Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

9

mwisho, na, wakishikwa au kufungwa, washughulikiwe katika njia

zinazotukuza maadili ya mtoto na kuzingatia haki zake, ikiwemo japo sio

lazima haki za-

(i) kufungwa kwa muda kiasi kidogo tu;

(ii) kutenganishwa na watu wazima katika jela;

(iii) kupewa usaidizi wa kisheria na Serikali; na

(iv) kushughulikiwa katika njia, na kuweka katika hali ambazo

zitazingatia ulemavu wa mtoto, endapo upo, jinsia na umri;

(j) kuwa na wakili aliyetolewa na Serikali na kwa gharama ya Serikali

katika vikao vya mahakama kumhusu mtoto huyo, kando na yale

yanayofikiriwa katika aya ya (k) endapo kutakosekana haki;

(k) kujua maamuzi yanayowahusu, kutoa maoni na maoni hayo

kuzingatiwa, kulingana na jinsia na ukomavu wa mtoto huyo na hali ya

uamuzi.

(7) Watoto wenye mahitaji maalumu wana haki ya kupewa ulinzi maalum wa

Serikali na jamii.

(8) Serikali itachukua hatua za kisheria na nyinginezo kutekeleza maelezo ya

Katiba hii na ya nyenzo za viwango vya kimataifa kuhusu haki za mtoto.

Hadhi ya kibinadamu

45. (1) Kila mtu ana hadhi ya kuzaliwa na haki ya kuheshimiwa na kulindwa kwa

hadhi hiyo –

(2)Hadhi ya kuzaliwa ya kila mtu-

(a) inajumuisha haki ya kuzika/kuchoma mabaki ya wafu katika njia ya

heshima; na

(b) inaendelea hadi wakati wa kuzikwa au kuchomwa kwao.

Uhuru na usalama wa mtu

46. Kila mtu ana haki ya uhuru na usalama wake, unaojumuisha haki ya-

(a) kutonyimwa uhuru kiholela bila sababu mwafaka;

(b) kutofungwa bila kushtakiwa mahakamani, isipokuwa wakati wa hali

ya hatari ambapo kifungo cha sampuli hiyo kinaelezwa katika Kifungu 74;

(c) kuwa huru dhidi ya aina zote za ghasia kutoka kwa umma au watu

bianafsi;

(d) kutoteswa katika njia yoyote ile, iwe ya kimwili ay kisaikolojia;

(e) kutopewa adhabu ya kali au kushughulikiwa katika adhabu za

kudhalilisha ubinadamu.

Familia

42. (1) Familia ndio kitengo cha kiasili na kimsingi cha jamii na msingi muhimu

katika mpangilio wa jamii.

(2) Kila mtu mzima anayo haki ya kuoa mtu wa jinsi tofauti kutokana na

makubaliano yao.

(3) Kila mtu mzima anayo haki ya kuanzisha familia.

(4) Wahusika katika ndoa wana haki sawa wakati wa kuoana, katika ndoa na

wakati wa kuvunjwa ndoa yao.

(5) Bunge litatunga sheria inayotambua-

(a) ndoa zilizotekelezwa chini ya utamaduni wowote, au mfumo wowote

wa kidini, kibinafsi au sheria ya familia; na

(b) Sheria ya kibinfsi au familia chini ya utamaduni wowote, au

inayofuatwa na watu waumini wa dini fulani, kwa kiwango kwamba ndoa

au mifumo kama hiyo inazingatia Katiba hii.

Walemavu

43. (1) Walemavu wana haki ya kufurahia haki zote na uhuru wa kimsingi

uliodokezwa katika Sheria ya Haki na kuwa washiriki kwa ukamilifu katika jamii.

(2) Walemavu wana haki ya-

(a) kuheshimiwa na kupewa maadili ya kibinadamu ikiwemo,

kushughulikiwa, kuzungumziwa na kurejelewa, katika miktadha rasmi au

ya faragha katika njia na maneno yasiyowadunisha au kuwadhalilisha;

(b) kuafikia elimu na taasisi na vifaa vya walemavu vilivyomo katika

jamii na kwa jinsi inavyopaswa kutumiwa kwa maslahi yao;

(c) kuafikia ipasavyo sehemu zote zinazofikwa na umma, usafiri wa

umma na habari na mawasiliano;

(d) kutumia lugha ya ishara, Breli na njia nyingine mwafaka za

mawasiliano;

(e) kushiriki katika maamuzi katika viwango vyote;

(f) kuwa na haki za sawa za kurithi, kuafikia, na kusimamia mali;

(g) kuafikia nyenzo na vifaa vinavyoweza kuwasaidia kuukabili ulemavu

huo; na

(h) kushughulikiwa na kupewa nafasi katika anga zote za maisha

ambazo ni bora na sawa kwa wenzao wengine katika jamii.

(3) Serikali itachukua hatua za kishheria na nyinginezo, ikiwemo maelezo

maalumu kwa wanawake, ili kuhakikisha kuwa walemavu wanafurahia haki zote

zinazorejelewa katika ibara ya (2).

Makundi tengwa

44. (1) Makundi tengwa yana uhuru wa kufurahia haki zote na uhuru wa kimsingi

uliodokezwa katika Sheria ya Haki kwa misingi ya usawa, ikizingatiwa asili yao,

utamaduni wao, hali na mahitaji yao maalumu.

(2) Serikali itachukua hatua za kisheria na nyinginezo kuweka mipango ya usawa

iliopangwa kunufaisha makundi tengwa katika jamii.

(3) Hatua zinazorejelewa katika ibara ya (2) zitajumuisha hatua za kuhakikisha

kuwa makundi tengwa-

(a) yanashiriki na kuwakilishwa kwa ukamilifu katika uongozi na katika

anga zote za maisha ya kitaifa;

(b) yanapewa nafasi maalumu katoka nyanja za elimu na uchumi;

(c) yanapewa nafasi maalumu ya kuafikia ajira ya kufaidisha;

(d) yanasaidiwa kukuza tamaduni zao, lugha na kaida zao;

(e) yanasaidiwa kufikia maji, huduma za afya na mindo msingo ya usafiri;

(f) yanakuwa na nafasi sawa ya kufikia mahitaji yao ya kimsingi; na

(g) yanaishi maisha yasiyo na kubaguliwa, kunyanyaswa au kutumiwa vibaya.

Utumwa na kazi ya kulazimishwa

47. (1) Hakuna mtu atayewekwa katika utumwa.

(2) Mtu hatahitajika kufanya kazi ya kulazimishwa.

Usiri

48. Kila mtu anayo haki ya usiri wake, inayojumuisha haki ya–

(a) kutosakwa kwao au maboma yao;

(b) mali yao kusakwa;

(c) milki zao kunyakuliwa;

(d) habari kuhusiana na familia zao au mambo yao siri kuulizwa au

kufichuliwa kiholela; au

(e) siri za mawasiliano yao kuvunjwa.

Uhuru wa dhamiri, dini, imani na maoni

49. (1)Kila mtu ana haki ya uhuru wa kuwa na msimamo, dini, mawazo,

imani na maoni -

(2) Kila mtu anayo haki, ama kibinafsi au na wengine katika jumuia, kwa wazi

au kisiri, kufuata dini au imani yoyote kupitia ibada, maadhimisho, ikiwemo

mazingatio ya siku za ibada, matendo na mafunzo.

(3)Kila jumuia ya kidini ina haki ya kuanzisha na kuendesha pahali pa mafunzo

kwa gharama yake na kutoa maagizo ya kidini kwa watu wa jumuia hiyo wakati

wa utoaji wa mafunzo hayo.

(4) Shughuli na maagizo ya kidini zinaweza kufanyiwa Nchini au katika taasisi za

Kitaifa ikiwa-

(a) zinafanywa kwa misingi ya usawa; na

(b) mahudhurio katika shughuli na maagizo hayo ni ya kujitolea; na

(5) Mtu hapaswi kuzuiwa kuafikia taasisi yoyote, ajira au jengo au kufurahia haki

yoyote kwa sababu ya imani zao za kidini.

(6) Mtu hatalazimishwa-

(a) kuapa kiapo kinachokwenda kinyume cha dini au imani yake au

inayohusisha kuonyesha imani isiyoshikiliwa na mtu huyo;

(b) kuapa katika njia inayokwenda kinyume cha dini au imani ya mtu

huyo au inayohusisha kuonyesha imani isiyoshikiliwa na mtu huyo;

(c) kupokea maagizo ya kidini au kushiriki katika au kuhudhuria sherehe

au kuzingatia siku ya kupumzika au shughuli nyingine zinazohusiana na

dini isiyo ya mtu huyo;

(d) kufanya, kuzingatia au kupitia kaida za kidini;

(e) kufichua imani za au misimamo ya kidini ya mtu huyo; au

(f) kushiriki katika kitndo chochote kisichoambatana na imani au dini ya

mtu huyo.

Uhuru wa kujieleza

50.(1) Kila mtu ana haki ya uhuru wa kujieleza unaojumuisha -

(a) uhuru wa kutafuta, kupokea au kutoa habari au kauli;

(b) uhuru wa kubuni kisanii; na

(c) uhuru wa kiakademia na utafiti wa kisayansi.

(2) Haki inayorejelewa katika ibara ya (1) haifiki kwenye kiwango cha-

(a) propaganda ya vita;

(b) uchochezi wa ghasia

(c) hotuba za chuki; au

(d) utetezi wa chuki-

(i) unaojumuisha uchochezi wa kikabila, matusi yaw engine au

uchochezi wa kusababisha maafa; au

(ii) unaotokana na misingi ya ubaguzi iliokataliwa kwa mujibu wa

Katiba mpya, Kenya Moja