Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

23

katika Ibara ya 162 wkwa wakati. Huo, katika sehemu hizo na kwa njia

ambayo inaweza kuamriwa chini ya Sheria ya Bunge; na

(c) baada ya kuhesabiwa kwa kura katika vituo vya upigaji kura, Tume

Huru ya Uchaguzi na Mipaka itahesabu na kuhakikisha hesabu ya kura

na kutangaza matokeo.

(4) Mgombeaji wa uchaguzi wa Urais wa Taifa atayepata-

(a) zaidi ya nusu ya kura Zote zilizopigwa katika uchaguz; na

(b) angalau asilimia ishirini na tano ya kura zilizopigwa katika maeneo

mengi;

Atatangazwa kuwa Rais mteule wa Taifa .

(5) Iwapo hakuna mgombeaji amechaguliwa,uchaguzi upya mwingine

utaifanyika katika kipindi cha siku thelathini baada ya uchaguzi uliopita na

katika uchaguzi huo mpya, wagombeji watakuwa-

(a) mgombeaji au wagombeaji ambao wamepata kura nyingi zaidi; na

(b) mgombeaji au wagombeaji ambao wamepata idadi ya pili ya wingi

wa kura.

(6) pale ambapo wagombeaji zaidi ya mmoja wamepata idadi kubwa zaidi ya

kura, ibara ya(6)(b) haitatumika na wagombeaji pekee katika uchaguzi mpya

watakuwa wale ambao nuiwa na ibara ya (6) (a)

(8) mgombeaji ambaye atapata idadi kubwa, au idadi kubwa zaidi ya kura,

katika kutegemea hali hiyo, katika uchaguzi mpya atatangazwa kuwa Rais

mteulewa Taifa.

(9) uchaguzi wa Urais utafutiliwa mbali na uchaguzi mwingine kufanyika

iwapo-

(a) hakuna mtu ambaye ameteuliwa kama mgombea uchaguzi ambaye

ameteuliwa kumalizika kabla ya kipindi kilichowekwa cha kuwasilisha

hati za uteuzi;

(b) mgombea uchaguzi ataaga dunia siku ya uchaguzi au siku yoyote

kati ya hizo ambapo uchaguzi unafanyika au utafanyika.;au

(c) mgombea uchaguzi ambaye alistahili kutangazwa kuwa Rais

Mteule wa Taifa kuaaga dunia baada ya kuanza kushinda uchaguzi lakini

kabla ya ya kutangazwa Rais mteule wa Taifa.

(10) uchaguzi mpya wa Urais chini ya kifungum (6) utafayika katika muda siku

sitini za tarehe iliyokuwa imewekwa katika uchaguzi uliopita.

(11) Katika siku sba za uchaguzi wa Urais,Mwenyekiti wa Tume Huru ya

Uchaguzi na na Mipaka ita-

(a) kutangaza matokeo ya uchaguzi; na

(b) kupeleka ripoti iliyoandikwa ya matokeo uchaguzi kwa Hakimu

Mkuu na Rais aliye mamlakani.

Maswali kuhusu uhalalali wa uchaguzi wa Urais

165. (1) Mtu anaweza kuwasilisha malalamiko katika Mahakama ya Katiba

kupinga uchaguzi wa Rais mteule wa Taifa.

(2) Malalamiko haya yatawasilishwa mahakamani katika muda wa siku saba

baada ya tarehe ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Rais.

(3) Mahaka ya Kikatiba baada ya siku saba za kuwasilisha malalamiko,ita

sikiza na kuamua malalamiko na uamuzi huo utakuwa wa mwisho.

(4) Iwapo Mahakama ya kikatiba itaamuwa kuwa uchaguzi wa Rais mteule si

halali,uchaguzi mpya utafanyika siku sitini baada ya ya uamuzi huo.

Kuchukua hatamu za Urais wa Taifa

165. (1) kuapishwa kwa Rais mteule wa Taifa kutakuwa mbele ya jaji Mkuu au

iwapo Jaji Mkuu Mkuu hayupo, mbele ya Naibu wa jaji mkuu na mbele ya umma.

(2) Rais mteule wa Taifa ataapishwa Jumanne ya kwanza itakayofuata

siku kumi na nne baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Urais

isipokuwa matangazo hayo yawe yamepingwa kulingana na Kifungu 165.

(3) Iwapo matokeo ya uchaguzi wa Urais yamepingwa chini ya Kifungu 165

lakini koti lishikilie matokeo hayo, Rais mteule wa Taifa ataapishwa Jumanne ya

kwanza inayofuta siku saba baada ya ya uamuzi wa Mahakama.

(4) Rais mteule anachukua hatamu za Urais kwa kuchukua na kutia saini-

(a) kiapo cha uaminifu; na

(b) kiapo cha kutekeleza majukumu ya Urais kama ilivyoamriwa katika

Ratiba ya Tatu.

Masharti ya ofisi ya Rais

167. (1) Rais wa Taifa atashikilia ofisi kwa kipindi kisichozindisha miaka mitano

baada ya kuchukua ofisi.

(2) Kwa ajili ya ibara ya (1), kipindi kile Rais wa Taifa anachohudumu

kama Rais wa Taifa baada ya uchaguzi wa Rais mpya wa Taifa na kabla ya

kuapishwa kwa Rais mpya wa Taifa, sio sehemu ya masharti ya Rais wa Taifa

anayeendelela.

(3) Hakuna mtu atakayekuwa Rais wa Taifa kwa zaidi ya vipindi viwili.

(4) Kwa ajili ya ibara (3), Yule ambaye ahudumu kama Rais wa Taifa kwa

muda wa miaka miwili unusu mfululuzizo atachukuliwa kuwa amehudumu

kwa kipindi kizima.

Kinga dhidi ya kufunguliwa mashtaka.

168.(1) mashtaka yoyote ya jinai hayatafunguliwa au kuendelezwa katika

mahakama yoyote dhidi ya Rais wa Taifa au yeyote ambaye anashikilia ofisi ya

Rais wakati wa hatamu yake kuhusiana na chochote alichokifanya

au kutokifanya wakati wa kutekeleza mamlaka yake kwenye Katiba hii.

1) Mashtaka ya kesi za madai hayataanzishwa katika mahakama yoyte dhidi

ya Rais wa Taifa au yeyote anayetekeleza majukumu ya ofisi hiyo wakati

wa hatamu yake kutokana na chochote anachokifanya au kutofanya

katika kutekeleza mamlaka yake yaliyo kwenye katiba hii.

2) Pale ambapo maelezo katika sheria yanaweka mipaka ya wakati ambamo

mashtaka haya yanaweza kuwasilishwa dhidi ya mtu huyu, kipindi cha

wakati ambapo mtu huyu anashikilia au kutekeleza majukumu ya ofisi ya

Rais wa Taifa hakitatiliwa maanani katika kuhesabu wakati ambao

unaelezewa na sheria hii.

3) Uhuru wa kutoshtakiwa wa Rais wa Taifa ulio katika Kifungu hiki,

hautatumika kwa hatia ambazo Rais wa Taifa anaweza kishtakiwa chini

ya mkataba wowote ambao Kenya ni mshiriki na ambao unakataza uhuru

kama huu.

Kuondolewa kwa Rais wa Taifa kwa misingi ya kukosa uwezo.

169.(1) Mbunge akiungwa mkono na robo ya idadi ya Wabunge wote anaweza,

katika kikao chochcte cha Bunge kutoa hoja ya kuchunguza uwezo wa

kiafya ya akili au mwili wa Rais wa Taifa.

(2) Ikikubaliwa na nusu ya idadi ya Wabunge kwa hali ya uwezo wa kiafya ya

akili au mwili wa Rais wa Taifa wa kutekeleza majukumu ya ofisi unahitaji

kuchunguzwa, Spika wa Bunge katika kipindi cha siku mbili baada ya uamuzi

huu atamjulisha Jaji Mkuu kuhusu uamuzi huu.

(3) Jaji Mkuu katika kipindi cha siku saba, baada ya kupokea notisi ya uamuzi

huu kutoka kwa Spika ,atateua tume ya watu tano ambao watakuwa-

(a) Watatu watakuwa wataalamu wa matibabu na ambao

wameruhusiwa

kisheria.

(b) Mmoja atakuwa wakili wa mahakama kuu; na

(c) mmoja atakuwa Yule ambaye ameteuliiwa na Rais wa Taifa.

(4) Iwapo Rais wa Taifa atashindwa kumteu mtu wa tano, mtu huyu

atateuliwa na-

(i) mmoja wa familia ya Rais waTaifa; au

(ii) pale ambapo hakuna mmoja wa jamii anataka kuweza kufanya

uteuzi huo, ufanywe na mmoja aliye na uhusiano wa karibu wa

kindugu na Rais wa

Taifa.

(5) Iwapo Jaji Mkuu hatateua tume katika muda wa kipindi kilichobainishwa

katika ibara (3) , Spika wa Bunge atateua tume hii katika muda wa siku saba.

(6) Tume itachunguza suala hili na kuripoti-

(i) kwa Jaji Mkuu katika muda wa siku kumi na nne baada ya

kuteuliwa kwa tume hii na Spika wa Bunge.

(7) Spika wa Bunge ataiwasilisha ripoti ya tume Bungeni katika muda wa siku

saba baada ya kuipokea.

(8) Pale ambapo Bunge litaamua kwamba suala la uwezo wa kiakili na kimwili

wa Rais wa Taifa wa kutekeleza majukumu ya ofisi lichunguzwe, Rais wa Taifa

hadi mtu mwingine achukue ofisi ya Rais waTaifa au tume iliyoteuliwa chini

ya ibara (3) au tano iripoti kwamba Rais wa Taifa hawezi kutekeleza majukumu

yake ya kiofisi, lolote litalotangulia, ataendelea kutekeleza majukumu ya kiofisi.

(9) Ripoti ya tume itakuwa ya mwisho na hautakuwa na rufani na ikiwa tume

itaripoti kwamba Rais wa Taifa anawea kutekeleza majukumu yake yake

ya ofisi, spika wa atatangaza katika Bunge.

(10) Iwapo tume itatangaza kuwa Rais wa Taifa hawezi kutekeleleza majukumu

ya ofisi, Bunge, iwapo litaungwa mkono kwa kura zaidi ya nusu ya Wabunge

wote, litaidhinisha uamuzi wa tume na baada ya kuidhinisha Rais wa Taifa

ataacha kuwa Rais.

Kumwondoa Rais wa Taifa kupitia kwa kura ya kutokuwa na imani

170. (1) Mbunge, iwapo ataungwa mkono na thuluthi moja ya Wabunge wote,

anaweza, katika kikao chochote cha Bunge, kupendekeza mswada wa kura ya

kutokuwa na imani na Rais wa Taifa-

(a) kwa misingi ya ukiukaji mkubwa wa vipengele vya sheria katika

katiba na sheria.

(b) kwa kuwa kuna sababu kubwa za kuamini kwamba Rais wa Taifa

amefanya hatia iliyo chini ya sheria za kitaifa au kimataifa;au

(c) utovu mkubwa wa nidhamu.

(2) Iwapo theluthi mbili ya Wabunge wote wataidhinisha mswada ulio chini ya

ibara (1), spika wa Seneti kwa muda wa siku saba ataitisha mkutano wa Seneti

kusikiza mashtaka haya dhidi ya Rais waTaifa.

(3) Baada ya kusikiza mashtaka chini ya ibara (2), Seneti, kwa uamuzi,

Katiba mpya, Kenya Moja