka miwili na nusu ya kipindi cha

Rais wa Taifa, itachukuliwa kuwa ametumikia kipindi kizima.

Nafasi katika ofisi ya Naibu Rais wa Taifa

174. (1) Iwapo kuna nafasi katika ofisi ya Naibu Rais Wa Taifa, Rais wa Taifa, kwa

muda wa siku kumi na nne za ofisi hii kuwa wazi, atamteua mtu ambaye

ataidhinishwa na Bunge kujaza nafasi hii.

(2) Bunge litapiga kura ya uamuzi wa uteuzi ndani ya muda siku sitini.

Majukumu ya Naibu Rais wa Taifa

175 (1) Naibu Rais wa Taifa atakuwa Msaidizi Mkuu wa Rais wa Taifa na

atamwakilisha Rais katika kutekeleza majukumu ya Kitaifa ya Rais.

(2) Naibu Rais wa Taifa atatekeleza majukumu yaliyotolewa na Katiba au

majukumu yoyote ya Rais wa Taifa atakayopewa na Rais.

(3) Wakati Rais hatakuwa na uwezo kwa muda mfupi au hayumo Nchini,

Naibu Rais wa Taifa takuwa kaimu Rais wa Tafa.

(4) Naibu Rais wa Taifa hatashikilia ofisi nyingine ya Umma au Sarikali.

Kifo kabla ya kuchukua mamlaka

176. (1) Iwapo mtu ambaye ametangazwa kuwa Rais mteule wa Taifa anaaga

dunia kabla ya kuchukua mamlaka Yule abbaya ameshatangazwa kuwa

Naibu Rais wa Taifa atakuwa kaimu Rais na Uchaguzi wa Rais wa Taifa

kufanyika chini ya muda wa siku sititini baada ya kifo cha Rais mteule wa Taifa.

(2) Iwapo mtu ambaye ametangazwa kuwa Naibu Rais mteule wa Taifa taaga

dunia kabla ya kuchukua mamlaka, ofisi ya Naibu Rais wa Taifa itatangazwa

kuwa wazi baada ya Rais mteule kuchukua mamlaka.

(3) Iwapo Rais mteule wa Taifa pamoja na naibu Rais wa taifa wanaaga

dunia kabla ya kuchukua maliaka, Spika wa Bunge atakuwa kaimu Rais wa

Taifa na uchaguzi mpya kufanyika chini ya siku sitini baada ya kifo cha pili.

Kuondolewa kwa naibi Rais wa taifa

177.(1) Naibu Rais wa Taifa anaweza kuondolewa mamlakani-

(a) kwa misingi ya kutokuwa na uwezo wa kiakili na kimwili wa

kutekeleza majukumu ya kiofisi;

(b) kwa kura ya kutokuwa na imani-

(i) kwa misingi ya ukiukaji mkubwa wa katiba hii au sheria;

(ii) kwa sababu kuna sababu kubwa kuamini kuwa Naibu Rais wa

Taifa amefanya uhalifu wa jinai chini ya sheria za taifa na kimataifa

(iii) utovu mkubwa wa nidhamu

(2) Vipengele vya katiba katika Vifingu vya 169 na 170 vinavyohusiana na

kutolewa kwa Rais wa Taifa, na kwa marekibisho yanayotakikana, vitatumika

katika kumwondoa Naibu Rais wa Taifa.

Mshahara na marupurupu ya Rais wa Taifa na Naibu Rais wa Taifa

178. (1) mshahara na marupurupu yatakayolipwa Rais wa Taifa na Naibu Rais wa

Taifa yatatoka kwa Hazina yapamoja ya Fedha.

(2) malipo na marupurupu na faida za Rais waTaifa na Naibu Rais wa Taifa

hayatashushwa wakiwa ofisini na wakiwa wamestaafu.

(3) Malipoya uzeeni yanayopaswa kulipwa Rais mstaafu wa Taifa na Naibu

Rais mstaafu wa Taifa pamoja na marupurupu menginine wanayostahili

hayatabadilishwa kwenda chini au kuondolewa katika uhai wao.

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!