04.04.2014 Views

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

Kielelezo Patanifu cha Katiba ya Kenya - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

50

KIELELEZO PATANIFU CHA KATIBA YA KENYA JUMAPILI, NOVEMBA 22, 2009

Imechapishwa mnamo Novemba 17, 2009 na Kamati ya Wataalam Kuhusu Marekebisho ya Katiba Kulingana na

Sehemu 32(1)(a)(i) ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya, 2008.

Katiba hii na Sheria na Muafaka wa Kitaifa na Maridhiano iliyopo kabla ya

kuanza kutumika kwa Katiba hii hadi uchaguzi mkuu wa kwanza ufanyika kwa

Katiba hii.

(2) Watu walio katika wadhifa wa ofisi za Naibu Rais, Naibu Waziri Mkuu kabla tu

ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, watakuwa na mamlaka na wajibu wa Naibu

Rais na Naibu Waziri Mkuu katika Katiba inayotumika kabla ya kuanza kutumika

kwa Katiba hii.

(4) Mtu aliye na wadhifa katika Baraza la Mawaziri ama Waziri Msaidizi kabla

tu ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, ataendelea kushikilia wadhifa huo katika

Katiba hii kulingana na Katiba iliyoko kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba hii.

(5) Mtu ambaye kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba hii ametumikia kipindi cha

muhula mmoja ama zaidi kama Rais hataruhusiwa kugombea Urais kuanzia siku

ya kuanza kutumika kwa Katiba

Utawala wa Mikoa

10. (1) Baada ya kufanyika kwa uchaguzi unaorejelewa katika sehemu ya 7,

mfumo wa usimamizi unaojulikana Utawala wa Mikoa utavunjwa na serikali

ya kitaifa itaunda mfumo wake wa kiusimamizi kufuata na kuheshimu serikali

iliyogatuliwa uliobuniwa katika Katiba hii.

(2) Kulingana na sehemu ya kifungu (1), maafisa wa serikali waliokuwa

wakifanya kazi chini ya mfumo unaojulikana kama Utawala wa Mikoa

wataripoti kwa Tume ya Utumishi wa Umma ili kupewa kazi upya.

(3) Ingawa sehemu ya kifungu (1), machifu, manaibu wa machifu na wazee

wa vijiji wataendelea kufanya kazi vivyo hivyo chini ya serikali za wilaya kama

itakavyoamuliwa na na kila serikali ya wilaya.

(4) Kuanzia siku ya kuanza kutumika kwa Katiba, mali yote iliyokuwa

ikishikiliwa na serikali ya taifa na ambayo inapatikana katika mikoa, wilaya na

tarafa na kata, itaendelea kuwa mali ya umma.

(5) Hadi wakati ambapo serikali za wilaya na serikali za kimaeneo

zitakapoundwa, mali yote inayohifadhiwa na serikali za wilaya kabla ya kuanza

kutumika kwa Katiba hii itahifadhiwa na serikali za wilaya na haitahamishwa

ama kuuzwa kwa njia yoyote bila idhini kwa maandishi ya serikali ya kitaifa na

kuhamishwa kokote bila idhini hakutatambuliwa.

Ofisi zilizoko

11. (1) Mtu ambaye kabla tu ya kuanza kutumika kwa Katiba hii alikuwa afisa

ama anashikilia ofisi kwa muda iliyobuniwa na Katiba iliyotumiwa kabla ya

kuanza kutumika kwa Katiba, ataendelea kushikilia ofisi ama kuishikilia kwa

muda kulingana na Katiba kwa kipindi kilichobaki, kama kipo, ya kipindi chake

kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba hii.

(2) Mtu ambaye kabla tu ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, alikuwa

anashikilia wadhifa fulani ama akishikilia wadhifa kwa muda ofisi ambayo

inabuniwa na Katiba iliyoko kabla tu ya kuanza kutumika kwa Katiba hii,

kama anahitajika kufanya hivyo kulingana na Sura ya Tisa, anaweza katika

siku thelathini za kuteuliwa kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi,

atawasilisha nyaraka na ushahidi unaohitajika.

(3) Mtu ambaye kabla tu ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, alikuwa

anashikilia wadhifa fulani ama akishikilia wadhifa kwa muda katika ofisi ya

umma inayobuniwa na sheria yoyote iliyoandikwa, kwa sasa inayoambatana

na Katiba hii, ataendelea kushikilia wadhifa huo ama kuushikilia kwa

muda kama kwamba ameteuliwa kwa ofisi hiyo katika Katiba hii, na kama

anahitajika ambayo inabuniwa na Katiba iliyoko kabla tu ya kuanza kutumika

kwa Katiba hii, kama anahitajika kufanya hivyo kulingana na Sura ya

Tisa, anaweza katika siku thelathini za kuteuliwa kwa Tume ya Maadili na

Kupambana na Ufisadi, atawasilisha nyaraka na ushahidi unaohitajika.

(4) Vipengele vya sehemu hii havitaathiri mamlaka yaliyopewa mtu yeyote

ama uwezo wa kisheria katika Katiba hii kuvunja ofisi ama kuwandoa watu

kutoka ofisi hizi.

(5) Utaratibu wa kuajiriwa na watu kujaza nafasi zinazotokana na kutekeleza

kwa Katiba hii kutaanza siku ya kuanza kutekeleza kwa katiba hii na

kumalizika katika mwaka mmoja kulingana na vipengele vya Katiba hii..

(6) Katika hali ambapo mtu ameacha ofisi ambayo alikuwa akiishikilia kabla

ya siku ya kuanza kutekeleza Katiba hii, na ofisi hiyo inabaki katika Katiba hii,

mtu huyo anaweza, kama anahitimu, anateuliwa, kuchaguliwa, ama kupewa

wadhifa huo kulingana na vipengele vya Katiba hii, katika siku thelathini

za kuteuliwa kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi atawasilisha

nyaraka na ushahidi unaohitajika kulingana na Sura ya Tisa.

(7) Majukumu ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma yatatekelezwa na

Mwanasheria Mkuu hadi Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma atakapoteuliwa

kulingana na Katiba hii.

(8) Majukumu ya Mkurugenzi wa Bajeti yatatekelezwa na Mkaguzi Mkuu wa

Hesabu za Serikali hadi Mkurugenzi wa Bajeti ateuliwe kulingana na Katiba

hii. Katiba hii, Licha ya sehemu ya (1), na labda awe ameondolewa mapema

kwa Katiba hii, Mwanasheria Mkuu na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali

wataendelea kuwa ofisini kwa kipindi cha miezi sita kuanza siku ya kuanza ya

kutekelezwa Katiba na watu wapya watateuliwa kwa ofisi hizo kulingana na

Katiba hii.

Kiapo cha uaminifu kwa Katiba

12. Katika siku ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, Rais na afisa yeyote ama mtu

yeyote ambaye kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, alikuwa ameapa ama

amekubali kama ilivyo katika kiapo kinachohitajika, ama anayehitajika kuchukua

kiapo cha uaminifu ili kuchukua ofisi katika Katiba hii, ataapa inavyohitajika

katika Katiba hii.

Urithi wa taasisi, ofisi, mali na madeni

13. (1) ofisi ambayo imebiuniwa na Katiba ndiyo mrithi wa kisheria wa ofisi kama

hiyo ama taasisi iliyobuniwa na sheria ya bunge iliyokuwa ikifanya kazi kabla ya

siku ya kuanza kutekelezwa kwa Katiba hii, hata ikiwa inatambuliwa kwa jina lile

lile au ikiwa imepewa jina jipya.

(2) Madeni yote, mali na na raslimali nyingine ambazo kabla ya siku ya

kuanza kutumika kwa Katiba hii zilikuwa za Serikali au Jamhuri, vyovyote vile,

itaendelea kuwa hivyo hata baada ya siku ya kuanza kutumika kwa Katiba.

(3) Kwa lengo la sehemu hii, Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru ambayo

ilikuwepo kabla tu ya Katiba hii inaendelea kama Mamlaka ya Kitaifa ya

Ukusanyaji Ushuru inayorejelewa katika kifungu namba 266.

Pensheni, bahashishi, na manufaa mengine

14. Sheria inayohusu pensheni, bahashishi na mshahara kwa walio na nyadhifa

za kikatiba itakuwa sheria ambayo ilitumiwa wakati manufaa hayo yalipotolewa,

na sheria yoyote nyingine ambayo itatumika baadaye ambayo haimfaidi mtu

huyo

Idara ya Mahakama

15. (1) Katika kipindi cha siku thelathini za kuanza kutumika kwa Katiba hii, Rais

na Waziri Mkuu,wakifanya kazi kwa pamoja katika misingi ya mkataba wa kitaifa

wa maridhiano

Waliokubaliana katika Katiba iliyopo kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba

hii, watajadiliana wataunda Tume ya muda ya Huduma za Mahakama

ambayo, kulingana na sehemu hii, itawakagua majaji kabla ya siku ya kuanza

kutekeleza katiba mpya.

2) Tiume ya Huduma za Kimahakama ya muda itajumuisha-—

(a) Majaji wawili wasio Wakenya walio majaji ama waliostaafu kila

mmoja wao akiwa amefanya kazi katika nchi ya jumuiya ya Madola kama

jaji ama jaji mkuu na ambaye mmoja wao atateuliwa kuwa mwenyekiti.

(b) Majaji wawili wa mahakama kuu ya Kenya ama mahakama ya rufani

ambao watakuwa Wakenya; na

(c) Wakili ambaye ana ujuzi wa miaka kumi na mitano kama msomi

mashuhuri, afisa wa mahakama, ama wakili ama mwenye ujuzi katika

nyanya nyingine yoyote ya kisheria, aliyeteuliwa na Chama cha Mawakili

wa Kenya.

(3) Jaji ambaye alikuwa kazini kabla ya kuanza kutumika kwa Katiba mpya,

anaweza, katika siku sitini, ya kuanza kutumika Katiba mpya kuamua kustaafu

na baada ya kustaafu anaweza kupata kiinua mgongo chake kulingana na

Katiba.

(4) Jaji Mkuu aliye ofisini kabla tu ya siku ya kuanza kutekelezwa kwa Katiba

hii, katika siku sitini za kuanza kutekelezwa kwa Katiba hii, ataacha kazi na

anaweza kuamua—

(a) Kustaafu kutoka idara ya mahakama; au

(b) kutegemea utaratibu wa kuchuja katika sehemu hii, aendelee

kuhudumu katika mahakama ya rufani.

(5) (a) Tume ya muda ya Huduma za Mahakama inaweza kuchunguza, kwa

kuzingatia jaji—

(i) Kesi yoyote ya jinai ambayo haijakamilishwa ama ambayo

imekamilishwa.

(ii) Mapendekezo yoyote kwa minajili ya mashtaka yaliyoletwa na

Mwanasheria Mkuu, Tume ya Kupambana na Ufisadi, ama taasisi

yoyote inayofaa;

(iii) Kufaa kwa uteuzi kama jaji katika misingi iliyowekwa kwenye

Katiba;

(iv) uhodari na bidii; na

(v)Jambo lingine lolote lenye umuhimu.

(b) Katika utendakazi wake katika sehemu hii, Tume ya muda ya Huduma

za Mahakama itaheshimu na itaongozwa na vigezo na viwango vya

Katiba mpya, Kenya Moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!