Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

3

SURA YA KUMI

UWAKILISHAJI WA WATU

Sehemu ya 1 – Kanuni za mfumo wa Uchaguzi na Utaratibu wa uchaguzi

102. Kanuni za jumla

103. Sheria kuhusu uchaguzi

104. Kusajiliwa kama mpigakura

105. Wagombea katika uchaguzi kuzingatia kanuni za upigaji kura

106. Kuzingatia kanuni za uchaguzi

107. Wagombea wa kibinafsi

108. Wagombea wasio na wapinzani

109. Upigaji kura

110. Mizozo ya Uchaguzi

111. Kuwakilishwa kwa watu katika taasisi za Kimataifa

Sehemu ya 2- Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka na kutodhibitika kwa vitengo

vya uchaguzi

112. Tume Huru ya uchaguzi na Mipaka

113. Kuwekea mipaka sehemu za uchaguzi

Sehemu ya 3- Vyama vya kisiasa

114. Kanuni za kimsingi kwa vyama vya kisiasa

115. kikomo cha uanachama katika chama cha kisiasa

116. Kamishna wa vyama vya kisiasa

117. Kudhibiti vyama vya kisiasa

118. Hazina ya Vyama vya Kisiasa

119. Matumizi ya Hazina hiyo

120. Kuwajibika kwa vyama vya kisiasa

121. Vyama vya kisiasa na vyombo vya habari

122. Mipaka ya matumzi ya raslimali za umma

SURA YA KUMI NA MOJA

BUNGE

Sehemu ya 1 – Muundo na jukumu la Bunge

123. Kuundwa kwa Bunge

124. Jukumu la Bunge

Sehemu ya 2 – Muundo na uanachama wa Bunge

125. Wanachama wa Seneti

126. Uanachama katika Bunge

127. Masharti ya kufaa na kutofaa kuchaguliwa kama mbunge

128. Kukuza uwakilishi wa makundi tengwa

129. Uchaguzi wa wabunge

130. Kutoka ofisini kwa Mbunge

131. Haki ya kumwita na kumkosoa mbunge

132. Kukubalika kwa ubunge

Sehemu ya 3- Maafisa wa Bunge

133. Spika na Naibu wa Spika

134. Kuongoza vikao Bungeni

135. Kiongozi Rasmi wa Upinzani Bungeni

136. Karani na wafanyakazi wa Bunge

Sehemu ya 4 – Kutunga sheria Bungeni

137. Mamlaka ya kutunga sheria

138. Miswada ya Fedha

139. Maoni ya Bunge jingine

140. Idhini ya Rais

141. Kutekelezeka kwa sheria

142. Haki ya kulalamikia Bunge

143. Idadi ya wabunge katika vikao

144. Lugha rasmi za Bunge

145. Kupiga kura Bungeni

146. Maamuzi ya Seneti

147. Kudhibitiwa kwa utaratibu

148. Uwezo wa kutaka ushahidi

149. Kufikiwa na umma

150. Uwezo, haki na kinga

Sehemu ya 5 – Ziada

151. Usajili wa Sheria buniwa

152. Makao ya Bunge

153. Kipindi cha Bunge

154. Tume ya Huduma za Bunge

MAMLAKA YA RAIS

SURA YA KUMI NA MBILI

Sehemu ya 1- Kanuni na muundo wa mamlaka ya Serikali ya Kitaifa.

155. Kanuni za mamlaka ya serikali

156. Serikali ya Kitaifa

Sehemu ya 2- Rais wa Taifa na Naibu Rais

157. Mamlaka ya Rais wa Taifa

158. Majukumu ya Rais wa Taifa.

159. Majukumu ya Rais katika kutunga sheria

160. Matumizi ya mamlaka ya Rais kwa Rais wa muda

161. Uamuzi wa Rais wa Taifa

162. Uchaguzi wa Rais wa Taifa

163. Sifa za kimsingi za kuchaguliwa na kutochaguliwa kwa Rais wa Taifa

164. Tararatibu katika uchaguzi wa Rais

165. Maswali kuhusu uhalali wa uchaguzi wa Urais

166. Kuchukua hatamu za Urais wa Taifa

167. Masharti ya ofisi ya Rais

168. Kinga dhidi ya kufunguliwa mashtaka.

169. Kuondolewa kwa Rais wa Taifa kwa misingi ya kukosa uwezo.

170. Kumwondoa Rais wa Taifa kupitia kwa kura ya kutokuwa na imani

171. Nafasi katika ofisi ya Rais wa Taifa

172. Mamlaka ya huruma ya Rais

173. Ofisi ya Naibu Rais wa Taifa

174. Nafasi katika ofisi ya Naibu Rais wa Taifa

175. Majukumu ya Naibu Rais wa Taifa

176. Kifo kabla ya kuchukua mamlaka

177. Kuondolewa kwa naibu Rais wa taifa

178. Mshahara na marupurupu ya Rais wa Taifa na Naibu Rais wa Taifa

Sehemu-3 Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri

179. Waziri Mkuu

180. Uteuzi wa Waziri Mkuu

181. Masharti ya ofisi

182. Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu

183. Mshahara na marupurupu ya Waziri Mkuu

184. Baraza la Mawaziri na Manaibu

185. Kuachishwa kazi kwa Mawaziri na Manaibu wa Mawaziri.

186. Kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu

187. Maamuzi, majukumu na kuwajibika kwa Baraza la Mawaziri

188. Raisi wa Taifa kufahamishwa kwa ukamilifu kuhusu mienendo ya serikali

189. Kugawa majukumu

190. Katibu wa Baraza la Mawaziri

191. Uteuzi na kuachishwa kazi kwa Makatibu Vinara

192. Uteuzi na kuachishwa kazi kwa Makatibu Vinara

Sehemu ya 4- Ofisi nyingine

193. Mwanasheria Mkuu

194. Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma

195. Mchunguzi Maalum wa Malalamiko ya Umma

196. Kuondolewa kwa Mchunguzi Maalum wa Mashtaka ya Umma

IDARA YA MAHAKAMA

SURA YA KUMI NA TATU

Sehemu 1 – Mamlaka ya Idara ya Mahakama na mfumo wa sheria

197. Mamlaka ya Idara ya Mahakama

198. Uhuru wa Idara ya Mahakama

199. Ofisi na maafisa wa Idara ya Mahakama

200. Mfumo wa Mahakama

Sehemu 2- Mahakama zenye Mamlaka Kuu

201. Mahakama yenye Mamlaka Kuu

202. Mahakama ya Rufani

203. Mahakama ya Katiba

204. Mahakama Kuu

205. Uteuzi wa majaji

206. Kipindi cha kuhudumu ofisini kwa Jaji Mkuu na majaji wengine

207. Kuondolewa kutoka ofisini

Sehemu 3 -Mahakama za chini

Katiba mpya, Kenya Moja