Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Tabia ya mahali popote pa kazi inayotokana na uhusiano wa kimapenzi ama urafiki kati ya wafanyikazi

unaweza kuwa mbaya kama tabia hiyo inaleta hali isiyo sawa katika mazingira ya kufanya kazi. Mapendeleo

ama kufanya uamuzi wa biashara kwa msingi wa hisia, kiapo cha utii, ama urafiki badala ya maslahi ya

Kampuni hayakubaliwi. Watu wanaojipata katika uhusiano wa kibinafsi ama urafiki wanafaa kutumia

uamuzi mwema na hisia.

Kuwa na ufahamu wa ukweli kwamba memba mwingine wa nyumba yako anaweza kuajiriwa kwa kiwango

ambacho kinaweza kuunda ama kuonekana kama kuunda mzozo wa mapendeleo. Ikiwa hali hii itatokea,

muone meneja wako ama mshauri wa sheria wa kitengo chako kwa mwongozo.

Bodi

Pata idhini kutoka kwa Rais ama Afisa Mkuu Mtendaji, na Washauri wa Jumla kabla ya kukubali

kutumikia Bodi ya Wakurugenzi ama Bodi kama hiyo kwa biashara ya nje ama chombo cha serikali.

Kutumikia Bodi la shirika la wataalamu au lisilo la faida linalohusiana na kazi, lazima kuidhinishwe

mapema na Kitengo chako au Mtendaji mkubwa.

Nadhari Zingine

Tunajitahidi kudumisha mazingira mema ya kazi ambayo yanaangazia maadili ya Kampuni yetu na

kukuza mahusiano dhabiti ya kufanya kazi. Ijapokuwa migongano ya maslahi mara kwa mara hutokea

kutokana na kushughulika na wahusika wa nje, migongano au mwonekano wa mgongano huenda pia

ukasababishwa na maingiliano ya kindani. Wale wetu wanaowadhibiti wengine lazima wawe waangalifu

sana ili kuhakikisha kwamba hali hazijatokea ambazo zinaweza kuoneka kwa wengine kama mapendeleo

au mgongano wa maslahi unaowezekana.

Kama utajikuta katika hali halisi au inayowezekana ya mgongano wa maslahi, mara moja lazima uripoti

kwa meneja wako ili hali hiyo iweze kuhakikiwa na kutathmini vizuri. Kampuni itashirikiana na wewe ili

kushughulikia hali na kutambua suluhu inayofaa.

S:

J:

Hivi karibuni nilipokea idhini ya meneja wangu ya kuchukua kazi ya pili ya kuuza mali isiyohamishika

ili kuongezea mapato yangu. Je, ninaweza kutumia simu yangu ya kazini kuwasiliana na wateja wangu

au kutumia mashine ya kunakili ili kutoa nakala za maelezo ya orodha za mali wakati wa saa za kufanya

kazi

Hapana. Matumizi yako uliyoyakusudia ya mali ya Kampuni ni ya faida yako ya kibinafsi tu, hayahusiani na

kanuni ya biashara ya Kampuni, na yanaweza kuchukuliwa kuwa yanaingiliana na uwezo wako wa kufanya

majukumu yako yanayohusiana na kazi. Ijapokuwa matumizi wastani ya kibinafsi yanaruhusiwa, yanapaswa

kuzuiliwa na yasiingiliane na utendaji kazi wa majukumu yako ya kikazi.

Tunalinda siri za mauzo YA Kampuni na maelezo ya kisiri.

Siri za kuuza za Colgate, habari za wamiliki wengine na data ya ndani ni mali ya thamana sana. Ulinzi

wa mali hii, pamoja na kutunza siri, kunachukua jukumu muhimu katika kukua kwetu na uwezo wa

kukamilisha. Siri ya kuuza ni habari inayotumika pamoja na biashara ya Colgate ambayo haijulikani kwa

ujumla ama kujulikana kwa urahisi, na ambayo hatua zimechukuliwa ili kutunza usiri Hata hivyo, habari za

wamiliki wengine, lazima zilindwe pia.

Siri za kuuza za Colgate na habari za wamiliki wengine zinaweza kuwa na fomula yoyote, muundo, kifaa

ama habari inayotumika katika biashara yetu na inayoipa Colgate fursa ya kupata faida zaidi ya washindani

wake. Siri za kuuza za Colgate na habari zingine za wamiliki sio za hali ya kiufundi kila wakati. Zinaweza

pia kujumuisha uchunguzi wa biashara, mipango ya bidhaa mpya, mipangilio ya hila, habari za fedha ama

bei ambazo hazijachapishwa, orodha ya wafanyikazi, wateja na wauzaji, na habari kuhusu mahitaji ya mteja,

mapendeleo, tabia za biashara na mipango. Hata bila kukamilika orodha hii inadokeza sehemu kubwa ya

Kampuni ya Colgate-palmolive 9