04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

45

Katiba kuanza kutumika

315. Katiba hii itaanza kutumika wakati Rais atafahamisha umma kuhusu

kutekelezwa kwa sheria mpya.

Kubatilishwa

316. Katiba inayotumika kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba hii itaachwa mara

moja wakati wa kuanza kutumiwa kwa katiba hii.

MPANGILIO WA KWANZA

(Kifungu 5(2))

MAENEO NA WILAYA

Maeneo ambayo Kenya imegawika—

1. Eneo la Pwani

2. Eneo la Mashariki

3. Eneo la Kaskazini Mashariki

4. Eneo la Bonde la Ufa

5. Eneo la Nyanza

6. Eeno la Magharibi

7. Eneo la Kati Central

8. Eneo la jiji la Nairobi

Kenya imegawika katika wilaya—

Katika Eneo la Pwani —

1. Kwale

2. Mombasa

3. Taita Taveta

4. Kilifi

5. Lamu

6. Tana River

7. Malindi

Katika Eneo la Mashariki —

1. Makueni

2. Machakos

3. Kitui

4. Mwingi

5. Meru Central

6. Meru South

7. Meru North

8. Tharaka

9. Mbeere

10. Embu

11. Isiolo

12. Marsabit

13. Moyale

Katika Eneo la Kaskazini Mashariki—

1. Garissa

2. Ijara

3. Mandera

4. Wajir

Katika Eneo la Bonde la Ufa —

1. Kajiado

2. Narok

3. Trans Mara

4. Turkana

5. West Pokot

6. Marakwet

7. Trans Nzoia

8. Keiyo

9. Uasin Gishu

10. Nandi North

11. Nandi South

12. Kericho

13. Bureti

14. Bomet

15. Baringo

16. Koibatek

17. Nakuru

18. Samburu

19. Laikipia

Katika Eneo la Nyanza—

1. Bondo

2. Nyando

3. Siaya

4. Suba

5. Kuria

6. Rachuonyo

7. Kisii Central

8. Gucha

9. Nyamira

10. Kisumu

11. Homa Bay

12. Migori

Katika Eneo la Magharibi—

1. Busia

2. Bungoma

3. Teso

4. Mt. Elgon

5. Lugari

6. Kakamega

7. Vihiga

8. Butere/Mumias

Katika Eneo la Kati—

1. Kiambu

2. Thika

3. Murang’a

4. Maragua

5. Nyandarua

6. Nyeri

7. Kirinyaga

Katika eneo la Jiji la Nairobi

1. Westlands

2. Kasarani

3. Lang’ata

4. Embakasi

NEMBO ZA KITAIFA

(a) Bendera ya Taifa

MPANGILIO WA PILI

(Kifungu 10)

Tanbihi: Vipimo vyote vilivyotolewa haviwakilishi urefu au upana wowote na hivyo

ni vinawiana tu.

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!